sawa mkuu, ila mwambie wewe ya Diana. am sure ya Diana ni nzuri kuliko ya Fidel Castro. Please mkuu tuombeage tuhadithiweHahahah mwenyewe nina ombi langu kuu kuhusu Fidel Castro alivyoweza kupangua assassinations mission za CIA.
Hili pia linaingia ktk list,atalifanyia kazi mkuu...tusubiri