Ww ni Mtu wa ajabu kwli kwli .Utumwa n sahihi kw mzngra yale ? Hakka wewe umelewa imani.Na ndyo maana ulikuwa unamlazimisha aandike kiswahili ili uoneshe ujinga wako .Hemu tafuta Verses zote zilizoe lezea utmwa uzielewe.verses zenyewe hta ukisoma znamanisha utumwa ,ww unasema wfanya kazi,ww sio mzma
Umeuliza swali la msingi kW nini anahussha din na utumwa,umepewa dalili,matokeo yake unanza kuuliza vitu mbali kabisa eti USA ,Nazis.mara serikali ya TZ inahusika vipi na Roman katoliki ,hyo haikuwa na maana zaidi ya kufanya sentens zake zilete maana zaid , mara unasema hajaelewa maana ya utumwa,hiyo nizkauli yaa walevi wa dini ,huwezi kuelewa kW akil ya kawaida ndi wanavosema ivo.
Utumwa haujawahi kuwa mzuri ,na wala biblia haimaanishi wafanya kazi,inamaanisha watumwa.unachofanya ww nikutafuta njia iingie akilin kwa lazima.
Jibu swali kwa hoja Kwanini asihusishe dini na utumwa .km dalili yako ni kusema hajaelewa maana ya utumwa,nazan umepotea njia .mm ni mkristu pia lkn hii y utumwa na triune God ni wizi.
mabishano yako n ya mtaani sio ya tumia akil
Aaaah you see ...this is the thing,Thank you .
This Guy ,Eiyer ,has no mental strength.He is expressing his little Ego.
He said ,Mimi ni mkristu na Haya ndiyo yanayonihusu ,hayo ya Quran nawaachia wenyewe.Niliposoma hayo maneno nikasema basiiii,this guy hasn't balls to debate.
This is not Christianity Thread ,We don't care what you believe ,because your faith is just a claim not truth .We have many faiths on earth claim to be true ,so which is which ?
Therefore ,don't bring your Christianity fantasies over here.We are discussing the ultimate truth of life ,not your faith .Nimekupa verses za msingi as in why ninahusisha dini na utumwa,wewe unatakiwa kunipa Verses as in why sipaswi kuhusisha dini na utumwa,sasa ukianza kuniambia Ooh hujaelewa maana ya hizo Verses,hizo Verses zinamaanisha wafanyakazi,BS!
Wafanyakazi Can Be beaten as desired ? Verses ndani ya bible zipo very clear kuwa ni slavery ,it does not equal to anything else except slavery.
wafanyakazi umesema wewe sio Bible .You are required to bring verses here as in why bible doesn't support slavery .
If you keep saying Hujaelewa Maana yake,It is metaphor ,needs special commentary ,I won't be dealing with you anymore ,because Muslims nao watasema the same thing ,HUJAELEWA MAANA YAKE,na yote hiyo ni ku defend imani yako,matokeo yake unaanza kusema nina chuki na Catholic Church,That is so weak .
Tatizo la imani ni kwamba kama kitu hakiingii akilin,they will find a way ili kiingie akilini,Ndiyo maana sisi tunataka evidence supports,sio blah blah .
Trinity is a devil thing,kupitia kitabu chako cha old testament,there is no such Saying Holy father ,Holy son,Holy spirit .There is only Jehovah ,and Jehovah never said he was the Holy father nor did he prophesy that there would come the holy son to redeem mankind .People consider Jehovah as Jesus's father ,these are man's imaginations and false .
The most difficult thing about Trinity is that,there is no way To perfectly and completely understand it .Trinity is false and devil mind .
Bring the evidence supports as in why Trinity isn't false teaching.
Truth is always easy and simple to understand.It doesn't need any special commentary.does it ?