Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,409
- 82,301
Hahahah una 'ban' mkuu?Ahsante brother halafu unahitajika kule chitchat jahaz linazama upande wangu
Hahahah una 'ban' mkuu?Ahsante brother halafu unahitajika kule chitchat jahaz linazama upande wangu
.
Shukrani chiefnimekusoma. mkuu.....shukrani....
Sawa mkuu! Shukrani..ni muda sasa nimesoma stori nyingi toka kwako,nimejifunza na kuelewa mengi.sasa ifike muda na wewe uanze kunufaika andaa vitabu tununue,maoni yangu hayo
Shukrani sana mama..Asante kwa makala murua darling.
Nimekuwa nikisia neno Mafia tokea utotoni lakini sikuwahi kujua maana yake hasa.
Like "Yule jamaa Mafia sana","Nitakufanyia umafia" n.k
Asante kwa kunitoa tongotongo.
Nami sasa najiona mjuzi wa mambo kati ya wajuzi kupitia wewe.
Like "Yule jamaa Mafia sana","Nitakufanyia umafia" n.k

Tutakutia korokoroni kabla hata haujajaribu.. We are watching youNataka nianzishe mtandao wa Mafia hapa bongo natumai hiyo makala itanijenga na kunipa mwongozo.

Soma vitabu vifuatavyo utawajua mafia kwa undani sana, the godfather, the last Don, the sicicilian, carito's way, the family, omerta etc ukimaliza hivi niambie nikutajie orodha nyingine : nn nikuanzia kurasa 300 kwenda huu hivyo vitabuni muda sasa nimesoma stori nyingi toka kwako,nimejifunza na kuelewa mengi.sasa ifike muda na wewe uanze kunufaika andaa vitabu tununue,maoni yangu hayo
Hahahaha!! Umenichekesha sana hapa..![]()
![]()
Wallah!Sasa nikawa nawaza hii Mafia ni nini?

Hahahahah.!! Duuuuhh..![]()
![]()
![]()
Wallah!Sasa nikawa nawaza hii Mafia ni nini?
Au kwenye kisiwa cha Mafia kuna wababe nini?
Baadae nilipoanza kupevuka kiakili nikahisi Mafia kitakuwa kikundi cha watu hatari.
![]()
![]()
Shukrani..Bravo![]()