Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,958
- Thread starter
- #261
Yaani hapo umejiona umejiuliza vitu vya maana kumbe pumba tupu. Hijja ilikuwepo kabla Muhammad hajazaliwa, na lengo lake sio utalii kama ujuavyo wewe, mtu akiamua kwenda kutalii Italy na akiacha Tanzania anasababu zake, ni chaguo lake. Kwani kuna vingi Italy vipo ila Tanzania hakuna.
Hizi zinaitwa chuki, na wewe sio wa kwanza kuwa nazo. Hata watu wa kwanza waliompinga Muhammad kama Amru ibn Hisham walikua na sabab kama hizi za kwako, kwanini awe Muhammad na asiwe fulani? Ni wivu tuu, unakufumba macho usiuone ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilikuwepo kabla ya Muhammad kwa waaafrica au kwa waarab?
It’s fun kwa wewe kusima neno CHUKI, LoL
Mk54