Cosa nostra

Cosa nostra

Umenikumbusha kina Charles Lucky Luciano, moja ya waanzilishi wa shughuli za kimafia nchini marekani, Gambino, Galante na wengine kina John Gotti, Raph Natale nk.

Vizuri sana kutukumbusha mambo ya mafiso.
Bila kumsahau...Salvatore Maranzano
02c0a1a8f67eb510360dc2c16255f28b.jpg
 
Bora kama umesapoti hope ombi litakubaliwa faster hahaha, maana kifo chake kina utata mkubwa
Hahahah mwenyewe nina ombi langu kuu kuhusu Fidel Castro alivyoweza kupangua assassinations mission za CIA.
Hili pia linaingia ktk list,atalifanyia kazi mkuu...tusubiri
 
Hahahah mwenyewe nina ombi langu kuu kuhusu Fidel Castro alivyoweza kupangua assassinations mission za CIA.
Hili pia linaingia ktk list,atalifanyia kazi mkuu...tusubiri
Alafu iko jikoni hii ya castro
 
Back
Top Bottom