Cosmological truth

Cosmological truth

Duh! halafu mtu anakuja anakusifia kabisa kuwa unajua kujenga hoja.

Yani jambo la imani wewe unasema kila kitu kingekuwa clear kwa kila mtu.

Na bora muendelee kujificha nyuma ya mgongo wa sayansi maana bila ya hivyo mtaumbuka tu.

Hoja hata ukiiona utaijua wewe?

Ukishaamini kuwapo kwa Mungu ushatupa hoja tayari. Unakwenda kwa imani tu.

Imani unaruhusiwa kuamini hata kwamba pembetatu ni duara.

Ila ukileta iamni hiyo hapa JF umeshaileta ijadiliwe na iwekewe maswali.
 
Hi mkuu

I would like to forestall yr great mind in swifting out matter especially in these critical times where the religious realm is defiled with deceptions...congratulation mkuu
But i got the followings on yr weledi mkuu
1.it is true that,the cross,marry statue and also trininty are no longer part and percel of the bible teachings,may be if some one criticise this may come with vivid bible reference..

2. It seems black people suffers from foreign religious institutes especially christians organizations,while white beings are free of this devastating slavery.just tell us how??it is true two phases walked in on the same era.that colonialism and bible pioneering plunged in simultaneously in Africa..where counterfeit pioneers used bible shadow to feed their womb ...is that gurantee it to believe christianity is counterfeit coral???

2.in your stanza of flow,,u gotta said bible it self allows slavery,i want to be elucidated here mkuu with bible reference since collosian 2:22 just talks false pretence in religious world,i mean the said harloit
 
Thank You That Much ,Sir .You Have The Right Mind .Man Cannot Survive Except Through His Mind .

He comes On Earth Unarmed.His Brain Is His Only Weapon.Unfortunately ,People Consider Faith As Way To Truth 100 Percent.They End Up In Believing Things Don't Even Make Sense.

My Grandma Told Me ,You Can't Turn Men Into Slaves Unless You Break Their Spirit ,Kill Their Capacity To Think And Act On Their Own.Teach Them To Conform,To Agree ,To Obey.And That Is Power .Money Or Gun Isn't Power At All .Power Is Being Able To Make People slaves .

You can't view the universe in three dimensions if you don't have independent mind .

"Mind "

Look at history ,Everything We Have,Every Great Achievement Has Come From Independent Work Of Some Independent Mind.

Thank You ,Gentleman,Everyone Has The Power To View The Universe In Three Dimensions And Life Itself,Unless We Resist.
Really this is great mind mkuu..
But something is so awful and shocking,that even professors with independent mind are dissolved in religious deceptions and dogma.
They are coach potatoes in reasoning the counterfeitism in their religious kit
 
kila mtu ana nafasi yake katika jamiii but for what he does to the people is very very simple though seemed to be difficult to some people ...he does to interprete the hidden things written in universal languages ( english,french,etc) thus why everybody anamuona kama mtu aliyeshukiwa na roho mtakatifu but it is not..lakini mtu anapofanya kitu flani we have to appreciate for his/ her efforts kwan ndo kupitia uwezo wake wa kufanya tafsiri za mambo watu wanamuelewa ....lakini pia mind you kuwa hata ukiandika kwa kingereza kama mtu anajua kusoma na kuelewa maana atakuona wa maana zaidi..tena ungejua lugha ya kingereza ni lugha inayoeleza kwa undani zaidi na kuna maneno yanakuwa magumu kuyaleta katika lugha ya kiswahili kwani yanakosa nguvu...
kwa mfano mtu akuambie concious mind and subconcious mind ,najua kuyaweka katika lugha ya kiswahili inakuwa ngumu kidgo lakini mtu anayeelewa lugha yenyew anapata ujumbe mzito kweli ndani yake...

so kila mtu atakula kulingana na urefu wa kamba yake...ukisubiri kupewa tafsiri utachelewa kujua mengi....kuna mambo yeye mwenyew yanamshinda anamua kuyaacha but anayajua kabsa kuwa yana ujumbe mzito..

every body plays his own party...
Mkuu shukrani,
 
Mkuu umeandika mambo mazito na mazuri mno, Lakini cha kusikitisha ni kwamba ukweli huu watauelewa watu wachache.

Hapa JF na maeneo ninayoishi nimekuwa nikiwaambia watu hizi habari za dini pamoja na miungu yake ni vitu hewa visivyokuwa na uhalisia wowote lakini watu waliishia kunipuuza kwa kunitukana na kunihukumu.
Hapo uliposema matokeo ya ukoloni hayatakaa yaishe ni kweli kabisa.Hebu fikiria ni waafrika wangapi wanaoamini kwenye dini pamoja na kwenye white supremacy?

Ni waafrika wangapi wanaoamini kwamba eti kuna Mungu aliyewatengea pepo/mbingu kwa ajili yao waishi milele baada ya kufa?

Sasa hivi huwezi kutenganisha jamii na dini, kila eneo la jamii yetu limeambatana na dini.Leo hii mtu akitaka kupewa jina, kuoa/olewa, kuzikwa n.k ni lazima dini zihusike.Inaleta taswira kuwa hizi dini ni sehemu ya tamaduni zetu ilihali zililetwa kwenye ngalawa sii miaka zaidi ya 200 iliyopita.

Sijui ni jitihada zipi zitafanyika kumuokoa mtu mweusi kwenye utumwa wa fikra kabla haja hangamia kama inavyoelekea kwa wazungu waliomtumikisha kwa fikra zake mbovu.
Mkuu vitu gani vinakufanya usiamini almighty god hayupo??
Nilikua siamini pia kuwa mungu hayupo lakin science imeleta definition zaid
 
The thing is ,you have fantasy and faiths which don't even make sense.

Don't scream over here .no one cares what you believe ,Truth is the thing we all care .

Failure to understand the topic is challenge for you .

The topic was ,Catholic Church ni criminal organization ,they have introduced many lies on earth,just re read the post .if you say it isn't,then bring your evidence .

religions support slavery ,and it was the way to enslave people through fear of hell and eternal punishments,in which case ,no one has ever proved such a claim.

Free Will doesn't exist ,free Will means God should bear responsibility for creating beings and other animals who in order to support their lives on earth,they must kill and
Destroy other creatures .For you to get essential amino acids ,saturated and unsaturated fat,you must kill animals
and destroy plants ,is that good thing ?destroying other lives just to support yours ? I don't like that ,where is my free ? The environment controls me ,otherwise,I will be starving to hell .

Or ,Free will is being possible for God to reveal himself to everyone,and still people would be able to choose worshiping or not worshiping him.Like ,God reveals himself to me,and I say Ooh you exist now,but I won't worship you,l will worship myself.I am as I am .If there is punishment for my denial ,it can't be free will,Can It ?

Muslims claim Quran has never been distorted,just because people have been memorizing it since the beginning of their faith .This is very poor argument I dare to say that .they ignore so many things which are very important to know before claiming such a thing .
Jesus is not God neither Son God ,and
No one died for your sins,false .

Focus on thread ,not your Christianity fantasy.

You have problem of faith ,faith Isn't reliable mecanism for understanding,you must step out of that comfort zone to understand things as they are ,not as you were made to believe .
Sawa..........
 
This Guy ,Eiyer ,has no mental strength.He is expressing his little Ego.

He said ,Mimi ni mkristu na Haya ndiyo yanayonihusu ,hayo ya Quran nawaachia wenyewe.Niliposoma hayo maneno nikasema basiiii,this guy hasn't balls to debate.

This is not Christianity Thread ,We don't care what you believe ,because your faith is just a claim not truth .We have many faiths on earth claim to be true ,so which is which ?
Sawa kabisa mkuu wangu....
 
Hoja hata ukiiona utaijua wewe?

Ukishaamini kuwapo kwa Mungu ushatupa hoja tayari. Unakwenda kwa imani tu.

Imani unaruhusiwa kuamini hata kwamba pembetatu ni duara.

Ila ukileta iamni hiyo hapa JF umeshaileta ijadiliwe na iwekewe maswali.
Unazidi kujichanganya tu,kuamini kitu kunahitaji sababu na ndiyo maana nyie mnapinga sababu zenye kuwafanya watu kuamini mungu. Sasa unaposema unaweza tu kuamini pembe tatu ni duara una maanisha kuwa kuamini hakuhitaji sababu na ndiyo maana ukatoa mfano huo wa jambo unaloliona haliwezekani.

Imani ingekuwa haina sababu basi isingewezekana kumshawishi mtu aamini kitu au kumfanya mtu aache kuamini anachokiamini na kumfanya aamini kitu chengine bila kumpa sababu zitakazo mshawishi kufanya hivyo.

Na jambo la imani siku zote huwa linakuwa na wenye kuamini na wasioamini,unajua huwezi kukuta watu mchana wa jua kali wakibishana kuwa huo ni mchana au usiku..lakini ukiwafungia watu hao kwenye chumba chenye giza wakati wote basi haitokuwa ajabu kama watakuwa wakibishana kuwa ni usiku au mchana.

Na hivyo ndivyo ni sawa na imani ya mungu.
 
Mkuu vitu gani vinakufanya usiamini almighty god hayupo??
Nilikua siamini pia kuwa mungu hayupo lakin science imeleta definition zaid
Mkuu uwepo wa Mungu siyo kweli maana hakuna ushahidi sahihi na wenye nguvu za kuonesha kuwa Mungu yupo.
Hata hayo mafundisho pamoja na maandiko yanayosemekana kuwa ni ya Mungu yamejaa contradictions kibao.
 
Mkuu safi sana kwa kuandika hii ishu...Miaka ya nyuma nikiwa ndio niko form five Nilishawahi kumwambia mtu mmoja kuhusu "UTATU WA MUNGU" kuwa haupo bado kidogo anitoe roho...
 
Unazidi kujichanganya tu,kuamini kitu kunahitaji sababu na ndiyo maana nyie mnapinga sababu zenye kuwafanya watu kuamini mungu. Sasa unaposema unaweza tu kuamini pembe tatu ni duara una maanisha kuwa kuamini hakuhitaji sababu na ndiyo maana ukatoa mfano huo wa jambo unaloliona haliwezekani.

Imani ingekuwa haina sababu basi isingewezekana kumshawishi mtu aamini kitu au kumfanya mtu aache kuamini anachokiamini na kumfanya aamini kitu chengine bila kumpa sababu zitakazo mshawishi kufanya hivyo.

Na jambo la imani siku zote huwa linakuwa na wenye kuamini na wasioamini,unajua huwezi kukuta watu mchana wa jua kali wakibishana kuwa huo ni mchana au usiku..lakini ukiwafungia watu hao kwenye chumba chenye giza wakati wote basi haitokuwa ajabu kama watakuwa wakibishana kuwa ni usiku au mchana.

Na hivyo ndivyo ni sawa na imani ya mungu.

Naomba nikuulize,Je kuamini Katika dini ,ndiyo kuamini Katika mungu ?
 
Naomba nikuulize,Je kuamini Katika dini ,ndiyo kuamini Katika mungu ?
Sijui wewe dini unaichukuliaje ila mie dini naichukulia ni mfumo wa maisha ambao mungu anataka tuishi na kwenye dini ndipo ambapo tunapata kujua yale yenye kumuhusu mungu,kwa hivyo utaona hapo uhusiano wa dini na mungu,.
 
This is so sad ,Yani I couldn't believe my eyes.With those sentences "From What I Know ". ," believe me". I call them wishy-washy sentence ,hence your argument is very weak than any other argument.You haven't even tried to touch the Topic ,you are out of it .

Stupid Is As Stupid Does ,Sir !

Well,did I lie saying Catholic Church ni criminal organization?How many children have been sexually abused by Priests within Catholic Church administration?

Did I lie saying Trinity ni false teaching ?

Did I lie saying Catholic Church built over pagan system ?

Did I lie saying Muslims have been indoctrinated into hatred Of other religions and cultures ?

Did I lie saying Muslims believe Quran has never been distorted ?

How many people believe Jesus died for their sin,is that not false teaching?

Did I lie saying black beings have been enslaved mentally ?

Those are the things you should touch.

Isn't mental slavery makes beautiful African man or woman to bleach his or her skin making it white because they have made to believe white skin is better than black skin ?

Isn't mental slavery and colonialism have made many Africans believe God or Jesus Christ is white ?When blacks close eyes to pray ,they imagine white God in the form of a white Jesus ,

Isn't mental slavery,today ,dark skinned women are called all sorts of hurtful names not by whites ,but blacks themselves.?

Black people are the most self hating and self destructive physically and mentally than any other community on earth .It's after effects of colonization.it is hard to admit,but that is Ultimate truth.

And let me tell you ,Colonial Missionary schools in Africa was set up not to educate the people but as brainwashing institution to spread the Gospel and Mental slavery,and that is the reason back in the days,it was very difficult to find an educated muslim,it was only for those who accept Gospel.Using education as a tool ,they introduced mental slavery and religion.

Colonial Missionary Schools isn't separable from colonialism.It is one and the same thing .

Today ,If you ask most of black beings ,hey what on earth are you up to ?
They will say ,we are here to worship Jesus ,and the interesting thing is ,Jesus was just a being ,being ,not the whole thing .

If You have the balls to debate ,let's stop and think .Don't come here with Mavi Mavi " AM Tanzanian Living In Europe " who cares about that ,? You Don't even know where I am right now .do you ?

Religion is a man made device and is often about loyalty to institutions,More people have been killed and tortured over religious beliefs than any other reason in history .

You can't turn men into slaves unless you break their spirit .kill their capacity to think and tie them together .If You kill a man 's sense of personal value ,he will submit.It is that simple .
How could you say that Jesus is a being while even his conceivation was hollified? Well...religions as a way to understand the works of God have been spoiled and mislead due to extra foolish affairs of human being like crusades wars and other malladies, but that doesnt prove that God is a mere abstract.

And in the post no 1 you said that God created the universe in 6 days, I wonder that or you havent made a thorough read of the holy book.
 
Unazidi kujichanganya tu,kuamini kitu kunahitaji sababu na ndiyo maana nyie mnapinga sababu zenye kuwafanya watu kuamini mungu. Sasa unaposema unaweza tu kuamini pembe tatu ni duara una maanisha kuwa kuamini hakuhitaji sababu na ndiyo maana ukatoa mfano huo wa jambo unaloliona haliwezekani.

Imani ingekuwa haina sababu basi isingewezekana kumshawishi mtu aamini kitu au kumfanya mtu aache kuamini anachokiamini na kumfanya aamini kitu chengine bila kumpa sababu zitakazo mshawishi kufanya hivyo.

Na jambo la imani siku zote huwa linakuwa na wenye kuamini na wasioamini,unajua huwezi kukuta watu mchana wa jua kali wakibishana kuwa huo ni mchana au usiku..lakini ukiwafungia watu hao kwenye chumba chenye giza wakati wote basi haitokuwa ajabu kama watakuwa wakibishana kuwa ni usiku au mchana.

Na hivyo ndivyo ni sawa na imani ya mungu.
Mkuu shukrani kwa hilo ,,,labda kumsaidia huyo ndgu
“Imani ni tarajio lililohakikishwa la mambo yanayotumainiwa, uthibitisho ulio wazi wa mambo halisi ingawa hayaonekani.” (Waebrania 11:1 ) Ili kuwa na tarajio hakika, ni lazima kuwepo na sababu za msingi za kuamini jambo. Kihalisi, neno la lugha ya awali linalotafsiriwa “tarajio lililohakikishwa” lina maana pana zaidi ya kuwa na hisia za ndani tu au kupenda jambo fulani. Hivyo imani inahusisha uhakikisho unaotegemea uthibitisho hakika.
 
Mkuu uwepo wa Mungu siyo kweli maana hakuna ushahidi sahihi na wenye nguvu za kuonesha kuwa Mungu yupo.
Hata hayo mafundisho pamoja na maandiko yanayosemekana kuwa ni ya Mungu yamejaa contradictions kibao.
Mkuu unaamini nini???kama science niambie tufahamishane professor na wataalamu wanavyosema
 
Mkuu safi sana kwa kuandika hii ishu...Miaka ya nyuma nikiwa ndio niko form five Nilishawahi kumwambia mtu mmoja kuhusu "UTATU WA MUNGU" kuwa haupo bado kidogo anitoe roho...
mkuu watu wamekariri sana ,,hili jambo la uongo limewafanya watu warudi nyuma sana kiiman
 
Mkuu uwepo wa Mungu siyo kweli maana hakuna ushahidi sahihi na wenye nguvu za kuonesha kuwa Mungu yupo.
Hata hayo mafundisho pamoja na maandiko yanayosemekana kuwa ni ya Mungu yamejaa contradictions kibao.
Kama uwepo wa Mungu sio kweli kwa kuwa hakuna ushahidi wewe unao ushahidi unaothibitisha kwamba Mungu hayupo? Quantum physics yenyewe inakubali kwamba kuna kuna visivyoonekana. Swali ni je! Atheists wanaweza kuthibitisha kwamba Mungu hayupo?
 
Huwa nafurahi sana ninapoona watu wakiwa wanajihoji kuhusu uongo unaoiumiza dunia kwa muda mrefu hasa huku kwetu Africa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom