Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

Huko kitaa chako ushaenda kwny msiba wa mtu aliyekufa na corona au kuna mtu anaumwa corona mkuuu...
Tuchukue tahadhari but hii ishu huku sio serious kama inavyosemwa badala muombe Mungu aepushe mnatia gundu aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikubaliani na hili kwa kweli....
Zipo sbb nying sana ambazo naamini hata wewe unayesoma hapa baadhi unazijua.. na uzito wa sbb hizi umezidi uzito wa korona yenyewe...
 
Wacha wanaume halisi tupige kazi kufa kupo tu na kupata korona kwenye kutafuta mkate ni ajali kazini na mungu alishaandika hivyo so wewe ni nani hata ujaribu kupinga mpango waungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CORONA uki panick ndio ina ku atack ndio maana sisi tunaenda nayo Kimya Kimya na itaisha tu halafu usiseme vifo vimepungua watu wanasubiri maambukizi yapungue na Lock down zao lakini kila siku idadi ya waathirika inazidi kuongeza cutelove,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshiba makande ndio unaamua kuandika #lockdownismust#.

Kuna nchi Africa wananchi wke wamepinga lockdown,sijuhi nyie mnapata wapi kibuli hicho na hatuwezi weka lockdown lockdown ingeweka kipindi cha kipindupindu inaua watu Dar mania kwa mamia sio hii Corona just 24 victims all over the country with a population more than 60Millions almost negligible.
Jidanganye, wakati China inafika 3000 USA walikuwa na 15 tu, wakati huo Pompeo anarusha kombora virus vya China, leo USA wanaomba poo!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa upo short and clear, nimekuwa nikifatilia comments zako, Yaani hutaki Mambo mengi mkuu
MSIOKUWA NA KAZI NA WALE MNAOHONGWA MPUMZIKE NYUMBANI.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
lockdown sio kwamba kila mtu atabaki ndani,ila kupunguza maambukizi wale ambao is necessary kutoka kama wauguzi then itabidi watoke,kuna kundi la watu tutawapoteza ili kulinda WENGI ..hii ndio kanuni behind lockdown, again lockdown ni kipindi tuu..ambacho serikali husika kabla ya kuimpose wanaweigh the risks and everything....vyote vinakua calculated..either tupoteze watu 1000 kwa njaa ama tupoteze 10,000 kwa corona. Nyie mnaosema sijui mahitaji inabidi mfanye kazi..mtashindia uji pale utakapoona familia yako inapukutika kama majani. New York ma Mogul yamejaaaaaaaaaaaa….naona mna underestimate corona eeh..
Katika hili madame sioni kama uko kama serious kabisa.

Unasema sisi tunaosema mahitaji mahitaji kipindi cha lockdown eti tufanye kazi, je unamaanisha kuwa watu wote wasioweza kumudu kuweka akiba ni kwamba hawafanyi kazi? Mkuu unaishi Tanzania kweli? Unaijua kweli hala ya watanzania walio wengi? Hivi unadhani watanzania tunapenda kula mlo mmja kwa siku?

Mkuu, kama maisha yanaendelea kama kawaida lakini kuna siku mambo yanabuma watu tunalala njaa sasa vipi kuhusu kipindi cha lockdown.?

Suala la lockdown sio la kirahisi na kutoa maneno ya kuchambana kuwa tutashindia uji sijui bora tupoteze watu 10,000 kwa njaa, ni suala la kuweka executable survival plan kwa ajili ya watu na sio blabla na mihemuko ya kuangalia nani kafanya nini. Katika majanga makubws hakuhitajiki mihemuko kushughulika nayo, unapaswa kuangalia vitu vingi kabla ya kutoa maamuzi.

Ungekuwa ndiyo wewe uko pale jumba jeupe ungetuua lakini sasa tunashukuru kuwa tunaweza kupona.
 
Nashangazwa kweli. Sisi kuwekwa lockdown hata wiki moja tu uone hiyo kazi yake. Serikali hii haina huo uwezo wa kumudu mahitaji ya wananchi hawa wakapata mlo, kwa kila mmoja wao, hata kama ni mmoja, kwa mwezi mzima aisee. Tusidanganyane kabisa. Na wameshaona hilo ndo maana unaona wana escape hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanadhani lockdown ni lidude flani la kuvutia ambalo ukiliangalia tu njaa inatulia. Serikali hii haina uwezo wa kutuhudumia.
 
Mkiifuta lockdown vichwani kwenu kama ndiyo njia pekee bora ya kupambana na Corona ndivyo mtatengeneza mwanya mzuri wa kuwaza ni njia gani bora ya kupambana nayo.

Kama utaendelea kuwaza lockdown, corona itapamba moto na mtakimbilia lockdown ambayo italeta matokeo hasi zaidi ya corona yenyewe.

Lockdown ni mzigo mkubwa kwa Tanzania; hakuna atakayeweza kuubeba; si serikali, si wahisani, si wananchi wake.
Kwa Tanzania lockdown ni mzigo mzito watanzania hawawezi kuubeba. Lockdown Kwa Tz iwe ni individual decision. Kwa anaeona atasalimika kwa lockdown basi ajifanyie hivyo yeye mwenyewe.

Ni heri nikafe kwa covid19 nikiwa natafuta riziki ya halali kuliko kufa kwa njaa nikiwa nimejifungia ndani kisa naogopa covid19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Tanzania lockdown ni mzigo mzito watanzania hawawezi kuubeba. Lockdown Kwa Tz iwe ni individual decision. Kwa anaeona atasalimika kwa lockdown basi ajifanyie hivyo yeye mwenyewe.

Ni heri nikafe kwa covid19 nikiwa natafuta riziki ya halali kuliko kufa kwa njaa nikiwa nimejifungia ndani kisa naogopa covid19

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu, watu wasijifanyevwanajali sana katika hili. Kama wao matajiri wanaona lockdown ni suluhisho wajifungie ndani na sisi masikini tusioweza kumudu wacha tutoke tukafe na corona na baada ya hapo wataishi maisha mazuri kwa kuwa tanzania haitakuwa na masikini tena hivyo itapaa kiuchumi. Mbona ni rahisi tu.
 
Unataka Lockdown wakati uwezo wa kuweka hata backup ya chakula 5kg ndani hauna,wee maliza kwanza rejesho la watu uliokopa kikoba harafu ndio uje kuandika huo ushubwadu wako JF,unadhani Lockdown ndio kama shughuli ya kumtoa mtoto 40 aka kibeseni??.

Lockdown ni mziki mwngn hautopata hata nafasi ya kwnd kudanga Sinza nje wajeda wametanda hata mtoto akiumwa unaambiwa kaa ndani hamna kutoka na huko uswahili kwenu Chumba hapa choo Mbagala mbona mtajiharishia ndani mwezi mzima badala ya kufa kwa Corona mtakufa kwa njaa ,UTI na kipindupindu.
Watu wengi wanadhani lockdown ni kitu rahisi rahisi, lkn ukweli ni kwamba lockdown inaweza ua watu wengi kuliko covid19 yenyewe. Tusishabikie wakati tunajua kula yetu ni hadi tutoke nje, watu hawana akiba hata ya siku 5 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasoma comments, naona nikiasi gani watu wanapata moto kirahisi,,
Yani kitu mtu cha kujib kwa hoja, Anatoa Shombo, mipasho n.k, hili jambo ni kubwa sana humu....

Na haina ubishi hiki ni kipmo cha stress, na km ni kipmo cha stress basi pia haina ubishi ni kipmo cha maisha magumu, basi km ni hivyo ni wazi lockdown itaongeza ugumu wa maisha na hatimaye stress na mwisho kbsa mauti.

Sikubaliani na mtoa mada kuhusu lockdown ila Nampongeza sbb amejarb ku handle pressure ya attack ya lugha kali...

Ukitaka kujua tabia ya mtu iliyojificha, wewe muweke tu under pressure, utaona panic yake inamtuma nini...
Na matokeo yake, basi huyo ndio mtu halisi sasa.
 
Bila lockdown tutaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Heri kuisha kwa covid19 kuliko kuisha kwa njaa kisa lockdown. Mimi naweza nunua chakula cha miezi mitatu lkn nawafikiria watanzania walio wengi ambao hata kula yao ya siku ni shida, naona lockdown Itakuwa janga kubwa sana kwao. Bado narudia, lockdown ibaki kuwa individual decision. Ukiona unaogopa covid19 na chakula unacho basi jifungie ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom