Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

Hivi haya Mawazo waTz mnayatoa wapi?
Kama watu tu bila lockdown watu wanalala na njaa uje ufungie watu ndani kwa Uchumi upi?.. hayo magonjwa ndo yameanza leo.. mbna TB inatembea na wateule kila Mwaka, Malaria inakamua na neti zipo.. homa ya ini vilevile..

Tena takwimu za kutisha kabisa.. mbna hatujaskia nchi ikifungwa. Sio kila kitu Ni cha kuiga iga hovyo.. utaskia ooh wagonjwa wanaongezeka.. we kwenu Nani kaugua?

Cha msingi tufuate Maagizo ya Wataalamu huku shughuli za kiuchumi zinaendelea, unataka Watu waje kula kwenu?
Bashite zero brain kumbe huko huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Israel wenye Mungu wao waziri mkuu katangaza hali ya hatari watu hakuna kutoka nje na kuzurula.
Imefikia kiasi nguruwe pori wanazunguka mjini kwenye roundabout na traffic lights.

Hiyo sheria ukionekana unazurula mitaani unakamatwa na kupigwa faini au kufungwa.

Kwa hivyo wewe ndiyo Mungu anakupenda kuliko taifa teule?
Wewe ni uzao wa nani katika zile Twelve Tribes of Israel?

Umesoma idadi ya vifo na maambukizi ya Israel tangu ilipoingia COVID-19 mwishoni mwa 2019?
kwani waisraeli walikuwa hawaumwi? walikuwa hawafi? acheni mawazo ya kitoto corona ni ugojwa kama magojwa mengine yapo yalikuwepo na yatakuwepo na maisha yataendelea kama kawaida hakuna wa kukikwepa kifo kinapo kuita ukilijua hilo ndipo utapo jua kuwa hata hiyo corona malaki ya watu wameugua na hawajafa na hata hosptali wengine hawajaenda na hata wangeenda dawa hakuna na wengine wamefia hukohuko hosptali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uchumi upi tulionao, wengi wetu ni hand-to-mouth kila iitwapo leo, ukimwambia mtu ajifungie ndani nani atampa chakula?

Ni heri kufa kwa ugonjwa kuliko kifo cha njaa, could be partial lockdown, say kuanzia mda fulani hadi mda fulani, ilà total lockdown itakuwa disaster kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
 
Kama unaona unaweza kuji lockdown fanya hivyo mpaka shida iishe
kama unaona huwezi utakufa njaa toka ukatafute ila fata ushauri
Kwani ukijifungia ndani ukaacha wanaotembea watembee watakuletea kwako? Hata huko US, UK watu wanatoka kwenda parks, jogging etc ila wanaobserve social distancing.
 
Hakika Time Will Tell.

Mimi nalia na mikusanyiko ya shughuli za kijamii kama harusi, misiba, masoko holela ya machinga na nyumba za ibada.

Ulinzi mkali kwenye quarantine ya walio ingia nchini toka nje pamoja na hospital au kituo cha kuhudumia wagonjwa wa COVID-19.
Massages, dressing Salon, na Barbershops zifungwe kwa muda japo kuna wenzetu watapata shida sana.
Club za pombe na muziki hasa za ndani (indoors) na sehemu zingine za starehe zifungwe kwa muda.

Total lock down hatuwezi kwakweli, bora hiyo partial lockdown.
ww kama unajijua una afya mgogoro usiende izo sehemu mana corona watu wanafichaficha ila inawadhuru watu wenye afya mgogoro nao sio wote wengine na hizo afya zao mgogoro wanapona vizurii tuu bila hata dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati hali itakuwa imefika pabaya itapigwa lockdown ya kufaa mtu .walaii hali itakuwa mbaya kuliko hivi sasa , japo sishauri lockdown ila ningependa wataalamu wetu waje na mikakati kabambe ya kuzuia maambukizi ili twende vizuri kwenue hii stage ya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
hali mbaya ki vp aliwazalo mjinga ndilo linalomtoke hakuna ali mbaya tz kama ni watu kufa kila dakika watu wanakufa na magojwa na hali haijawahi kuwa mbaya ila labda iwe hali mbaya ya kikasumba ila sio uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufunga safari za mkoa mmoja kwenda mwingine ndio mojawapo ya strategies za lockdown, mimi nahisi hujui unachokipinga!

