Na iko overrated sababu imepiga ikulu(kwa mataifa makubwa). Sipati picha ebola ingepiga ikulu ingrkuwaje hiyo documentation...Corona is overrated, tangu iingie ina miezi minne ila waliokufa hawajafika hata laki moja out of 7b.
Kila mtu apambane kulingana na kamba yake inapoishia.
Kama kamba yako ni ndefu kiasi cha kuweza kujifungia ndani, jifungie. Waache wenye kamba fupi waendelee na maisha yao.
Labda wanadhani total lockdown ni kama father Christmas, kwamba atakuwa anatembea nyumba kwa nyumba kugawa mahitaji.Yani hiyo total lockdown mnavyoing'ang'ania 😏😏...utadhani inakuja na zawadi.
Mtumishi ubarikiwe sanaNasikitika sana kwakuona imani yako imeiweka kwa mapadre badala ya Yesu kristo Bwana wa Uhai.
Get saved
kwani wote waliopata hiyo corona wameumwa wengine wamepata hiyo corona na hawajaonesha dalili yoyote mpaka wamepona ni ugojwa wa kawaida ila kinacho watesa watu ni hofu ya kikasumba kama yako unaamini mtu akipata ni serious sana lakini uhalisia sio kweliAcha utani kwa afya za watu,naomba mungu upigwe na corona ili ukae sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani mapadri miaka yote hawafagi? unaweza kutuambia kwa mwaka mapadri hufa wangapi? je unajua hao mapadri walio kufa walikuwq na umri gani? je unajua hao mapadri walikuwa na historia gani ya magojwa mengine? fahamu kuwa kifo kina sababu nyingi na watu hawajanza kufa leo ila kama hufuatilii takwimu unaweza kujenga hofu kwa kuto kujua yaliyo tokea nyuma kutokana na kuamini yaliyopo ambayo yana pewa kipaumbele na vyombo vya habari na hivyo wajinga wengi wanasahau ya mwaka jana ambayo nihatari kuliko yaleoAcha kuchanganya dhahania na sayansi,uliza Italia mapadri wangapi wamedied
Sent using Jamii Forums mobile app
mambukizi yatakuwepo na maisha yata endelea kama kawaida na ndio dunia ilivyo bila ivyo dunia ingekua haitoshi hiyo ni balance of nature kuna magojwa mengi sana nawatu wanakufa kila siku na wengine wanazaliwa kila sikuBila lockdown,jamani tuhurumiane,maambukizi yanaweza kuwa kwa binadamu na wananyama,mi nawaza hakuna mbinu mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kila msiba unakuhusu misiba mingine inawenyewe japo unaweza obwa mchango
Hilo halina shida kabisa, kama tukifa kwa corona ni sehemu ya mpango kuliko kufa kwa njaa kwa kuogopa corona.
hali itakuwa shwari tuu ila lockdown italeta madhara makubwa kuliko ugojwa wenyewe yan madhara ya lock down ni kilo 50 alafu madhara ya corona kiafya ni kilo 3 sasa kipi rahisi kukibeba hapo ukiachilia mbali taarifa mbaya zinazo bebwa na vyombo vikuu vya habari rudi kwenye uhalisia hapa tz ktk sample ya watu 20 walio ugua 12 hawaja onesha dalili kwa zaidi ya siku 2 7 wameonesha dalili kwa siku sisizo zidi 4 1 alikuwa mahututi lakini pia alikuwa na magojwa mengine na ndio alie poteza maisha sasa kwa nn uogope corona kuliko magojwa mengine mpaka ujifungie ndani ili ufe njaa?Hata mimi nawaza kweli hali itakavyokua. Mbele kuna giza panatisha. Watu wanachukulia mzaha sana hili swala lakini lina athari kubwa sana.
Yani hiyo total lockdown mnavyoing'ang'ania [emoji57][emoji57]...utadhani inakuja na zawadi.
acha yapambe moto mana kujifungia pia nizaidi ya ugojwa tusijiangalie sie wenye uwezo tuu tuangalie watanzania wote ni wangapi wataweza kukaa siku 14 ndani bila kutafta chakula na wanafamilia na watoto wachangaBàadae mambo yamepamba moto ndio hawa hawa watailaumu serikali kwa kupuuzia lockdown. Kuna alarm nyingi za kutushtua hali sio nzuri watu wanajifanya hawaoni.
lockdown sio hivyo kumbe hujui lockdown ww ndiomana unashauri ifanyike duu!Lockdown mara nyingi ni kwenye sehemu zenye msongamano wa watu,mijini,ila vijijini ni kuweka marufuku kusafiri kuingia mjini au kutoka mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
huo ni mkwara tuu tungekuwa tumesha isha mbona toka corona imefika hapa tz lazima ujiulize mbona bado tupo hai hadi leo kuwazidi hao walio endelea? anzia hapo kudadisi ndugu yangu pengine ufahamu wako utafunguka na kujua pia kuna kitu cha ziada kinacho tulinda ambacho kinapuzwa
kuna vifo vingapi?Hakuna anayekula na kulala bure weweee! Hapa nalisha watu watatu unadhani mchezo,tusiende mbali sana hebu fuatilia kinsasha hapo Congo halafu uje ukoment hapa
Sent using Jamii Forums mobile app