Cosa nostra

Cosa nostra

Mkuu kama nimekukosea naomba unisahamehe...
Mbona unashusha uzi Mpya umesahau kunitag bro..
I do deeply Apologize bro
Mbona nimekutav mkuu, jina lako like pale naliona.. Angalia pale chini chini kwenye jina limeandikwa kwa herefi kubwa ABDUL KAREEM, nyuma take kuna fakalava, alafu nyuma yake kuna iL Buono..

Sema notification zinasumbua kufika
 
Mkuu the bold heshima kwako hujawahi kuboa toka jf imeanzishwa 2006 enzi za jambo forum
 
Mbona nimekutav mkuu, jina lako like pale naliona.. Angalia pale chini chini kwenye jina limeandikwa kwa herefi kubwa ABDUL KAREEM, nyuma take kuna fakalava, alafu nyuma yake kuna iL Buono..

Sema notification zinasumbua kufika
Basi itakua hio notification ndo sijapata bro.. coz uzi nimeukuta tu unazagaa zagaa... Thanks bro
 
Italian-American Mafioso Bosses
1.John Gotti (Dapper Don)
2.Alphonce Capone (Scarface, Capone)
3.Lucy Luciano
4.Meyer Lansky
5.Paul Castellano
6.Tony Spilotro
7.Carlos Marcello
8.Bugys Siegel
9.Joseph Bonano
10.Sammy Gravano (The bull)
Infamous Mobsters

Gambino?
 
Mbona nimekutav mkuu, jina lako like pale naliona.. Angalia pale chini chini kwenye jina limeandikwa kwa herefi kubwa ABDUL KAREEM, nyuma take kuna fakalava, alafu nyuma yake kuna iL Buono..

Sema notification zinasumbua kufika
Nadhani kuna tatizo la notification maana hata mimi sikupata alert.
 
Back
Top Bottom