cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,586
- 8,389
- Thread starter
- #21
Dah! Afrika tuna kazi nzito sanaHivi haya Mawazo waTz mnayatoa wapi?
Kama watu tu bila lockdown watu wanalala na njaa uje ufungie watu ndani kwa Uchumi upi?.. hayo magonjwa ndo yameanza leo.. mbna TB inatembea na wateule kila Mwaka, Malaria inakamua na neti zipo.. homa ya ini vilevile.. Tena takwimu za kutisha kabisa.. mbna hatujaskia nchi ikifungwa. Sio kila kitu Ni cha kuiga iga hovyo.. utaskia ooh wagonjwa wanaongezeka.. we kwenu Nani kaugua? Cha msingi tufuate Maagizo ya Wataalamu huku shughuli za kiuchumi zinaendelea, unataka Watu waje kula kwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app