Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

Serikali ikisema hakuna lockdown it means imeona haiwezi kulisha raia wake. Kwani Njaa na corona kipi kinaua haraka?
 
waache wajuaji wa humu waendelee kuandika ujinga, muda ni mwalimu mzuri…#lockdownisamust!#
Lockdown kwa Tanzania ni msalaba mzito mno kwa serikali na watu wake, hatuwezi kuubeba. Na kama tukilazimisha kuubeba itakuwa hatari kuliko corona yenyewe.

Je, hivi ni wananchi wangapi wanaweza kumudu gharama za kununua mahitaji ya msingi pasi na kufanya kazi,? Hapa tunazungumzia watu wenye uwezo wa kuweka akiba ya kutosha kutumia cha muda usiopungua wiki tatu.

Labda tuseme serilali ndiyo itagharamia kuwapa mahitaji ya msingi raia wake, je serikali ya tanzania ina uwezo wa kutoa mahitaji yote ya msingi hasa chakula kwa raia wake wote katika kipindi chote cha lockdown? Na jinsi nchi yetu ilivyo na urasimu mwingi unadhani mahitaji haya yatawafikia kwa wakati walengwa.?

Lockdown inahitaji kufanyika katika jamii iliyostaarabika na kunahitajika uangalizi wa karibu na umakini mkubwa kitu ambacho sijakiona hapa kwetu Tanzania.

Si lazima kuiga kila kitu.

Japokuwa maisha yangu kwa sasa ni kama niko lockdown ila naiogopa lockdown Tanzania kuliko corona yenyewe. Watu wengi wataumia, trust me.
 
Serikali ijiandae kagawa chakula basi

Sent using Jamii Forums mobile app

No mkuu,watoe kodi kwa wanaouza mazao..

Sijui kama hata tuna staticians..na kama wapo je hawako influenced na serikali..(kutokua na bias),

Otherwise tungejua rate ya wanaoumwa sasa hivi na baada ya kuweka kipindi maalumu cha lockdown..may be 8 weeks, then tuna evaluate kama lockdown imesaidia kupunguza maambukizi bila athari nyingine..baada ya hapo ndio tutajua kama tuendeleee na lockdown...ama sivyo
 
waache wajuaji wa humu waendelee kuandika ujinga, muda ni mwalimu mzuri…#lockdownisamust!#
Umeshiba makande ndio unaamua kuandika #lockdownismust#.

Kuna nchi Africa wananchi wake wamepinga lockdown, sijui nyie mnapata wapi kibuli hicho na hatuwezi weka lockdown lockdown ingeweka kipindi cha kipindupindu inaua watu Dar mamia kwa mamia sio hii Corona just 24 victims all over the country with a population more than 60Millions almost negligible.
 
That is the best solution against the spread of Codi19,scientific approved

Sent using Jamii Forums mobile app
Each country has its own strategy for terminating this pandemic regarding its economic strength...You can't just bring the entire country to a stand still whilst there's no point to do so;that's insane.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Serikali ijiandae kagawa chakula basi

Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 😀 😀
Imebidi nicheke kwanza, mkuu unaongea kirahisi mno kama vile ni kurusha sadakalawe.
Hivi umefikiri ni mbinu gani ya logistics itafanikisha serikali iwafikie raia wote kwa nchi nzima kwa wakati?

Umewaza kuhusu urasimu na ubinafsi ambao viongozi wa ngazi mbalimbali wakonao ambao watapenda wajinufaishe wao zaidi kuliko watu wengine?

Mnaweza kufanya lockdown na kwa nia ya kufanya social distancing ila mkajikuta mnatengeneza mikusanyiko mikubwa kuliko ilivyokuwa awali.

Tanzania hatujastaarabika bado kuihimili total lockdown
 
Alafu wewe dada jiheshimu na uache kueneza uwongo kwenye mitandao.

Unachokizungumzia juu ya uturuki kwamba maambukizi yako na Kasi kuliko USA mbona Ni tofauti. USA kwa siku inarepot wagonjwa 15000+

Uturuki usiku huu ipo na 3000+

Punguza uvumi watanzania, wasikilizeni wanaowaongoza.
Wadada kama hao kichwani huwa na utoporo tupu, shepu inambeba basi naye anaona anaweza leta hoja humu. Dada acha kuwa na akili kama za Ufipa
 
Halafu si mlisemaga watu weusi hawaugui corona? imekuwaje tena!

Ngoja wawafyeke mkione cha moto!

Oooh sisi tuna Kinga hatuugui corona!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom