Cosmological truth

Cosmological truth

unapaswa kuamini kuwa kuna watu wanaicpntrol dunia na ulimwengu wote in all aspect of life..but kama utafree mind yako hakika hautakuwa katika mjumuisho huo....few people know the reality and are those who control others'mind....

open yout third eye..you will witness the truth hidden...
Naweza ku free mind kwa meditation tu au kunakingine Mkuu?
 
Dini ni chanzo kikuu cha kuvunjika kwa umoja wa binadam hapa duniani .Mtu mweusi hataki kusimama hata dakika tano just to think reality ya hivi vitu .
Unaweza kuelezea jambo hili mkuu?

Nakuomba uandike kwa lugha ya Kiswahili ili nikikujibu waweze kuelewa watu wengi zaidi....
Watu weusi wanautumwa mkubwa wa akili,ajabu hata walioenda shule utakuta anaongea non sense kana Kwamba Elimu haijamsaidia kitu.

Tatizo kubwa la hii dhambi ya utumwa inaanzia kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi cha pili,Mzazi anakufa Hana cha kumuhusia mwanae zaid ya kusema,wanangu sitotaka mtoke kwenye dini yenu ,hii Ndiyo dini sahihi(Sijui anatumia kigezo gani kusema ni dini sahihi)mtoto anabeba hiyo laana na kumpa mwanae pia ,mwanae na mwanae,Hawana cha kuhusia ,hawana wanachojua Katika maisha ya ulimwengu zaidi ya dini,mtu anakufa hali ya kuwa hajawahi kuishi maisha ,alikuwa kwenye animal realm katika umbo la binaadam.
Kwanini unahusisha dini na utumwa?

Kwanini unadhani utumwa ndiyo umetufikisha hapa tulipo?

Kwanini unadhani dini na utumwa ni vitu vinavyowenda sambamba?

Nakuomba tena,jibu kwa Kiswahili ili watakaosoma waelewe vizuri zaidi maana hunijibu mimi kama mimi,ingekuwa hivyo ningekuambia uandike hata Kigiriki na ningeelewa tu....
 
Mkuu sijui kwanini watu hasa waafrika mmekuwa mkikaririshana hivyo? Yani mmekuwa watu wa kutupia lawama dini kwa kushindwa kutatua matatizo yenu wenyewe?

Dini zipo karibu kila pembe ya dunia ila ajabu unakuta mtu anasema waafrika hatuna maendeleo kwa sababu ya dini,Yani unakuta mtu anaongea vitu ambavyo havina hata uhalisia.
Watu tunaoishu huku Afrika tuna matatizo mengi sana na hili ni mojawapo na nshindwa kuelewa haswa shida iko wapi...

Inawezekana kuna shida ambayo hatujaijua bado na huenda kuna siku tutaielewa,naendelea kujifunza ili siku moja niweze kusaidi kama nitatoa suluhu....
 
—Emancipate Yourself From Mental Slavery,None But Ourselves Can Free Our Minds -Bob Marley,Redemption.
Habari ya muda huu mkuu?

Nadhani lengo lako ni kuwasaidia watu wengi iwezekanavyo ili waweze kuuona "ukweli" wako kwenye maandiko yako haya.Nikuambie tu kwamba idadi kubwa sana ya watu hapa hawaelewi lugha hii vizuri ili waweze kupata ujumbe ulioko kwenye maandiko yako haya....

Ninachokushauri badilisha lugha ya kuandika haya,andika Kiswahili na kwa namna ambayo ityamfanya msomaji aweze kuendelea kusoma.Ukiangalia thread zako wachangiaji na wasomaji siyo wengi sana kwasababu ya lugha.....

Naona unaweza kuandika Kiswahili kizuri tu,kwanini usiandike kwa Kiswahili mkuu? Hii ni lugha ambayo wengi hapa wanaielewa vizuri zaidi kuliko hii lugha unayoitumia mkuu....

Hebu jaribu kuandika kwa Kiswahili halafu uone itakavyokuwa.....
 
Unaweza kuelezea jambo hili mkuu?

Nakuomba uandike kwa lugha ya Kiswahili ili nikikujibu waweze kuelewa watu wengi zaidi....

Kwanini unahusisha dini na utumwa?

Kwanini unadhani utumwa ndiyo umetufikisha hapa tulipo?

Kwanini unadhani dini na utumwa ni vitu vinavyowenda sambamba?

Nakuomba tena,jibu kwa Kiswahili ili watakaosoma waelewe vizuri zaidi maana hunijibu mimi kama mimi,ingekuwa hivyo ningekuambia uandike hata Kigiriki na ningeelewa tu....

Hello!

Well ," Dini Ni chanzo cha kuvunjika kwa umoja wa binaadamu"

Is that what you want me to elaborate?

Mbona Hii ipo clear kabisa Mkuu .Kuanzia kwenye post yangu mpaka kwenye comments zangu,that was a song I was singing all along.Suala la dini kugawanya watu haliitaji mjadala,lipo wazi unless kama wewe huyatizami haya maisha kwa jicho la umakini.

Ukweli ni Kwamba USA Gvt ni Red Devil,lakini wanamazuri yao,Hawataki kabisa hawa extremist wa dini kwenye gvt,kwasababu wanajua tatizo la dini likishaingia kwenye vichwa vya watu .

JFK was the first USA President happened to be Catholic ,Na ilimpa tabu sana kwenye kampeni zake ,as in how ataweka maslaha ya raia wa marekani mbele zaidi kuliko interest za Pope and Roman Catholic Church,na alitolea maelezo Kwenye kampeni huu mzozo.

Leo hii tunaona Africa ,The Roman Catholic Church walivyo penetrate kwenye Gvt zetu ,the way walivyo gawanya watu ndani ya gvt,you can see by naked eyes .Kwenye nchi nyingi za Africa ikiwemo na Tanzania ,Gvt nyingi zinafanya kazi kwa kuweka maslaha ya Roman Catholic Church mbele kuliko interest za raia wake .

Ndiyo maana nakwambia Catholic Church ni criminal organization needs to be bankrupted at the first opportunity (as soon as possible),kwasababu ina create disunity among the same race.

True Religion Is Really Living —A.Einstein .

Hizo Nyingine ni institutions to make you Follow -Follow.

Mimi naona kila mtu anaweza kuona dini inagawanya vipi watu.
 
2.Suala la kwanini nahusisha dini na utumwa.

Well I am ,I think it's time to see and accept the truth the evidence supports.

Ukweli ni Kwamba half of these scriptures (the Bible ,Quran )are very disturbing to the human mind .

If Today People lived by the Bible rules from Genesis to Revelation or lived by Quran rules from Surat Al Fatiha to Surat An Nas they would be feeding the beast ,really dangerous than any other animal on earth including the Devil himself.

There was no such a thing human rights ,Freedom of worship .Leo watu wapo huru kusema I am this I am Muslim,I am that I am Christian.Back in the days ,it was extremely impossible.

"Silimu Usalimike "do you even know those words ? Do you even know how many our beloved scientists were burned Live to death just by questioning the authority Of Catholic Church ?

Saudia Arabia is considered The holiest palace for the Muslims on earth ,Makkah ! A state which beheads and even crucifies its own citizens ,A state where women lack many basic rights ,A state where children are indoctrinated into hatred of non Muslim beings.

—those who think are closest to God ,the heaven is actually the farthest away from them •

One of the biblical scriptures remain untouched today is SLAVERY.

Both in New and Old Testament as well as Quran ,slavery was never condemned.

Jesus himself was mute on the issue of slavery,he never said a word against the practice ,he could have started social movement to fight against the injustice of slavery protesting in the streets

"Slaves Lives Matter "

The truth is ,bible says a lot about slavery but nowhere in the Bible does condemn slavery ,neither in the Quran.The Bible and Quran discuss slavery as it was normal part of life.

Timothy 6:1

All who are under the yoke of slavery should consider their masters worthy of full respect,so that God's name and our teaching may not be slandered.

Colossians3:22

Slaves ,Obey your earthly masters in everything and do it ,not only when their eye is on you and To curry their favor ,but with sincerity of heart and reverence for the lord .

Titus 2:9

Teach slaves to be subject to their masters in everything,to try to please them ,not to talk back to them .

Leviticus 25;44-46

Your male and female slaves are to come from the nations around you .from them you may buy slaves .45:You may also buy some of the temporary residents living among you and members of their clans born in your country and they will become your property.46:You can bequeath them to your children as inherited property and can make them slaves for life.But you must not rule over your fellow Israelites Ruthlessly.

Stop and Think right now!

The Bible makes it very clear ,that the non Hebrew slaves were property for life ,could be beaten as desired ,and slaves were passed on to male children just like any other property . Should I add more Verses from the Bible. ?...

QURAN 4:25

And whoever among you cannot find the means to marry Free believing woman,then he may marry from those whom your right hands possess of believing slaves .

QURAN 2;221

And do not marry polytheistic women (non Muslims)untill they believe,and a believing slave is better than a polytheist even though she might please you .

—Man Cannot survive except through his mind.•

As you can see Sir ,The Bible and Quran discuss slavery as it was normal part of life ,Nowhere in the Bible does it condemn Slavery.It was all about follow follow as an inferiority complex mentally,making people unable to think and reasoning.

Today ,thousands of people believe Jesus died for our sins ,Such a deception.

No one can die for your sins except you,because you are responsible for Your own deeds,true or false ?

Sasa there you are ,It is time to reflect the question back to you .

Kwanini nisihusishe dini na utumwa?
 
Habari ya muda huu mkuu?

Nadhani lengo lako ni kuwasaidia watu wengi iwezekanavyo ili waweze kuuona "ukweli" wako kwenye maandiko yako haya.Nikuambie tu kwamba idadi kubwa sana ya watu hapa hawaelewi lugha hii vizuri ili waweze kupata ujumbe ulioko kwenye maandiko yako haya....

Ninachokushauri badilisha lugha ya kuandika haya,andika Kiswahili na kwa namna ambayo ityamfanya msomaji aweze kuendelea kusoma.Ukiangalia thread zako wachangiaji na wasomaji siyo wengi sana kwasababu ya lugha.....

Naona unaweza kuandika Kiswahili kizuri tu,kwanini usiandike kwa Kiswahili mkuu? Hii ni lugha ambayo wengi hapa wanaielewa vizuri zaidi kuliko hii lugha unayoitumia mkuu....

Hebu jaribu kuandika kwa Kiswahili halafu uone itakavyokuwa.....

Thank you kwa ushauri.

Kuhusu kiswahili,Ni Lugha yangu of course.lakini That will be the most difficult job for me .mfano sina biblia ya Kiswahili as soft copy au sina Msahafu wa kiswahili as soft copy .

Pia mimi I Love To be myself,I really love to be exactly who I am ,exactly where I wanna be.

Not to be arrogant,but humu ndani there are so many people who have no mind ,khasa wale Ambao stamped as religious people ,as long as you have introduced something doesn't fit to their faith ,they will insult and ridicule you whatever they can.

They don't take time to honestly get to know the ultimate goal as in why we are debating.

We are here to learn ,to grow ,to develop and to die ,but most people just die.

I have zero tolerance na matusi,so this is the way to let them go ,hence from the word Go,let them Go.

I therefore feel proud kuona comments chache lakini kuna mengi ya kujifunza from others .

kwasababu kuna watu wana comment hata kama wanapinga lakini you can learn from them .

Sometimes thread nyingine zina fika pages 100 ,ukifungua humo ,watu wanabishana kwa matusi from the beginning to end,kitu kidogo ,mtu analeta quotes za bible au Quran verses zaidi 50 ,I mean hakuna anachoweza kufikiria yeye kama yeye .

—You can't turn men into slaves unless you kill their capacity to think •

We can't debate that way ,ni waste of time .

Nisieleweke vibaya ,sina maana kuwa wanaoandika English hawawezi kutukana bali kuna watu wana comment bila hata ya kuelewa topic.,ambao Ndiyo hao baadae wanaanza kuharibu thread kwa matusi.

Watu wengi humu wanaelewa English vizuri Sana na pia wanajenga hoja vizuri kwa kiswahili ,that is the thing .

Sio kuja HAPA na kuanza kusema

"Wewe mpumbavu"

" kajitu kadogo kwenye universe "

" Am a Tanzanian living in Europe "

"Believe me "

"From What I Know "

The person like that ,doesn't belong here.

From the word Go ...Let them Go.

Hii ni intelligence Forum ,For those who have the balls to blow up their Minds.

"Mind "

The most powerful energy in this world .
 
The Word, The philosopher's stone. how to crack the code mpaka kupata hiyo Knowledge? Hapa ndio pagumu ingawa njia zipo in plain sight ni wachache tu wameweza kupata maana halisi ya maisha wengine wengi tumebaki kuwa kondoo
 
"The king kingdom of God is within you,whoever finds it ,shall get it"

hakuna kitu rahisi katika maisha yako,everything needs much efforts to get it,the more it's complex the more it needs much efforts and concentrations.

hakuna kitu kigumu na kizito kama kuiweka mind yako free ambayo haitaimi imani mpya kama utakuwa strongly connected katika mambo ya kwenye biblia na quran kama yanavyotafsiriwa na watu.
what you need is to free your mind and rewash it na ikibidi format kabsa imani zote then start afresh tho think deeply how the univeerse is,surely you will understand something and you will see yo mind opening in high speed ,
yani ukianza kuthink beyond your reality about this universe ,the universal mind( God) responds to you and give your mind to interprete the reality of nature...

ni ngumu kuamini but utaamini mengi sana...it needs yo attention to free your mind in relavant to vibrations and maximum frequency to the universal mind and things will open themselves to you...

" the kingdom of God is within you ,you can find it within you and not from somebody else..na hilo ndo fumbo la imani...
 
Watu wamejaza vitu vingi sana kichwani ambavyo havina uhalisia katika maisha ya kawaida,nakumbuka hata mimi nishawahi kupitia jambo kama hili kwa kusoma mambo ambayo niliona ni ya ukweli. Ila sasa nikirudia kusoma hayo mambo naona ni jinsi gani ambavyo yalivyokosa uhalisia.

Humu unakuta mtu anasema dini zinatia umasikini mara mwengine aseme dini zinawafanya watu kutokuwa huru ila ukimuuliza ni nani ambaye yupo huru hawezi kujibu.
 
Kuwa huru kwenye mind yako haimaanishi uache imani yako ,not so easy mtu kuacha imani yake hata kama ni ya uongo .

Binadamu aliyekuwa huru kichwani Halafu akawa mtu wa dini ,hawezi kuwa sawa na binadamu asiye kuwa huru kichwani Halafu akawa mtu wa dini.

Kuwa huru kichwani ni kuiona dunia kama ilivyo ,siyo kama ulivyokaririshwa.

Kuna wengi hawakutaka kwenda shule kwa sababu wanaaamini elimu dunia haikufikishi popote mbele ya mungu ,kuna watu wapo tayari wasikusaidie kwa sababu mna imani tofauti,kuna watu wapo tayari kuua kwa sababu imani inasema kisasi ni haki,,kuna watu wanaamini mtu fulani amekufa kwa ajili ya dhambi zake .Kuna watu fulani wanaamini kumpa mwanamke uongozi ni kuidhalilisha dini na mambo kama hayo.

Hakuna kitu kigumu hapa duniani kama kuishi na mtu ambae ana imani thabiti ya dini yake hali ya kuwa hayupo huru kichwani,kwa Sababu imani yake itamwambia yeyote asiye kubaliana na imani yake basi hakika yupo katika njia potofu,mtu aliye huru kichwani hawezi kudhani hivyo wala kufikiri hivyo hata kama ni mtu wa dini.

Mtu aliye huru Akimtizama mtu ambae hayupo kwenye imani yake ,haoni huo upotofu ,anachoona yeye ni just life itself ,beauty,loving ,kindness etc etc ,haoni huo upotofu.

Leo watu wanakusanyana eti kwenda kwa padri au shekh na kuanza kuombewa ,na baadhi ya watu hawataki hata kwenda Hospital,kuwa bwana yesu ni mponyaji,huo ndiyo moja ya utumwa wa dini ha akili .

Una uwezo wa kuwa vile utakavyo wewe ,hulioni tu hilo,unaenda kumpa mtu hela kanisani ,unapoteza muda kuombewa na hakuna linalobadilika zaidi ya kuambiwa imani yako itakuponya,padri anakusanya sadaqa na kwenda kula na family yake .

Dini ni chanzo cha vurugu na umaskini kwa mtu ambae hayupo huru kichwani,Leo mtu ambae amefunzwa katika misingi ya kuvaa hijabu ,maadam hayupo huru kichwani,atamuona mtu ambae havai hiyo hijabu yupo katika upotofu mkubwa ,kuwa anatembea uchi hali ya kuwa kavaa nguo.hawezi kumtizama kwa jicho la life itself,atamtizama kwa jicho la imani yake ,na hilo ndiyo tatizo la dini zote hasa kwa watu wasio huru kichwani.

You need to define what is Mental free.

Mental free doesn't mean being demon possessed,or being evil or denying your faith .

It's called Freedom .
 
Hivi hamuwezagi kudiscuss mambo yenu bila kunitaja taja??

Bold bold bold.!!
Amewafanya nini??

Watoto wa kiume mnakuwa kama mabinti...

Fanya yako, wacha nifanye yangu... Sio lazima unikubali.! Akinikubali mama yangu, ndugu zangu, Cheupe wangu, marafiki zangu inatosha...

Acheni kunitaja taja kwenye mabishano yenu..

Nitaanza kuwatoza ushuru kwa kunitaja taja jina langu.!!

Mnaharibu uzi uzuri kwa kuleta mabishano yenu ya kike kike...

Stupid...
Kaka mkubwa the bold...
Nini tatizo..?
 
Hello!

Well ," Dini Ni chanzo cha kuvunjika kwa umoja wa binaadamu"

Is that what you want me to elaborate?

Mbona Hii ipo clear kabisa Mkuu .Kuanzia kwenye post yangu mpaka kwenye comments zangu,that was a song I was singing all along.Suala la dini kugawanya watu haliitaji mjadala,lipo wazi unless kama wewe huyatizami haya maisha kwa jicho la umakini.
Well,

Ninayatizama kwa jicho la umakini sana tena sana tu labda tunatofautiana namna ya kuyatizama na hata maana ya huo umakini tunaweza kuwa tunatofautiana pia....

Kwanza nikukumbushe tu kuwa huwa sipo interested na mijadala ya lugha ambayo tutakachokuwa tunakijadili hkitawanufaisha wengi.Niko hivyo kwasababu lengo kuu la kuja hapa ni kubadilishana uzoefu na ufahamu wa mambo mengi hivyo kama tunachokijadili tutakuwa tunaelewana mimi na wewe tu au watu wachache huku namba kubwa ikiwa haielewi ni afadhali tukachat inbox maana huko ndiko kwaajili yetu....

Kwasababu hiyo,inawezekana umeelezea "sababu za kukufanya useme dini zimetugawanya" lakini umeelezea kwa lugha ambayo siyo rafiki ya wengi hapa hivyo ninavyokuuliza tena ninataka uelez ili wengi waelewe ili nikikujibu au mwingine akikujibu basi iwe faida kwa wengi pia,kwahiyo,naomba uelewe na suala la "Nimeshaimba sana hapa na kwenye post zangu zingine na mada" naomba liwe siyo la maana kwasababu hiyo hapo juu...

Baada ya hilo acha nikuulize,unaposema dini zimetugawa unakuwa unazungumzia kiujumla jumla sana.Duniani kuna dini zaidi ya 1000,unazungumzia dini zipi ambazo zimetugawa? Unazungumzia Bah'ai pia?

Suala la dini kutugawa siyo suala la watu wote duniani na halieleweki kwa namna moja kwa kila mtu hivyo usiseme "halihitaji mjadala",kusema hivyo unakuwa kama vile kila mtu anaweza kuingia kichwani mwako na akaelewa kile unachokisema kitu ambacho sicho kabisa....

Unahitajika mjadala sana tu...
Ukweli ni Kwamba USA Gvt ni Red Devil,lakini wanamazuri yao,Hawataki kabisa hawa extremist wa dini kwenye gvt,kwasababu wanajua tatizo la dini likishaingia kwenye vichwa vya watu .
Umenishangaza sana kwakweli kwa kauli yako "ukweli ni kwamba USA ni devil lakini ana mazuri yake",ni nani hana mazuri hapa duniani? Kama "kuwa na mazuri yako" kunakufanya usiwe mbaya basi hoja yako yote ya kulaumu dini inajifia hapo hapo maana sidhani kama kuna chenye mabaya tu.....

Lakini kama unataka tupime na kuangalia ni kipi kati ya mabaya na mazuri kinazidi kingine kisha tuamue cha kufuata,naomba uniambie mazuri ya Marekani ni yapi na mabaya yake ni yapi kisha tupime hapa wote kisha utueleze ni kwa kipi kimekufanya uone hao USA ni "afadhali" kuliko hata Nazism....
JFK was the first USA President happened to be Catholic ,Na ilimpa tabu sana kwenye kampeni zake ,as in how ataweka maslaha ya raia wa marekani mbele zaidi kuliko interest za Pope and Roman Catholic Church,na alitolea maelezo Kwenye kampeni huu mzozo.
Ni kwa vipi Pope anaingilia masuala ya nchi kama Marekani?
Leo hii tunaona Africa ,The Roman Catholic Church walivyo penetrate kwenye Gvt zetu ,the way walivyo gawanya watu ndani ya gvt,you can see by naked eyes .Kwenye nchi nyingi za Africa ikiwemo na Tanzania ,Gvt nyingi zinafanya kazi kwa kuweka maslaha ya Roman Catholic Church mbele kuliko interest za raia wake .

Ndiyo maana nakwambia Catholic Church ni criminal organization needs to be bankrupted at the first opportunity (as soon as possible),kwasababu ina create disunity among the same race.

True Religion Is Really Living —A.Einstein .

Hizo Nyingine ni institutions to make you Follow -Follow.

Mimi naona kila mtu anaweza kuona dini inagawanya vipi watu.
Brother,naona tu unarusha shutuma bila hata kuonesha hiyo namna ambayo unataka tuione kwa macho yaliyo wazi bila nguo jinsi kanisa Katoliki lilivyoingilia serikali zetu...

Hebu tuoneshe kwa ushahidi kuwa kanisa katoliki limeingilia serikali zetu na ni uovu gani uliopo kwenye kanisa hili.Ukiendelea tu kusema kanisa limefanya hiki na kile mwingine atakuja kusema kuwa una chuki binafsi na ukatoliki na hadithi yenu itaishia hewani tu bila kuwepo kwa mjadala wenye tija kwetu sote....

Hebu weka huo ushahidi wa kanisa katoliki kuingilia serikali zetu hapa kisha mjadala uendelee ili tusije kuwa tunajadiliana tu hapa.....
 
Sometimes thread nyingine zina fika pages 100 ,ukifungua humo ,watu wanabishana kwa matusi from the beginning to end,kitu kidogo ,mtu analeta quotes za bible au Quran verses zaidi 50 ,I mean hakuna anachoweza kufikiria yeye kama yeye .
Uliyosema nayaelewa yote na ninayafahamu sana tu,lengo langu ni kwamba hata hao ambao huwa ni "wapuuzi" kuna wakati unaweza kuwasaidia kwa kuwaelewesha kwa lugha yao....

Ni kweli wapo wengi wanaoelewa lugha hii,lakini wengi kati ya wanaoelewa na wasioelewa vizuri ni wapi? Lengo langu ni kukukumbusha kwamba wasomaji ni wengi kuliko wachangiaji hivyo elewa kwamba unatakiwa uelewe kuwa kuna wasomaji pia...

Nashindwa kuelewa kama Kiswahili ni lugha yako unapataje ugumu kuandika....

Jaribu sana kubadili suala hili mkuu....
 
Well,

Ninayatizama kwa jicho la umakini sana tena sana tu labda tunatofautiana namna ya kuyatizama na hata maana ya huo umakini tunaweza kuwa tunatofautiana pia....

Kwanza nikukumbushe tu kuwa huwa sipo interested na mijadala ya lugha ambayo tutakachokuwa tunakijadili hkitawanufaisha wengi.Niko hivyo kwasababu lengo kuu la kuja hapa ni kubadilishana uzoefu na ufahamu wa mambo mengi hivyo kama tunachokijadili tutakuwa tunaelewana mimi na wewe tu au watu wachache huku namba kubwa ikiwa haielewi ni afadhali tukachat inbox maana huko ndiko kwaajili yetu....

Kwasababu hiyo,inawezekana umeelezea "sababu za kukufanya useme dini zimetugawanya" lakini umeelezea kwa lugha ambayo siyo rafiki ya wengi hapa hivyo ninavyokuuliza tena ninataka uelez ili wengi waelewe ili nikikujibu au mwingine akikujibu basi iwe faida kwa wengi pia,kwahiyo,naomba uelewe na suala la "Nimeshaimba sana hapa na kwenye post zangu zingine na mada" naomba liwe siyo la maana kwasababu hiyo hapo juu...

Baada ya hilo acha nikuulize,unaposema dini zimetugawa unakuwa unazungumzia kiujumla jumla sana.Duniani kuna dini zaidi ya 1000,unazungumzia dini zipi ambazo zimetugawa? Unazungumzia Bah'ai pia?

Suala la dini kutugawa siyo suala la watu wote duniani na halieleweki kwa namna moja kwa kila mtu hivyo usiseme "halihitaji mjadala",kusema hivyo unakuwa kama vile kila mtu anaweza kuingia kichwani mwako na akaelewa kile unachokisema kitu ambacho sicho kabisa....

Unahitajika mjadala sana tu...

Umenishangaza sana kwakweli kwa kauli yako "ukweli ni kwamba USA ni devil lakini ana mazuri yake",ni nani hana mazuri hapa duniani? Kama "kuwa na mazuri yako" kunakufanya usiwe mbaya basi hoja yako yote ya kulaumu dini inajifia hapo hapo maana sidhani kama kuna chenye mabaya tu.....

Lakini kama unataka tupime na kuangalia ni kipi kati ya mabaya na mazuri kinazidi kingine kisha tuamue cha kufuata,naomba uniambie mazuri ya Marekani ni yapi na mabaya yake ni yapi kisha tupime hapa wote kisha utueleze ni kwa kipi kimekufanya uone hao USA ni "afadhali" kuliko hata Nazism....

Ni kwa vipi Pope anaingilia masuala ya nchi kama Marekani?

Brother,naona tu unarusha shutuma bila hata kuonesha hiyo namna ambayo unataka tuione kwa macho yaliyo wazi bila nguo jinsi kanisa Katoliki lilivyoingilia serikali zetu...

Hebu tuoneshe kwa ushahidi kuwa kanisa katoliki limeingilia serikali zetu na ni uovu gani uliopo kwenye kanisa hili.Ukiendelea tu kusema kanisa limefanya hiki na kile mwingine atakuja kusema kuwa una chuki binafsi na ukatoliki na hadithi yenu itaishia hewani tu bila kuwepo kwa mjadala wenye tija kwetu sote....

Hebu weka huo ushahidi wa kanisa katoliki kuingilia serikali zetu hapa kisha mjadala uendelee ili tusije kuwa tunajadiliana tu hapa.....

I am not ready to talk about government issues on social media ,please ,please me .

how could you even ask me such a question!!!!!!!

Sorry .

Sio lengo la hii Forum .

Ukitaka kuujua ukweli,just do some research.

Kuhusu Catholic,pia do some research in relation to government issues.

"Your self "

Because you need to be yourself,to know the truth .
 
Both in New and Old Testament as well as Quran ,slavery was never condemned.

Jesus himself was mute on the issue of slavery,he never said a word against the practice ,he could have started social movement to fight against the injustice of slavery protesting in the streets

"Slaves Lives Matter "

The truth is ,bible says a lot about slavery but nowhere in the Bible does condemn slavery ,neither in the Quran.The Bible and Quran discuss slavery as it was normal part of life.

Timothy 6:1

All who are under the yoke of slavery should consider their masters worthy of full respect,so that God's name and our teaching may not be slandered.
Colossians3:22

Slaves ,Obey your earthly masters in everything and do it ,not only when their eye is on you and To curry their favor ,but with sincerity of heart and reverence for the lord .

Titus 2:9

Teach slaves to be subject to their masters in everything,to try to please them ,not to talk back to them .

Leviticus 25;44-46

Your male and female slaves are to come from the nations around you .from them you may buy slaves .45:You may also buy some of the temporary residents living among you and members of their clans born in your country and they will become your property.46:You can bequeath them to your children as inherited property and can make them slaves for life.But you must not rule over your fellow Israelites Ruthlessly.

Stop and Think right now!

The Bible makes it very clear ,that the non Hebrew slaves were property for life ,could be beaten as desired ,and slaves were passed on to male children just like any other property . Should I add more Verses from the Bible. ?...
Kimsingi mimi ni Mkristo na haya ndiyo yanayonihusu,hayo ya Quran nawaachia yanayowahusu watakujibu....

Mkuu,kwanza naomba tu ujue kuwa kuna tofauti ya maana kati ya maneno utumwa kwenye agano la kale na agano jipya.Agano la kale ilikuwa na maana hii unayoisema hapa na pia kwa mazingira yale ilikuwa ni "sahihi",lakini utumwa kwa agano jipya haikuwa na maana hiyo unayoisema wewe isipokuwa ilikuwa na maana ya "wafanyakazi",nadhani unanielewa hivyo usidhani iko namna hiyo mkuu....

Labda nikushauri jambo,kabla hujaanza kurusha shutuma hebu anza na kuhoji ni kipi kilikuwa kinamaanishwa kwenye maandiko hayo,sisemi hujafanya hivyo,lakini sidhani kama inatosha bali endelea na utaelewa tu....

Ninajua ninachokueleza mkuu hivyo itakuwa vyema sana kama utafanya hivi....
 
I am not ready to talk about government issues on social media ,please ,please me .

how could you even ask me such a question!!!!!!!

Sorry .

Sio lengo la hii Forum .

Ukitaka kuujua ukweli,just do some research.

Kuhusu Catholic,pia do some research in relation to government issues.

"Your self "

Because you need to be yourself,to know the truth .
He!!

Sasa umekuja hapa na kulet huu mjadala ili iweje?

Unahubiri hapa watu wawe "free thinker" lakini hapo hapo umeleta mjadala ambao unatufanya tukuhoji uhalali wa madai yako unasema tusikuulize na hutaki kujadili,ulitaka tukubali tu bila kuhoji?

Huko ndiyo kuwa huru kifikra namna gani?

Hukujua aina ya mjadala unaouleta hapa au ilikuwaje?

Kama hutaki kujadili haya,ni kwanini umeleta mjadala huu hapa na kuanza kuwarushia Katoliki maneno ambayo huwezi kufafanua?

Sasa naanza kuona ni nani mwenye tatizo hapa...

Kila mtu anaweza kufanya hizo tafiti,lakini unapoleta mjadala kwa watu wengine huwa wanaandaa ushahidi pindi akihitajika kufanya hivyo,wewe hutaki,haya masuala si ungekaa nayo tu mwenyewe?

Nilidhani tutakuwa na mjadala unaoeleweka kumbe hakuna kitu...

Uwe na muda mwena na kwaheri....
 
Well,

Ninayatizama kwa jicho la umakini sana tena sana tu labda tunatofautiana namna ya kuyatizama na hata maana ya huo umakini tunaweza kuwa tunatofautiana pia....

Kwanza nikukumbushe tu kuwa huwa sipo interested na mijadala ya lugha ambayo tutakachokuwa tunakijadili hkitawanufaisha wengi.Niko hivyo kwasababu lengo kuu la kuja hapa ni kubadilishana uzoefu na ufahamu wa mambo mengi hivyo kama tunachokijadili tutakuwa tunaelewana mimi na wewe tu au watu wachache huku namba kubwa ikiwa haielewi ni afadhali tukachat inbox maana huko ndiko kwaajili yetu....

Kwasababu hiyo,inawezekana umeelezea "sababu za kukufanya useme dini zimetugawanya" lakini umeelezea kwa lugha ambayo siyo rafiki ya wengi hapa hivyo ninavyokuuliza tena ninataka uelez ili wengi waelewe ili nikikujibu au mwingine akikujibu basi iwe faida kwa wengi pia,kwahiyo,naomba uelewe na suala la "Nimeshaimba sana hapa na kwenye post zangu zingine na mada" naomba liwe siyo la maana kwasababu hiyo hapo juu...

Baada ya hilo acha nikuulize,unaposema dini zimetugawa unakuwa unazungumzia kiujumla jumla sana.Duniani kuna dini zaidi ya 1000,unazungumzia dini zipi ambazo zimetugawa? Unazungumzia Bah'ai pia?

Suala la dini kutugawa siyo suala la watu wote duniani na halieleweki kwa namna moja kwa kila mtu hivyo usiseme "halihitaji mjadala",kusema hivyo unakuwa kama vile kila mtu anaweza kuingia kichwani mwako na akaelewa kile unachokisema kitu ambacho sicho kabisa....

Unahitajika mjadala sana tu...

Umenishangaza sana kwakweli kwa kauli yako "ukweli ni kwamba USA ni devil lakini ana mazuri yake",ni nani hana mazuri hapa duniani? Kama "kuwa na mazuri yako" kunakufanya usiwe mbaya basi hoja yako yote ya kulaumu dini inajifia hapo hapo maana sidhani kama kuna chenye mabaya tu.....

Lakini kama unataka tupime na kuangalia ni kipi kati ya mabaya na mazuri kinazidi kingine kisha tuamue cha kufuata,naomba uniambie mazuri ya Marekani ni yapi na mabaya yake ni yapi kisha tupime hapa wote kisha utueleze ni kwa kipi kimekufanya uone hao USA ni "afadhali" kuliko hata Nazism....

Ni kwa vipi Pope anaingilia masuala ya nchi kama Marekani?

Brother,naona tu unarusha shutuma bila hata kuonesha hiyo namna ambayo unataka tuione kwa macho yaliyo wazi bila nguo jinsi kanisa Katoliki lilivyoingilia serikali zetu...

Hebu tuoneshe kwa ushahidi kuwa kanisa katoliki limeingilia serikali zetu na ni uovu gani uliopo kwenye kanisa hili.Ukiendelea tu kusema kanisa limefanya hiki na kile mwingine atakuja kusema kuwa una chuki binafsi na ukatoliki na hadithi yenu itaishia hewani tu bila kuwepo kwa mjadala wenye tija kwetu sote....

Hebu weka huo ushahidi wa kanisa katoliki kuingilia serikali zetu hapa kisha mjadala uendelee ili tusije kuwa tunajadiliana tu hapa.....

Well ,nimeshakuelewa nini unahitaji zaidi.Unfortunately ,time is always against us .

Suali lako la msingi likikuwa kwanini nina husisha dini na utumwa? That was the main question.

Hayo mengine wala sitogusia,kwasababu nilikuwa nina emphasize sentence,wasn't main point,that's it .

So nimekupa evidence supports as in why ninahusisha dini na utumwa,verses from the Bible and other scriptures zinaongelea utumwa kana kwamba ni kitu kizuri.

Now ,unatakiwa kuniambia kwanini nisihusishe dini na utumwa,nipe evidence supports,quote from scripture or anywhere else and put right here .

Hayo mambo mengine,Nazis ,USA blah blah leave them aside,wasn't the main topic .
 
Kuwa huru kwenye mind yako haimaanishi uache imani yako ,not so easy mtu kuacha imani yake hata kama ni ya uongo .

Binadamu aliyekuwa huru kichwani Halafu akawa mtu wa dini ,hawezi kuwa sawa na binadamu asiye kuwa huru kichwani Halafu akawa mtu wa dini.

Kuwa huru kichwani ni kuiona dunia kama ilivyo ,siyo kama ulivyokaririshwa.

Kuna wengi hawakutaka kwenda shule kwa sababu wanaaamini elimu dunia haikufikishi popote mbele ya mungu ,kuna watu wapo tayari wasikusaidie kwa sababu mna imani tofauti,kuna watu wapo tayari kuua kwa sababu imani inasema kisasi ni haki,,kuna watu wanaamini mtu fulani amekufa kwa ajili ya dhambi zake .Kuna watu fulani wanaamini kumpa mwanamke uongozi ni kuidhalilisha dini na mambo kama hayo.

Hakuna kitu kigumu hapa duniani kama kuishi na mtu ambae ana imani thabiti ya dini yake hali ya kuwa hayupo huru kichwani,kwa Sababu imani yake itamwambia yeyote asiye kubaliana na imani yake basi hakika yupo katika njia potofu,mtu aliye huru kichwani hawezi kudhani hivyo wala kufikiri hivyo hata kama ni mtu wa dini.

Mtu aliye huru Akimtizama mtu ambae hayupo kwenye imani yake ,haoni huo upotofu ,anachoona yeye ni just life itself ,beauty,loving ,kindness etc etc ,haoni huo upotofu.

Leo watu wanakusanyana eti kwenda kwa padri au shekh na kuanza kuombewa ,na baadhi ya watu hawataki hata kwenda Hospital,kuwa bwana yesu ni mponyaji,huo ndiyo moja ya utumwa wa dini ha akili .

Una uwezo wa kuwa vile utakavyo wewe ,hulioni tu hilo,unaenda kumpa mtu hela kanisani ,unapoteza muda kuombewa na hakuna linalobadilika zaidi ya kuambiwa imani yako itakuponya,padri anakusanya sadaqa na kwenda kula na family yake .

Dini ni chanzo cha vurugu na umaskini kwa mtu ambae hayupo huru kichwani,Leo mtu ambae amefunzwa katika misingi ya kuvaa hijabu ,maadam hayupo huru kichwani,atamuona mtu ambae havai hiyo hijabu yupo katika upotofu mkubwa ,kuwa anatembea uchi hali ya kuwa kavaa nguo.hawezi kumtizama kwa jicho la life itself,atamtizama kwa jicho la imani yake ,na hilo ndiyo tatizo la dini zote hasa kwa watu wasio huru kichwani.

You need to define what is Mental free.

Mental free doesn't mean being demon possessed,or being evil or denying your faith .

It's called Freedom .

"Kuwa huru kichwani ni kuiona dunia kama ilivyo ,siyo kama ulivyokaririshwa."

Katika maelezo yako hujamueleza mtu huru ni mtu gani na ni maelezo yenye kujichanganya hivyo nimeamua kuachana nimeshindwa kujua tatizo ni dini ama mtu kukosa uhuru kichwani.

Kuwa huru ni kuiona dunia kama ilivyo na si kama tulivyokaririshwa,hapa panahitaji maelezo ya kina Mkuu ingekuwa vizuri ukafafanua,eleza kwa upana na si kutoa tafsiri ya kitu kwa sababu tu ya Kile unachokitaka kukieleza hapa.
 
He!!

Sasa umekuja hapa na kulet huu mjadala ili iweje?

Unahubiri hapa watu wawe "free thinker" lakini hapo hapo umeleta mjadala ambao unatufanya tukuhoji uhalali wa madai yako unasema tusikuulize na hutaki kujadili,ulitaka tukubali tu bila kuhoji?

Huko ndiyo kuwa huru kifikra namna gani?

Hukujua aina ya mjadala unaouleta hapa au ilikuwaje?

Kama hutaki kujadili haya,ni kwanini umeleta mjadala huu hapa na kuanza kuwarushia Katoliki maneno ambayo huwezi kufafanua?

Sasa naanza kuona ni nani mwenye tatizo hapa...

Kila mtu anaweza kufanya hizo tafiti,lakini unapoleta mjadala kwa watu wengine huwa wanaandaa ushahidi pindi akihitajika kufanya hivyo,wewe hutaki,haya masuala si ungekaa nayo tu mwenyewe?

Nilidhani tutakuwa na mjadala unaoeleweka kumbe hakuna kitu...

Uwe na muda mwena na kwaheri....

Ww ni Mtu wa ajabu kwli kwli .Utumwa n sahihi kw mzngra yale ? Hakka wewe umelewa imani.Na ndyo maana ulikuwa unamlazimisha aandike kiswahili ili uoneshe ujinga wako .Hemu tafuta Verses zote zilizoe lezea utmwa uzielewe.verses zenyewe hta ukisoma znamanisha utumwa ,ww unasema wfanya kazi,ww sio mzma

Umeuliza swali la msingi kW nini anahussha din na utumwa,umepewa dalili,matokeo yake unanza kuuliza vitu mbali kabisa eti USA ,Nazis.mara serikali ya TZ inahusika vipi na Roman katoliki ,hyo haikuwa na maana zaidi ya kufanya sentens zake zilete maana zaid , mara unasema hajaelewa maana ya utumwa,hiyo nizkauli yaa walevi wa dini ,huwezi kuelewa kW akil ya kawaida ndi wanavosema ivo.

Utumwa haujawahi kuwa mzuri ,na wala biblia haimaanishi wafanya kazi,inamaanisha watumwa.unachofanya ww nikutafuta njia iingie akilin kwa lazima.

Jibu swali kwa hoja Kwanini asihusishe dini na utumwa .km dalili yako ni kusema hajaelewa maana ya utumwa,nazan umepotea njia .mm ni mkristu pia lkn hii y utumwa na triune God ni wizi.
mabishano yako n ya mtaani sio ya tumia akil
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom