CORONA haipotei leo wala kesho. Mtumishi wa Umma jiandae na yafuatayo

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,152
2,000
Hivi punde, Dar hii unaenda kulima wapi? Kufuga! tufuge nini labda, waulize wafugaji wa kuku hawana pa kuuza mayai wala hizo kuku, hotel zimefungwa kama ulivyosema, tuendelee kumuomba Mungu autuondolee huu ugonjwa maisha yarudi ktk hali ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mzenjibar

Senior Member
Sep 13, 2011
171
250
Exactly, afya kwanza then mengine yafuate! Mmarekani aliewekeza kwenye vita na majeshi badala ya kuimprove health sector pia amekipata cha mtema kuni. Na uchumi wote hata barakoa zilikuwa hakuna za kutosha.
Haaaa haaa atumie majeshi yake kuangamiza covid-19 sasa!!!
 

Elifuraha Bussism

JF-Expert Member
Sep 27, 2017
209
250
Sure, mimi niko shambani nalima dengu na kuchunga ving'ombe vyangu huku madogo na mama yao wamejifungia ndani mahindi, maharage, mchele na vinginevyo vipo vya kutosha ndani.
 

Victor Mlaki

Verified Member
May 1, 2016
1,973
2,000
Unafahamu mahali ambapo Serikali inapatia kodi kiulaini bila kusumbuana na mtu yeyote?..unafahamu walipaji wazuri wa kodi ambao haipo haja ya kuwaelimisha ila sheria ns mikataba yao ya kazi inawaelimisha?

Unafahamu mahali ambapo Serikali nyingi Duniani inafanya " Double exploitation" kwenye suala la kodi?

Ongea kufikiri Mkuu..Unafahamu mifuko ya jamii? Na kama unafahamu unajua hiyo mifuko inakuwa na kitu gani na inafanyiwa nini?.Halafu unafahamu wanaohusishwa mona kwa moja kuchangia kwenye mifuko hiyo?.ila mambo mengine Bwana.

Kufurahia watumishi wa Umma kuumia ni sawa na kufurahia Serikali kuumia na tukumbuke Serikali ikiumia tumeumia wote teh..teh..

Naomba kile kitabu cha Rich Dady Poor Dady nimalizie kurasa kadhaa kuna mstari niliishia una neno " ratrace".
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,487
2,000
Exactly, afya kwanza then mengine yafuate! Mmarekani aliewekeza kwenye vita na majeshi badala ya kuimprove health sector pia amekipata cha mtema kuni. Na uchumi wote hata barakoa zilikuwa hakuna za kutosha.

Huu ukweli akisikia Trump atalia


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,959
2,000
Bar zisifungwe kwamaana kodi ni bora kuliko maelfu kwa mamia ya watanzania watakaokufa na Covid19?

Are using your damn senses well brother?
That is not my suggestion. No!

That is the dilemma faced by your "leaders" Refer to the RC Mbeya. He had to change his feeble mind in less than 24hrs. He might have received some " words" from above.

To me, shutdown all houses of worship, all bars etc.

But nevertheless, you will pay house rent. Otherwise relocate to Mlonganzila for free accommodation.
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
32,622
2,000
That is not my suggestion. No!

That is the dilemma faced by your "leaders" Refer to the RC Mbeya. He had to change his feeble mind in less than 24hrs. He might have received some " words" from above.

To me, shutdown all houses of worship, all bars etc.

But nevertheless, you will pay house rent. Otherwise relocate to Mlonganzila for free accommodation.
Its time for the landlords to show empathy to what is happening to all humans across the entire world. Ikifikia stage watu hawana cha ku offer hali ikiwa mbaya huenda hata wao watakuwa karantini ni lazma kuwe na kiwango flani cha kuelewana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom