Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

Coronavirus: Tanzania bila lockdown tutakufa tuishe

Usipotengua iyo kauli yako ya tutakufa sote tuishe.

Utaumbuka
Nani kakwambia Lockdown ndo imeshikilia pumzi yako.?

Kuna Mungu katika Israel
Israel wenye Mungu wao waziri mkuu katangaza hali ya hatari watu hakuna kutoka nje na kuzurula.
Imefikia kiasi nguruwe pori wanazunguka mjini kwenye roundabout na traffic lights.

Hiyo sheria ukionekana unazurula mitaani unakamatwa na kupigwa faini au kufungwa.

Kwa hivyo wewe ndiyo Mungu anakupenda kuliko taifa teule?
Wewe ni uzao wa nani katika zile Twelve Tribes of Israel?

Umesoma idadi ya vifo na maambukizi ya Israel tangu ilipoingia COVID-19 mwishoni mwa 2019?
 
Habari njema kwa majiji ya Roma, Madrid, New York, taarifa za leo zimeonyesha maambukizi na vifo kutokana na Covid 19 umepungua.

Na hii imetokana na lockdown katika majiji hayo pia na maeneo mbalimbali ya nchi hizo Italia, Spain na USA, hata kule Wuhan bila lockdown corona isingeisha.

Kuna kauli zinatumika na viongozi wa Tanzania kuwa hawawezi kutumia mbinu za mataifa yaliyoendelea kudhibiti Corona kwa kuwa Watanzania wengi ni masikini.

Na kauli hii inaungwa mkono na viongozi wa serikali, chama tawala na upinzani lakini.

Huko Uturuki Rais wa nchi hiyo alisema wananchi wachape kazi lakini kilichoripotiwa leo na madaktari wakinukuliwa na vyombo vya habari ni kuwa maambukizi katika taifa hilo yanaenda kwa kasi zaidi ilivyokuwa China, Italy, Spain na USA, yaani kiwango cha maambukizi huko Uturuki kinatisha.

Kule Brazil hivyo hivyo, tukija hapa Bongo unaambiwa lockdown haitawezekana, hebu tupeni mbinu mbadala ambayo mnafikiria kuwa inaweza kuzuia maambukizi, maana nahisi wiki mbili zijazo tutakuwa tunaongea lugha moja.

Kula USA mpaka chui ameambukizwa korona, huku kwetu mbwa, paka na ng'ombe wasipo ambukizwa tumuombe Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe ushahidi ni watu wangapi unaowajua wameambukizwa na/au wamekufa kwa sababu ya kutokuwepo "lockdown".

Twambie wewe kama wewe, na walio karibu nawe, wanachukua hatua gani kutokuambukizwa au kuambukiza.

Punguza kusoma Instagram ya Mange.
Huko US alipo kuna majimbo zaidi ya tisa hayana lockdown.
Huko china kwenyewe kuna majimbo/miji ambayo kirusi hakikufika kabisa.

Kama unataka kujifungia jifungie wewe na familia yako.
Ila uache kuwa mtabiri eti watz watakufa.
Sisi tulishaumwa korona mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni wa mwaka huu.
Ulikuwa wapi? Mbona hukuleta utabiri.
Nyau kabisa
 
cutelove
Lock down isn't the best solution kwetu Bongo
Wasafari kutoka mkoa mmoja kwenda Mwingine Wapimwe kwenye vituo vyao vya Mabasi Sana Sana Dar es Salama, Arusha na Moshi
Watu kila Leo wanapeleka ugonjwa vijijini huko
Leo yenyewe katangazwa Mmoja Mwanza alitokea Dsm huyu humo Safarini kaambukiza Wangapi ??
Sasa unadhani bila lockdown maambukizi yatapungua, kama karantini mtu alihonga akaondoka kuja Mwanza, unadhani kuna mbinu mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda utaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika Time Will Tell.

Mimi nalia na mikusanyiko ya shughuli za kijamii kama harusi, misiba, masoko holela ya machinga na nyumba za ibada.

Ulinzi mkali kwenye quarantine ya walio ingia nchini toka nje pamoja na hospital au kituo cha kuhudumia wagonjwa wa COVID-19.
Massages, dressing Salon, na Barbershops zifungwe kwa muda japo kuna wenzetu watapata shida sana.
Club za pombe na muziki hasa za ndani (indoors) na sehemu zingine za starehe zifungwe kwa muda.

Total lock down hatuwezi kwakweli, bora hiyo partial lockdown.
 
Watu hawako serious na huu ugonjwa
Huku PM mahututi na huko mnashindwa hata kuzuia misongamano ya watu
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tupe ushahidi ni watu wangapi unaowajua wameambukizwa na/au wamekufa kwa sababu ya kutokuwepo "lockdown".

Twambie wewe kama wewe, na walio karibu nawe, wanachukua hatua gani kutokuambukizwa au kuambukiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumesavei dunia nzima, kuwa kwa nchi ambazo walipuuza lockdown na wakaendelea na kazi zao kama kawaida kwa taarifa za leo ndo wanaambukizwa kwa spidi kali, nakupa case study Uturuki fuatilia habari zake za leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lichukue danga lako mka ji Lockdown kwny hile lodge yenu ya buku 5 pale kwa Mtogole ss hapa tunafuata kauli ya mheshimiwa rais Dr John Joseph Pombe Magufuli ya hapa kazi Tu,Watanzania wazalendo tunachapa kazi .
Huyu ana lidanga lake ameshalipanga limeyafuma mapesa, sasa anataka akae nalo ndani asuguliwe kwa mwezi mmoja.
Ila si wangejifungia tu ndani akasuguliwe huko?
 
Wakati hali itakuwa imefika pabaya itapigwa lockdown ya kufaa mtu .walaii hali itakuwa mbaya kuliko hivi sasa , japo sishauri lockdown ila ningependa wataalamu wetu waje na mikakati kabambe ya kuzuia maambukizi ili twende vizuri kwenue hii stage ya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom