Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,416
- 82,368
Hakuna tatizo ikianza ya Diana,ila Castro ifuatie plssssss [emoji4] [emoji120]sawa mkuu, ila mwambie wewe ya Diana. am sure ya Diana ni nzuri kuliko ya Fidel Castro. Please mkuu tuombeage tuhadithiwe
Nitafanya hivyo mama.. Hahahahahah
Hapa sasa itabidi stori ya Diana idondoke fasta