Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

Did you know that total lockdown is a total ecosystem shutdown?
 
Aliyekudanganya na kukutuma uandike mwambie hatujafikia hatua hiyo.Tulizana chukua tahadhari muombe Mungu.
 
Lockdown sio kitu cha kukililia, sio kitu kirahisi cha kusema tu serikali ikurupuke, si o kitu unachodhani unaweza ukaSurvive kwa 7,800 dada yangu, Lockdown kwa Tanzania ni hatari.

Kumbuka: Kinga haitakiwa kuwa mbaya zaidi ya ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ina tofauti gani na nchi nyingine Africa ambazo zimeweka wananchi wake kwenye lockdown?? Maana watu mmekazania Tz haiwezekani tushukuru Mungu hatuna No za kutisha wakianza kuanguka watu 1000 kwa siku utakaa tu ndani ukishindia uji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stephen Chelu,
Nyie ndio mnafanya watu wa 'relax' na ku underestimate magnitude ya maambukizi ya huu ugonjwa. Lockdown haimaanishi kila mtu atajifungia ndani, watu watatoka ila kama tu kuna umuhimu wa kufanya hivyo, that is kununua mahitaji muhimu kama chakula.Jua kwamba lockdown haizuii vifo,lengo lake ni ku protect

MASS/MAJORITY OF PEOPLE kuambukizwa at one time, hasara za watu wengi kuambukizwa at one time ni kwamba ita affect Health care system, Mahospitali yatashindwa kumudu kasi ya wagonjwa, which eventually will cause more deaths. Again,vifo haviepukiki.

lakini lockdown inamaanisha RATE ya maambukizi inapungua. Imagine wewe ni familia ya watu nane,wote wakitoka nje na kurudi ndani,kama wana corona unajua hio chain itakuwa imewa affect wangapi??? huoni wakirudi nyumbani WEWE mwenyewe tu uko katika RISK 8 times!..tene sijui na wewe pia sijui umewaambukiza wangapi huko?

lol...imagine mtu mmoja tu ndio anatoka kununua chakula...well anaweza apate corona na kuwaambukiza nyie au asipate..ila chances za wewe kupata corona zinapungua...sijui kama umenielewa..LOL
 
No mkuu,watoe kodi kwa wanaouza mazao..

Sijui kama hata tuna staticians..na kama wapo je hawako influenced na serikali..(kutokua na bias),

Otherwise tungejua rate ya wanaoumwa sasa hivi na baada ya kuweka kipindi maalumu cha lockdown..may be 8 weeks, then tuna evaluate kama lockdown imesaidia kupunguza maambukizi bila athari nyingine..baada ya hapo ndio tutajua kama tuendeleee na lockdown...ama sivyo
Kula kulala wewe, huna majukumu zaidi ya 'kunya" selfish!
 
Bàadae mambo yamepamba moto ndio hawa hawa watailaumu serikali kwa kupuuzia lockdown. Kuna alarm nyingi za kutushtua hali sio nzuri watu wanajifanya hawaoni.
Hebu toa executable survival plan kwa watanzania wote katika kipindi chote cha lockdown.
 
Umeshiba makande ndio unaamua kuandika #lockdownismust#.

Kuna nchi Africa wananchi wke wamepinga lockdown,sijuhi nyie mnapata wapi kibuli hicho na hatuwezi weka lockdown lockdown ingeweka kipindi cha kipindupindu inaua watu Dar mania kwa mamia sio hii Corona just 24 victims all over the country with a population more than 60Millions almost negligible.

Mnhh nimesoma comments zako kwenye hii thread umejaza maneno makali sana,sijui kwa nini mods wamekuachia mpaka sasa...nani alikuambia corona ikija wagonjwa wa kipindu pindu watapungua??? mzee hii corona ikija sio kwamba magonjwa mengine yatapotea.

Corona inakuja kuongeza idadi ya magonjwa ambayo tupende tusipende itatuaffect.kama tulikua tunakufa na kipindu pindu wawili,corona inaongeza idadi ya waliofariki wanakua sita na wewe unaona sawa??????

Acha kufananisha tui la nazi na maziwa ndugu,sijui rate ya kipindu pindu ikoje lakini gonjwa linaloua maelfu kwa siku,sio gonjwa la kulidharau.
 
Rebeca 83,
Hayo maelezo yako sawa kabisa, lakini si aplicable kwa jamii ya watanzania.
Unasema mtu mmoja atatoka kwenda kununua mahitaji.

Je, huyo mtu atatumia pesa gani wakati tunafahamu fika kuwa watanzania wengi wanapata pesa ya kula kwa kutoka, yaani akafanye kazi ndipo apate hiyo pesa anunue chakula cha siku hiyo na labda kesho yake, sasa kuna lockdown kwa maana ya kuwa shughuli nyingi za uzalishaji zitafungwa hivyo watu watakuwa hawafanyi kazi.

Je, serikali yetu ina uwezo wa kutoa pesa kwa kila kaya kwa nchi zima ili huyo mtu mmoja atoke kwenda kununua chakula?
 
Nyie ndio mnafanya watu wa 'relax' na ku underestimate magnitude ya maambukizi ya huu ugonjwa. Lockdown haimaanishi kila mtu atajifungia ndani, watu watatoka ila kama tu kuna umuhimu wa kufanya hivyo, that is kununua mahitaji muhimu kama chakula.Jua kwamba lockdown haizuii vifo,lengo lake ni ku protect MASS/MAJORITY OF PEOPLE kuambukizwa at one time, hasara za watu wengi kuambukizwa at one time ni kwamba ita affect Health care system,Mahospitali yatashindwa kumudu kasi ya wagonjwa, which eventually will cause more deaths. Again,vifo haviepukiki..lakini lockdown inamaanisha RATE ya maambukizi inapungua. Imagine wewe ni familia ya watu nane,wote wakitoka nje na kurudi ndani,kama wana corona unajua hio chain itakuwa imewa affect wangapi??? huoni wakirudi nyumbani WEWE mwenyewe tu uko katika RISK 8 times!..tene sijui na wewe pia sijui umewaambukiza wangapi huko? lol...imagine mtu mmoja tu ndio anatoka kununua chakula...well anaweza apate corona na kuwaambukiza nyie au asipate..ila chances za wewe kupata corona zinapungua...sijui kama umenielewa..LOL
Acha kuiga uzunguni. Lini health care ilikuwa bora bongo? Ndio maana nikasema huu ugonjwa kwa bongo umeingia mlango wakutokea! kila mtu
ni tabibu.
 
Watu wanaongea kirahisi sana hadi unashagaa.
Nashangazwa kweli. Sisi kuwekwa lockdown hata wiki moja tu uone hiyo kazi yake. Serikali hii haina huo uwezo wa kumudu mahitaji ya wananchi hawa wakapata mlo, kwa kila mmoja wao, hata kama ni mmoja, kwa mwezi mzima aisee. Tusidanganyane kabisa. Na wameshaona hilo ndo maana unaona wana escape hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom