Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

😂😂😂😂😂😂
Tupige lockfown ya wiki nane halafu tufikiri kama tuendelee ama la! Kirahisi hivyo.
This shit ain't a video game that anything you want can happen with just a press of a button.

Mh kwa hio wewe kucheza na Maisha ya watu ni game kama zile za ku beti?? Haya bwana
 
Ni hivi.
1. Watu waendelee kufuata ushauri wa wataalamu wa afya kuhusu taratibu za usafi.
2. Kufunga safari za mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine, ni mizigo pekee iruhusiwe kuvuka mipaka ya mikoa.
3. Tuache kanuni ya asili ifanye kazi, corona ije watakaoondoka wawasalimie huko na watakao baki wafute machozi na wakomae kiume kuendelea na maisha.

Wewe kama unaona lockdown ni suluhisho jifungie wewe na familia yako.

Kufunga safari za mkoa mmoja kwenda mwingine ndio mojawapo ya strategies za lockdown, mimi nahisi hujui unachokipinga!

Hizo measures zingine zikifuatwa itakua sawa ila pia usi underestimate impact ya lockdown, kama watu kumi wakiwa saved na kuosha mikono,na wengine kumi kwa kufuata ushauri wa wataalam, huoni wengine kumi wakiwa saved Na lockdown, huoni watu 30 watakuwa wameokolewa? Don’t underestimate the impact of corona mzee!
 
Nimewaeleza pale juu, unapima wangapi watakufa na njaa na wangapi watakufa kwa corona , Kisha unamake decisions!!? Mmeng’ania njaa mbona kabla hata corona haijaja kuna watu walikua wanalala na njaa,

Kama una support natural selection na unajua some people will die kwenye corona no matter what kwa nini sasa unapinga lockdown??? Au wewe kifo cha corona kinakutisha zaidi kuliko kifo cha njaa??
Mimi nimefanya analysis, na Kwa mtazamo wangu Njaa inaweza ua watanzania wengi kuliko Corona. Kama covid19 inaua watu asilimia 5 basi njaa inaweza ua asilimia 20 ya watu endapo kutakuwa full lockdown. Mi ushauri wangu ni partial lockdown na sio full. Watu waendelee na shughuli zao za kujipatia kipato lkn muunganiko wa mkoa na mkoa na wilaya na wilaya usiwepo. Hiyo ndio lockdown ninayoipendekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzoefu unaonesha watz wengi wako na tabia ya kupuuzia mambo ya msingi.

Waulize hata madaktari watakuthibitishia haya.

Mtu anapewa miiko na daktari kutokana na ugonjwa wale lakini hazingatii anapuuza tu!

Sheria zinakataza mwendo kasi lakini madereva wengi wa bongo wanaendesha magari kwa mwendo kasi !

Mtu anaambiwa na daktari kuanzia leo usitumie sukari, mafuta n.k anapuuza!

Usiache kunywa dawa kama dozi uloandikiwa na daktari lakini wanapuuza.

Sembuse Korona?

Mleta mada huenda ukaja kueleweka baadae !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufunga safari za mkoa mmoja kwenda mwingine ndio mojawapo ya strategies za lockdown, mimi nahisi hujui unachokipinga!

Hizo measures zingine zikifuatwa itakua sawa ila pia usi underestimate impact ya lockdown, kama watu kumi wakiwa saved na kuosha mikono,na wengine kumi kwa kufuata ushauri wa wataalam, huoni wengine kumi wakiwa saved Na lockdown, huoni watu 30 watakuwa wameokolewa? Don’t underestimate the impact of corona mzee!
Corona is overrated, tangu iingie ina miezi minne ila waliokufa hawajafika hata laki moja out of 7b.
Kila mtu apambane kulingana na kamba yake inapoishia.

Kama kamba yako ni ndefu kiasi cha kuweza kujifungia ndani, jifungie. Waache wenye kamba fupi waendelee na maisha yao.
 
Tanzania ina tofauti gani na nchi nyingine Africa ambazo zimeweka wananchi wake kwenye lockdown?? Maana watu mmekazania Tz haiwezekani tushukuru Mungu hatuna No za kutisha wakianza kuanguka watu 1000 kwa siku utakaa tu ndani ukishindia uji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wataanguka kwanza kwenye familia yako. Hujui Lockdown imeshindikana Afrika? Kenya wameshindwa wakabadilisha ikawa Curfew na yenyewe inasuasua, SA wameshindwa pia. Marekani kwenyewe hawajaweka lockdown nchi nzima sasa wewe unataka TZ tuweke lockdown kwa wagonjwa hao 24? Kwa nini tusitumie njia mbadala ambazo zinatumika mpaka sasa hivi? Kama unapenda sana hiyo lockdown jilockdown wewe na familia yako tuache sisi tuchapekazi tukifa sawa tu kwani tumekuja duniani kuishi milele!!??
 
Corona is overrated, tangu iingie ina miezi minne ila waliokufa hawajafika hata laki moja out of 7b.
Kila mtu apambane kulingana na kamba yake inapoishia.
Kama kamba yako ni ndefu kiasi cha kuweza kujifungia ndani, jifungie. Waache wenye kamba fupi waendelee na maisha yao.

Kwani nimekulazimisha,kufa wewe na ukoo wako,maana naona unalichukulia hili swala kirahisi.
 
Uzoefu unaonesha watz wengi wako na tabia ya kupuuzia mambo ya msingi.

Waulize hata madaktari watakuthibitishia haya.

Mtu anapewa miiko na daktari kutokana na ugonjwa wale lakini hazingatii anapuuza tu!

Sheria zinakataza mwendo kasi lakini madereva wengi wa bongo wanaendesha magari kwa mwendo kasi !

Mtu anaambiwa na daktari kuanzia leo usitumie sukari, mafuta n.k anapuuza!

Usiache kunywa dawa kama dozi uloandikiwa na daktari lakini wanapuuza.

Sembuse Korona?

Mleta mada huenda ukaja kueleweka baadae !

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungemalizia pia kuwa Mwenyezi Mungu anatulinda!
 
cutelove, kumbe wewe dada kichwa kibovu? Sasa si ukae ndani na familia yako? Kwani nani kakukataza usitoke? Acha mambo ya kuiga. Kama vipi nenda nchi walizo lockdown ukakae. Shuweeeein
 
Nimewaeleza pale juu, unapima wangapi watakufa na njaa na wangapi watakufa kwa corona , Kisha unamake decisions!!? Mmeng’ania njaa mbona kabla hata corona haijaja kuna watu walikua wanalala na njaa,

Kama una support natural selection na unajua some people will die kwenye corona no matter what kwa nini sasa unapinga lockdown??? Au wewe kifo cha corona kinakutisha zaidi kuliko kifo cha njaa??
kwani siukae ndani na familia yako? Kwani umekatazwa?
 
Back
Top Bottom