CORONA haipotei leo wala kesho. Mtumishi wa Umma jiandae na yafuatayo

Asilipe kodi ili mwenye nyumba ale mawe na familia yake.

Kuna wazee wanaishi kwa kodi za pango. Anunue LUKU kwenye nyumba ipi? Asiyolipia kodi?
Tatizo la kupanga nyumba kwa maskini wa akili na maarifa. Mtu kajenga nyumba ili impe kula hii ni only in TZ. Wenzetu mamtoni wana waive kodi hata kwa miezi 6 na hawatetereki. Utu kwanza!

Nashukuru Mungu landlord wangu ni DON! Hata nikikwama mbeleni naweza kumpiga sound tu mambo yakaenda.
 
After 2 MONTHS, Africa’s total confirmed Covid-19 cases reach 21,096, deaths hit 1,055. That’s 2.86% of USA’s cases, & 2.67% of its deaths – although Africa’s population is 4 times larger than America’s. Big Q: is the worst yet to come for Africa, or it will just be a slow burn?
Kaka wenzetu wanapima kwa makundi sisi hatupimi. Hiyo idadi utaipata wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom