cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,879
- 1,631
Ndio wenyewe.Hawa jamaa sio LCN? La Cosa Nostra?
Ndio wenyewe.Hawa jamaa sio LCN? La Cosa Nostra?
Yaani siku hizi ku enjoy tu kama vile nasoma vitabu taratibu tutaelewa mambo kidogo kidogoBulletin ya leo umetisha sweetheart,yani natamani hiyo kesho ifike kuliko usiku wa vipepeo.
Sitamani kuzidi 'Sunday ' thou![]()
Yani ni raaaaaaha,dah.Yaani siku hizi ku enjoy tu kama vile nasoma vitabu taratibu tutaelewa mambo kidogo kidogo
Hahahaha! Shukrani mkuu..Duuh nimechelewa kinoma
Leo italy ,haki ya nani mwaka huu dunia nitaiweka kiganjan
From mexico to italy thanks mkuu THE BOLD
Itaendelea.! Stay tuned..Sijui itaendelea kaka??
Shukrani sana mkuu..Daaaah hao jamaa laiti kama ndio wangekua TZ kwetu hapa daaah wangetawala hadi kufa yan...... Ila ninawaza tu coz daaah kwa jinsi ambavyo walijizatiti!!!!!!! Shukran za dhati mkuu THE BOLD
Salute..Salute mkuu
Usijali mkuu! Nakuongeza kwenye taglist..Sijaona jina langu mkuu
Vuta subira kidogo tu mkuu, inakuja soon..@Thebold ..hii story mwendelezo wake lini mkuu?
Taarifa za habari zimekwisha kaka tupe movie yetu tuangalie tuShukrani mkuu..
Mkuu kama nimekukosea naomba unisahamehe...Vuta subira kidogo tu mkuu, inakuja soon..