Hizo measures zingine zikifuatwa itakua sawa ila pia usi underestimate impact ya lockdown, kama watu kumi wakiwa saved na kuosha mikono,na wengine kumi kwa kufuata ushauri wa wataalam, huoni wengine kumi wakiwa saved Na lockdown, huoni watu 30 watakuwa wameokolewa? Don’t underestimate the impact of corona mzee!
Hivi USA hawanawi mikono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIYO LOCKDOWN PEKEE LAKINI HATA WANGEFUNGA MIPAKA KWANI CHANZO CHA MAABUKIZI NA KUSAMBAA NI WATU WANAOSAFIR KIBIASHARA AU SHUGHULU ZOZOTE NJE YA NCHI..JE KWANINI TRUSIFUNGE MIPAKA HATA KWA WIKI MBILI??

Hivi haya Mawazo waTz mnayatoa wapi?

Kama watu tu bila lockdown watu wanalala na njaa uje ufungie watu ndani kwa Uchumi upi?.. hayo magonjwa ndio yameanza leo.. mbona TB inatembea na wateule kila Mwaka, Malaria inakamua na neti zipo.. homa ya ini vilevile..

Tena takwimu za kutisha kabisa.. mbona hatujaskia nchi ikifungwa. Sio kila kitu Ni cha kuiga iga hovyo.. utaskia ooh wagonjwa wanaongezeka.. wewe kwenu Nani kaugua?

Cha msingi tufuate Maagizo ya Wataalamu huku shughuli za kiuchumi zinaendelea, unataka Watu waje kula kwenu?
 
Katika hili madame sioni kama uko kama serious kabisa.

Unasema sisi tunaosema mahitaji mahitaji kipindi cha lockdown eti tufanye kazi, je unamaanisha kuwa watu wote wasioweza kumudu kuweka akiba ni kwamba hawafanyi kazi? Mkuu unaishi Tanzania kweli? Unaijua kweli hala ya watanzania walio wengi? Hivi unadhani watanzania tunapenda kula mlo mmja kwa siku?

Mkuu, kama maisha yanaendelea kama kawaida lakini kuna siku mambo yanabuma watu tunalala njaa sasa vipi kuhusu kipindi cha lockdown.?

Suala la lockdown sio la kirahisi na kutoa maneno ya kuchambana kuwa tutashindia uji sijui bora tupoteze watu 10,000 kwa njaa, ni suala la kuweka executable survival plan kwa ajili ya watu na sio blabla na mihemuko ya kuangalia nani kafanya nini. Katika majanga makubws hakuhitajiki mihemuko kushughulika nayo, unapaswa kuangalia vitu vingi kabla ya kutoa maamuzi.

Ungekuwa ndiyo wewe uko pale jumba jeupe ungetuua lakini sasa tunashukuru kuwa tunaweza kupona.
Hao ni watanzania wa darisalama...
 
Habari njema kwa majiji ya Roma, Madrid, New York, taarifa za leo zimeonyesha maambukizi na vifo kutokana na Covid 19 umepungua.

Na hii imetokana na lockdown katika majiji hayo pia na maeneo mbalimbali ya nchi hizo Italia, Spain na USA, hata kule Wuhan bila lockdown corona isingeisha.

Kuna kauli zinatumika na viongozi wa Tanzania kuwa hawawezi kutumia mbinu za mataifa yaliyoendelea kudhibiti Corona kwa kuwa Watanzania wengi ni masikini.

Na kauli hii inaungwa mkono na viongozi wa serikali, chama tawala na upinzani lakini.

Huko Uturuki Rais wa nchi hiyo alisema wananchi wachape kazi lakini kilichoripotiwa leo na madaktari wakinukuliwa na vyombo vya habari ni kuwa maambukizi katika taifa hilo yanaenda kwa kasi zaidi ilivyokuwa China, Italy, Spain na USA, yaani kiwango cha maambukizi huko Uturuki kinatisha.

Kule Brazil hivyo hivyo, tukija hapa Bongo unaambiwa lockdown haitawezekana, hebu tupeni mbinu mbadala ambayo mnafikiria kuwa inaweza kuzuia maambukizi, maana nahisi wiki mbili zijazo tutakuwa tunaongea lugha moja.

Kula USA mpaka chui ameambukizwa korona, huku kwetu mbwa, paka na ng'ombe wasipo ambukizwa tumuombe Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unayejiita 'cute lover'

Hivi hadi sasa tunawagonjwa wa ngapi??? Pengine kubwa zaidi ni kukuuliza jee hiyo complete lock down ikiamriwa, unadhani kwa mazingira yetu, kuna watu wataweza [hata wewe] kukaa ndani siku 14 au zaidi bila ya kuwa na mahitaji ya lazima? Hivi hufahamu kuwa wengi wetu tunaishi on day to day basis????
Nguo imtoshayo mwenzako siyo lazima ikutoshe wewe"
 
Back
Top Bottom