CORONA haipotei leo wala kesho. Mtumishi wa Umma jiandae na yafuatayo

Unaposema usilipe kodi ya nyumba, hapo unakuwa umempanga vipi mwenye nyumba..
nimeshawatumia msg wapangaji wangu kwamba wanatakiwa kulipa kodi mwezi mmoja kabla ya mikataba yao kuisha,korona haihusiani na ada ya pango,kama wakiona vipi wakapange mloganzila
 
Nina familia ya watu wawili na mimi nikiwa wa tatu nimenunua unga kilo 100 na mchele kilo 100 maharage kilo tano naomba mungu atuvushe korona iishe kabla ya msosi kuisha maana nimebaki sina balance

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchele ukikaa ikfika miezi miwili tu unaanza kutoa wadudu. Tafuta njia za kuukinga usitoe wadudu mapema usije pata hasara.
 
Tatizo la kupanga nyumba kwa maskini wa akili na maarifa. Mtu kajenga nyumba ili impe kula hii ni only in TZ. Wenzetu mamtoni wana waive kodi hata kwa miezi 6 na hawatetereki. Utu kwanza!

Nashukuru mungu landlord wangu ni DON! Hata nikikwama mbeleni naweza kumpiga sound tu mambo yakaenda.
Sio suala la utu kwanza. Hakuna. Ni watu wasio na source of income zaidi ya pango. Huyo a waive kodi ya miezi sita?
Angalia issue ya kufunga au kutofunga bar. TBL ni mlipa kodi mkubwa sana. Fungeni bar mkose kodi
 
After 2 MONTHS, Africa’s total confirmed Covid-19 cases reach 21,096, deaths hit 1,055. That’s 2.86% of USA’s cases, & 2.67% of its deaths – although Africa’s population is 4 times larger than America’s. Big Q: is the worst yet to come for Africa, or it will just be a slow burn?
Miongoni mwa swali gumu na linaloumiza kichwa changu..... Prediction za WHO zilifeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio suala la utu kwanza. Hakuna. Ni watu wasio na source of income zaidi ya pango. Huyo a waive kodi ya miezi sita?
Angalia issue ya kufunga au kutofunga bar. TBL ni mlipa kodi mkubwa sana. Fungeni bar mkose kodi
Bar zisifungwe kwamaana kodi ni bora kuliko maelfu kwa mamia ya watanzania watakaokufa na Covid19?

Are using your damn senses well brother?
 
Bar zisifungwe kwamaana kodi ni bora kuliko maelfu kwa mamia ya watanzania watakaokufa na Covid19?

Are using your damn senses well brother?
Vipi na yule mkulu wa mbeya aliye tengua kauli yake ya kufunga bar ila wazingatie taratibu za kujikinga? Common sense ni kwamba Kodi,bia na bar havina thamani kuliko uhai
 
Vipi na yule mkulu wa mbeya aliye tengua kauli yake ya kufunga bar ila wazingatie taratibu za kujikinga? Common sense ni kwamba Kodi,bia na bar havina thamani kuliko uhai
Exactly, afya kwanza then mengine yafuate! Mmarekani aliewekeza kwenye vita na majeshi badala ya kuimprove health sector pia amekipata cha mtema kuni. Na uchumi wote hata barakoa zilikuwa hakuna za kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom