ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,231
- 14,711
Leta link.Wewe google tu utaona machapisho ya wanafizikia.
Leta link.Wewe google tu utaona machapisho ya wanafizikia.
Nimemsoma Harari katika vitabu vyake viwili.Hapana ila nitaitafuta hadi niipate.Wapo watu waliojaribu kueleza nadharia za kwanini kuna waamini wa dini kwa kutumia sexual selection theory. Ambapo wanadai religious rituals zipo ili ku influence watu wa mate na mambo mengine ya kufanana ingawa ushawishi wake bado ni mdogo.
Sina uhakika sana kama ninasumbuliwa na Schadenfreude au lah, lakini huwa napenda kuwasikiliza wafia dini wanavyoimbia, kuabudu na kuomba kwa vitu visivyokuwepo.Kwenye mawazo yangu huwa nawauliza swali.....Kwahiyo hapo ulipo unaongea na Mungu?
Mkuu umewahi kuwa theist??kama hujawahi kwanin uwaletee kashifa kuwa Hawa watu ni wa ajabu,ww waulize why wana iman mungu yupo;ili uwakosoe..Theists ni watu wa ajabu sana. Minds zao zime adapt kwenye kupokea na kuamini chochote.Hawataki kutafuta ukweli kwenye hiyo fake reality wanayoishi.Hawataki kufanya analysis ya kuchambua mbivu na mbichi ili waweze kuwa na uhalisia wenye mantiki.Wakikutana na imani za dini ambazo ni kama opium ndio kabisa wanashindwa kuona nyeusi ni ipi na nyeupe ni ipi.Ndio maana kila siku wanatafuta sababu za kuamini kwenye hizo dini pamoja na Miungu yake licha ya kwamba ni ant-life practices.
Nakubali sana BROHujaelewa nilichoandika na hili ni tatizo lako siyo langu.Bahati mbaya sana sina muda wa kukuelewesha kwakuwa sina mpango wa kuendelea kujadili mada hii....
Nikushukuru kwa kuonesha namna unavyofikiri na nikutakie tafakuri njema....
Siyo dhambi mtu yoyote kumpinga mtu yoyote na siyo dhambi mtu kutoa maoni yake ilimradi tu yasivunje sheria za JF,hapa na wewe umefanya jambo hilo hilo na ninaheshimu mawazo yako japokuwa yapo nje na nilichokisema.....
Nikutakie wakati mwema kiongozi....
Kumbe nawe ni wakawaida hivyooo..! Kumbe unifai aisei.naona mmeamua kutunyima uhondo waswahili


Utajuta kusoma philosophy huku ukiwa na kThis is so sad ,Yani I couldn't believe my eyes.With those sentences "From What I Know ". ," believe me". I call them wishy-washy sentence ,hence your argument is very weak than any other argument.You haven't even tried to touch the Topic ,you are out of it .
Stupid Is As Stupid Does ,Sir !
Well,did I lie saying Catholic Church ni criminal organization?How many children have been sexually abused by Priests within Catholic Church administration?
Did I lie saying Trinity ni false teaching ?
Did I lie saying Catholic Church built over pagan system ?
Did I lie saying Muslims have been indoctrinated into hatred Of other religions and cultures ?
Did I lie saying Muslims believe Quran has never been distorted ?
How many people believe Jesus died for their sin,is that not false teaching?
Did I lie saying black beings have been enslaved mentally ?
Those are the things you should touch.
Isn't mental slavery makes beautiful African man or woman to bleach his or her skin making it white because they have made to believe white skin is better than black skin ?
Isn't mental slavery and colonialism have made many Africans believe God or Jesus Christ is white ?When blacks close eyes to pray ,they imagine white God in the form of a white Jesus ,
Isn't mental slavery,today ,dark skinned women are called all sorts of hurtful names not by whites ,but blacks themselves.?
Black people are the most self hating and self destructive physically and mentally than any other community on earth .It's after effects of colonization.it is hard to admit,but that is Ultimate truth.
And let me tell you ,Colonial Missionary schools in Africa was set up not to educate the people but as brainwashing institution to spread the Gospel and Mental slavery,and that is the reason back in the days,it was very difficult to find an educated muslim,it was only for those who accept Gospel.Using education as a tool ,they introduced mental slavery and religion.
Colonial Missionary Schools isn't separable from colonialism.It is one and the same thing .
Today ,If you ask most of black beings ,hey what on earth are you up to ?
They will say ,we are here to worship Jesus ,and the interesting thing is ,Jesus was just a being ,being ,not the whole thing .
If You have the balls to debate ,let's stop and think .Don't come here with Mavi Mavi " AM Tanzanian Living In Europe " who cares about that ,? You Don't even know where I am right now .do you ?
Religion is a man made device and is often about loyalty to institutions,More people have been killed and tortured over religious beliefs than any other reason in history .
You can't turn men into slaves unless you break their spirit .kill their capacity to think and tie them together .If You kill a man 's sense of personal value ,he will submit.It is that simple .
Atheists wanajifanya kuamini sana kwenye quantum physics, sasa quantum physics nayo inakubali kwamba Mungu yupo. The best proof of God's existence : quantum physicsMkuu umewahi kuwa theist??kama hujawahi kwanin uwaletee kashifa kuwa Hawa watu ni wa ajabu,ww waulize why wana iman mungu yupo;ili uwakosoe..
Anyway Mimi naomba unisaidie kwanin unasema mungu hayupo mkuu??
Doh! unaniuliza mie tena imani ni nini?Imani ni nini?
Nimeeleza hapo juu kwamba inaelekea tafsiri yako ya neno imani ni finyu.
Labda tuanze kwa wewe kunieleza maana ya neno imani unavyolielewa wewe ni ipi?
Imani ni nini?
Kama hujajibu unaelewa nini unaposikia neno imani hatuwezi kufika mbali.Doh! unaniuliza mie tena imani ni nini?
Unajua kwanini nimekuuliza huo mchezo unaingiaje kwenye imani?
sikufai kabisaaaaaaaaaKumbe nawe ni wakawaida hivyooo..! Kumbe unifai aisei.![]()
Sababu mnazofikiri ama kusema kuwa ndiyo ziliwafanya watu enzi hizo kuamini mungu si sahihi na ndiyo maana hadi leo bado watu wanaendelea kuamini mungu.Nimemsoma Harari katika vitabu vyake viwili.
1. "Sapiens: A Brief History of Humankind"
2. "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow"
Home Page - Yuval Noah Harari
Yuval Noah Harari - Wikipedia
Ukimsomautawacheka zaidi theists,hasa wale waliofundishwa Wayahudi ni taifa teulela Mungu, utaona Myahudi mwenyewe msomi anavyokataa ujinga huo.
Harari anasema watu huwa tuna "imagined reality" zinazotusaidia kuishi vizuri. Ndiyo kama hayo mambo ya "sexual selection theory".
Akasema hili ni jambo zuri hata kama ni la kutungwa tu. In other words,hapo nyuma iliwezekana kuwa na ulazima wa kutunga hadithi ya kuwepo kwa Mungu ili kweza kuwa na order katika society, au kujibu maswali mazito yasiyojibika.
Ametoa mfanommoja wa imagined reality katika hela. Anasema hel, kwa mfano noti ya USD 100,haina thamani ya vitu unavyoweza kunua kwa hiyo USD 100. Mkiwa katikakisiwa ambachohakina watu na hamuwezi kutokahumo,sahani ya chakula ambayohata haifiki $5 inakuwa na thamani kuliko ile noti ya $ 100. Kwa sababu hakuna mfumo wa kuifanya ile $100 iwe na thamani ya $ 100.
Lakini mkiwa katika mfumo wa kuifanya ile $ 100 iwe na thamani ya kununua vitu vinavyopatiwa thamani ya $100, ile karatasi ya $100 inakuwa na thamani ya vitu vingi sana na thamani yake inakuwa ya kweli. Ya uongo, lakini imekubalika kuwa kweli. Ameuita ukweli huu "imagined reality", ukweli wa kutungwa.
Ndizo habari za Mungu zinaangukia humo, watu waliona hapa bila kusema kuuana ni dhambi na kuna Mungu anahesabu dhambi zetu tukifanya nyingi atatuchoma tukifa, wau watauana sana, ngoja tutunge Mungu hapa, na as long as Mungu huyu wa kutungwa atatusaidia tuishi kwa amani au kufanya wale wabahili wachangie jamii kwenye sadaka, au waovu wafanye mema, na kujibu maswali yasiyojibika kama "kazi ya Mungu haina makosa" huyu Mungu anafaa.
Sasa tatizo linakuja, baada ya maendeleo ya kisayansi na teknolojia, tunawez kujibu maswali mengi sana, tunaweza kuwa na sheria za kuzuia uovu, tunaweza kukataa uovu bila hata sheria kwa kuelimika tu na kutaka kuishi maisha bora, lakini baadhi ya watu bado wameng'ang'ania kuwa Mungu yupo.
Nimekupa summary ndogo sana.
Ukipata muda tafuta vitabu vya Profesa Harari, kaandika kama yupo darasani anafundisha vile,nimevipenda sana vitabu vyake.
Kumbe wewe sio muelewa kiasi hicho,ingekuwa kweli unataka tukubaliane imani ni nini basi ungejibu swali langu ni vp ule mfano uliyoutoa unaingia kwenye imani basi hapo ungeweza kueleza imani ni nini na ndiyo ukaingiza huo mchezo kwenye kundi la imani.Kama hujajibu unaelewa nini unaposikia neno imani hatuwezi kufika mbali.
Kwa sababu ili tuelewane, inabidi tukubaliane imani ni nini.
Imani ni nini?
Hatuwezi kujadiliana lolote kuhusu imani kama hatujaanza ku define imani ni nini.Kumbe wewe sio muelewa kiasi hicho,ingekuwa kweli unataka tukubaliane imani ni nini basi ungejibu swali langu ni vp ule mfano uliyoutoa unaingia kwenye imani basi hapo ungeweza kueleza imani ni nini na ndiyo ukaingiza huo mchezo kwenye kundi la imani.
Hapana utanii tuuh..! Usije ninyima nanilii bure.sikufai kabisaaaaaaaaa
How could you say that Jesus is a being while even his conceivation was hollified? Well...religions as a way to understand the works of God have been spoiled and mislead due to extra foolish affairs of human being like crusades wars and other malladies, but that doesnt prove that God is a mere abstract.
And in the post no 1 you said that God created the universe in 6 days, I wonder that or you havent made a thorough read of the holy book.
Shukrani sana Mkuu, ngoja nivitafute chap.Nimemsoma Harari katika vitabu vyake viwili.
1. "Sapiens: A Brief History of Humankind"
2. "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow"
Home Page - Yuval Noah Harari
Yuval Noah Harari - Wikipedia
Ukimsomautawacheka zaidi theists,hasa wale waliofundishwa Wayahudi ni taifa teulela Mungu, utaona Myahudi mwenyewe msomi anavyokataa ujinga huo.
Harari anasema watu huwa tuna "imagined reality" zinazotusaidia kuishi vizuri. Ndiyo kama hayo mambo ya "sexual selection theory".
Akasema hili ni jambo zuri hata kama ni la kutungwa tu. In other words,hapo nyuma iliwezekana kuwa na ulazima wa kutunga hadithi ya kuwepo kwa Mungu ili kweza kuwa na order katika society, au kujibu maswali mazito yasiyojibika.
Ametoa mfanommoja wa imagined reality katika hela. Anasema hel, kwa mfano noti ya USD 100,haina thamani ya vitu unavyoweza kunua kwa hiyo USD 100. Mkiwa katikakisiwa ambachohakina watu na hamuwezi kutokahumo,sahani ya chakula ambayohata haifiki $5 inakuwa na thamani kuliko ile noti ya $ 100. Kwa sababu hakuna mfumo wa kuifanya ile $100 iwe na thamani ya $ 100.
Lakini mkiwa katika mfumo wa kuifanya ile $ 100 iwe na thamani ya kununua vitu vinavyopatiwa thamani ya $100, ile karatasi ya $100 inakuwa na thamani ya vitu vingi sana na thamani yake inakuwa ya kweli. Ya uongo, lakini imekubalika kuwa kweli. Ameuita ukweli huu "imagined reality", ukweli wa kutungwa.
Ndizo habari za Mungu zinaangukia humo, watu waliona hapa bila kusema kuuana ni dhambi na kuna Mungu anahesabu dhambi zetu tukifanya nyingi atatuchoma tukifa, wau watauana sana, ngoja tutunge Mungu hapa, na as long as Mungu huyu wa kutungwa atatusaidia tuishi kwa amani au kufanya wale wabahili wachangie jamii kwenye sadaka, au waovu wafanye mema, na kujibu maswali yasiyojibika kama "kazi ya Mungu haina makosa" huyu Mungu anafaa.
Sasa tatizo linakuja, baada ya maendeleo ya kisayansi na teknolojia, tunawez kujibu maswali mengi sana, tunaweza kuwa na sheria za kuzuia uovu, tunaweza kukataa uovu bila hata sheria kwa kuelimika tu na kutaka kuishi maisha bora, lakini baadhi ya watu bado wameng'ang'ania kuwa Mungu yupo.
Nimekupa summary ndogo sana.
Ukipata muda tafuta vitabu vya Profesa Harari, kaandika kama yupo darasani anafundisha vile,nimevipenda sana vitabu vyake.
Kama watu wangekuwa wana approach somo lolote kwa kutumia logical steps kama ambavyo umemweleza huyu jamaa hapa, kizazi che kisingezikuta hizi imani za dini.Hatuwezi kujadiliana lolote kuhusu imani kama hatujaanza ku define imani ni nini.
Huo ndiyoufunguo wa majadiliano.
Kwenye insha na debate, watu huanza na definitions.
Nashangaa unataka majadiliano ya kitu bila definition.
Unaweza kuita nyekundu yangu bluu yako, na mimi nikaita bluu yako nyekundu yangu, wote tukasemakitu kimoja kwa wewe kusema bluu yako (ambayo ni nyekundu yangu) na mimi kusema nyekundu yangu ambayo ni bluu yako, kitu kilekile, lakini wewe ukatumia neno bluu na miminikatumia neno nyekundu.
Ndiyo maana kabla ya kubishana nyekundu na bluu zinatokeaje kwenye alkali na acid katika litmus test,inabidi tuonyeshane nyekundu ikoje na bluu ikoje.
Imani ni nini?
Bilakujibu swali hili siwezi kupata uhakika hata kama unaelewaimani ni nini, licha ya imani yako ni ipi na ina uzuri au ubaya gani.
Kwa sababu hakuna ushahidi wowote kuwa Mungu yupo.Mkuu umewahi kuwa theist??kama hujawahi kwanin uwaletee kashifa kuwa Hawa watu ni wa ajabu,ww waulize why wana iman mungu yupo;ili uwakosoe..
Anyway Mimi naomba unisaidie kwanin unasema mungu hayupo mkuu??
To answer your question I assume Jesus H.Christ existed .Because Mythicists believe Jesus never existed,and it makes sense as well .
Well ,Jesus himself said he was human by calling himself the son of man,mark 2;10.
Remember I said ,I assume he existed ,because no one has ever delivered conclusive evidence.
One reason he came as son of man was to prove to other beings (except me ) , that we ,as son and daughters of man /human can live without sin if we make that choice minute by minute .
Let me quote the Bible to supplement the answer,Sir ,as in why he was just a being .
Jesus was conceived in the womb and was born (Luke 2:7),He experienced normal aging (Luke 2;40),He had natural physical needs (John 19:28),and human emotions (Mathew 26;38),He Learned (Luke 2;52) and he died a physical death (Luke 23;46).
Jesus was a human in every possible way except sin as the Bible tells us ,He lived a completely sinless life(Hebrew's 4;15).Jesus was born of the virgin marry ,that makes him as a human ,as you and me .
Believers believe in miracles,the miracle is the only thing makes his conceivation little different and Devine.
He came as the word of God ,Be ,It Be ! That is all and Marry was " Scapegoat "
The Hard Truth is ,Jesus was not God ,he did not create anything,did he ? .He was not biological son of God ,God did not sleep with Marry ,Did he ?
What happened was just a miracle like any other miracles ( if you believe in miracles ) .
This man was merely a prophet to spread the truth ,his conceivation was just to create attention to authority and the people,the community.Unfortunately,the devil mind ended in complicated life ,calling him God or Son of him ,through that complicated life ,they created Trinity in which there is no way to perfectly and completely understand it .Trinity is a impossible thing ,but the devil mind will tell you "You Must Have Jesus Consciousness To Understand Trinity " It is BS !.
The Concept of Trinity,God or Son of God is a fanciful story (person thought and unrealistic).
—Truth Has Forever Now Begun-NSYNC-This I Promise You .
—I Want To Hold Your Hand -The Beatles.They Want To Show You The Truth .
—Things Are Not The Way They Used To Be- Bob Marley -Natural Mystic.Bob is telling you the truth has been hidden,only myths are spread.
—The First step of learning the truth is getting honest with yourself.If You Seek ,You Shall Find .
You Will Not Give Up Your Old traditions ,customs and rituals,as long as you know the truth of life ,you separate the wheat from
The chaff (truth from
Myth ) .
Your second question,
No ,I did not say the universe was created in 6 days ,I was questioning why people believe the universe was created in six days ? This is false ,because time is abstract concept created by us to determine our life on earth.So when you say the universe was created in 6 days .what do you really mean ?and in which perspective?
And why you say I havent made a thorough read of the holy book?
Do you think the Bible contains entire truth of life behind things ,the
universe and time itself?
Thank You .