Cosa nostra

Cosa nostra

Fee ni sh ngapi boss au kila anaehitaji inabidi aje private au tupe detail vizuri jinsi gani ya kujiunga
 
Kwa kuongezea tu kule kwenye group morning tunapata kakidokezo/kibwagizo kidogo, we are enjoying. Karibu.
Tunaonjoi sana,sio kwa vidokezo vile.
Am dying kuijua ile mikakati ya CIA,yani hata episode ya vipepeo siisubiri kwa hamu kama tomorrow's bulletin.
[emoji4] [emoji39] [emoji489]
 
Tunaonjoi sana,sio kwa vidokezo vile.
Am dying kuijua ile mikakati ya CIA,yani hata episode ya vipepeo siisubiri kwa hamu kama tomorrow's bulletin.
[emoji4] [emoji39] [emoji489]
Aww! Bulletin ya leo umeielwa kweli walahi.. Hahahaha hii sijui mara ya ngapi nakusikia unaiongelea..

Imagine na Bongo tungekuwa na zile harakati hahahah
 
Aww! Bulletin ya leo umeielwa kweli walahi.. Hahahaha hii sijui mara ya ngapi nakusikia unaiongelea..

Imagine na Bongo tungekuwa na zile harakati hahahah
Bulletin ya leo umetisha sweetheart,yani natamani hiyo kesho ifike kuliko usiku wa vipepeo.

Sitamani kuzidi 'Sunday ' thou [emoji6]
 
Umenikumbusha kina Charles Lucky Luciano, moja ya waanzilishi wa shughuli za kimafia nchini marekani, Gambino, Galante na wengine kina John Gotti, Raph Natale nk.

Vizuri sana kutukumbusha mambo ya mafiso.
 
Shukrani mkuu..
 
once again The bold
nakuona kwenye ubora wako [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
tupe muendelezo mkuu..

Naona hata uchangiaji wa hii thread unakua hafifu kwa kua wasomaji wengi wanapenda kumaliza stori at once unapokua umeishusha ..
 
Back
Top Bottom