Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

"Nyerere was an outward-looking globalist who saw Tanzania as a leader in world affairs. Magufuli, on the other hand, is an inward-looking provincial nativist who wants a Tanzania for Tanzanians alone."
 
Ni ya lini kwani? Jibu kwanza hilo swali.
"Nyerere was an outward-looking globalist who saw Tanzania as a leader in world affairs. Magufuli, on the other hand, is an inward-looking provincial nativist who wants a Tanzania for Tanzanians alone."
 
"Nyerere was an outward-looking globalist who saw Tanzania as a leader in world affairs. Magufuli, on the other hand, is an inward-looking provincial nativist who wants a Tanzania for Tanzanians alone."
So what's the problem?
 
Wanajiuliza wakimuachia atakuja kusema nini uraiani?

Huyu si mtu wa kumpoza kwa kumuonga labda wamnyamazishe kwa style nyingine lakini sio kwa kumuhonga.
 
Tuambie kama yale ya roma mkatoriki yatatokea tena; manake uliibuka kama Yohana mbatizaji...kweli yakatokea kesho yake roma mtaani.

Suala la wazungu si hoja; hoja mrusisheni MO wetu...msimuue kabisa!!
 
Sure; he might be refused to do some sort of instructions from JIWE!!

Same what happened to Zakaria but he escaped from ... for what we call it mbinu za medani; for MO lets us cross our fingers!!! Lazima arudi mzima bila masharti...

Wekundu Mpo???
 
Unavaa body camera
 
Mwandishi acha ujinga kila siku wewe unaiwazia mabaya serikali, sahau ukidhani uharo unaoleta hapa kila siku utadhoofisha serikali yetu pendwa utaishia kuleta majungu na hakuna mtakalofanikiwa.
 
Mleta mada unanikumbusha michezo ya Crown Prince wa Saudi Arabia alivyowatia ndani matajiri na kuwabana watoe concenssions kwa serikali kutokana na madai ya kukwepa kodi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…