Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,832
- 37,437
Anataka asafirie nyota yako huyo....Duh! Vya nini vyote hivyo mkuu..
Usikubali
Anataka asafirie nyota yako huyo....Duh! Vya nini vyote hivyo mkuu..
Hahaaaaaaa am back shem niliomba mods wanipumzishe tuHahahah una 'ban' mkuu?
Shukrani chiefDaaah mkuu bold uko nondo sana hongera xsanaa
Mussolini aliwaweza haswaaaaa..Hawa jamaa kiboko Yao ni Mussolini tu....walihama kwa wingi wakaenda US
Kichwa cha habari ni COSA NOSTRA,sikujua unaongelea chimbuko la cosa nostra.Basi badili kichwa cha habari kisomeke CHIMBUKO LA COSA NOSTRA.Kama umesoma makala toka mwanzo na kuelewa, nilokuwa naongelea kuhusu chimbuko la mafia.. Ilivyoanzishwa, kuenea na kushamiri kwake..
Sijaongelea mafia nchini marekani kwa kuwa hilo halikuwa lengo la makala hii (mafia haikuanzia Marekani)
Mafia ilianza kuingia Marekani sababu kuu ni baada ya kuandamwa na Benito Mussolin nchini Italia ndipo mabosi wengi wakatawanyika kukimbilia nchi mbali mbali ikiwemo marekani (nimeeleza kidogo kwenye makal).
Kwahiyo, halikuwa lengo la makala hii kuongelea Mafia waliotawanyika katika nchi mbali mbali.. Nimelenga kuonyesha chimbuko lao na jinsi ilivyoshamiri..
kwa sentesi hii tuu ndio utuchoshe kwa kuquote uzi wote kaka..???umenefunguka vyema boss imenigusa sana mkuu
Ungeanzisha thread yako kama ulikuwa unaifaham, otherwise shut the f**k up.Kichwa cha habari ni COSA NOSTRA,sikujua unaongelea chimbuko la cosa nostra.Basi badili kichwa cha habari kisomeke CHIMBUKO LA COSA NOSTRA.
*** u motherfucker.Nina thread nyingi tu humuUngeanzisha thread yako kama ulikuwa unaifaham, otherwise shut the f**k up.
Mkuu mbona kuenea na kushamiri dunia mzima imeongelewa napo mbona husemi wawekee tittle zake?Kichwa cha habari ni COSA NOSTRA,sikujua unaongelea chimbuko la cosa nostra.Basi badili kichwa cha habari kisomeke CHIMBUKO LA COSA NOSTRA.
Tatizo watu wanadhani ninadiss au siikubali hii thread. Sema '' Our Thing" ni kitu pana sana. TuyaacheMkuu mbona kuenea na kushamiri dunia mzima imeongelewa napo mbona husemi wawekee tittle zake?
Mkuu umepata wapi facts zako? Lucky Luciano alikamatwa akashtakiwa na akawa deported kurudi kwao Italy mwaka 1946.My best Mobb Boss ever is the boss himself,"Lucky" Lucciano,never been caught by the law,died peacefully because of old age..
Pamoja sana Mkuu..The best article sikuwahi kuisoma kabla, Mkuu asante sana kwa makala hii...