imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,405
Msikilize Mkuu wako wa mkoa anavoiitaKupatwa?
Na kufa hujaleta hata ushahidi wowote wewe?
Halafu hakuna colona ni corona mazee
Sent using Jamii Forums mobile app
Msikilize Mkuu wako wa mkoa anavoiitaKupatwa?
Na kufa hujaleta hata ushahidi wowote wewe?
Halafu hakuna colona ni corona mazee
Sent using Jamii Forums mobile app
Inukuu nyuzi yangu yotote niliyozusha
Mimi sio Selemani Nchambi Mb CCM Kishapu ambae ujangili wangu umeguswa
mkuu unaacha sema huwezi kuandika wosiaHii kitu ipo chukua tahadhari, hakuna dawa kumbuka kifo cha Corona uachi urithi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile mikutano wakina matiku, mbowe, heche ma wengineo wanafanya na mnaleta picha. Na video humu ni ya siri sio hadhara?Ruhusuni mikutano ya hadhara ya siasa tunachotaka ni hicho tu.
Ulihongwa au ulihamia kwa matakwa yako?Mimi nimehamia Chadema kutoka ccm sasa na hii mikakati ya kuhonga halafu mnagawa vyeo huku wanaccm asilia mbawaacha solemba ni msumari wa mwisho kwenye jeneza la safari ya kuzimu
Urithi unaacha, sema huachi wosia... hata wosia, wasioacha ni wale wanaoamini kuandika wosia mapema ni uchuro...Hii kitu ipo chukua tahadhari, hakuna dawa kumbuka kifo cha Corona uachi urithi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamkosi majibu kuhalalisha uzushi wenu.Wenyeviti wa mtaa wameambiwa maturubai yasisimame
Mliachia kupima "Upepo"mkaona pamoja na jitihada zenu zote na Mabilioni ya fedha za walipa kodi masikini kuzichezea pamoja na kutumia nguvu kubwa za jeshi la polisi na magereza na mauaji pia lakini "Nyomi" mlioiona hadi mliona aibuIle mikutano wakina matiku, mbowe, heche ma wengineo wanafanya na mnaleta picha. Na video humu ni ya siri sio hadhara?
Huu upupu mnaongea mitandaoni ni Uhuru wa kuropoka sio kuongea?
Wehu tu watawaelewa nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa huwa huna akili hata robo, umeangalia hiyo video?, Kwa mtu anayetumia common sense kwenye scenario Kama hiyo waweza kulaumu vipimo sio watu??, Kwa siku tatu mfululizo wameambiwa hawana Corona,siku ya nne hawajapimwa tena ghafla wanaambiwa wana Corona bado unalaumu vipimo?,hujaelewa au unafanya kusudi?, Hapo tatizo ni kama kuna watu wanaojaribu kuonyesha kuwa madereva wa Tanzania wana Corona, wanatumia hela kulagai wapimaji kwenye mipaka ya nchi zilizozunguka. Ila tumeshawashtukia mpaka list yao wahusika ipo, usicheze na intelijensia ya Tanzania. Stay tuned..
Inaonekana kuna hujuma Fulani tunafanyiwa na majirani zetu, maana hao madereva wanarudi na wanaendelea na Maisha yao bila kupata tabu ya kiafya.
Nilihama baada ya kuona fedha nyingi zinatumika kijinga sanaUlihongwa au ulihamia kwa matakwa yako
Akikamatwa wa ccm haki, akikamatwa teja na mtukanaji wa chadema ameonewa, nawaambia ni wehu tu watakaosapoti upuuzi wenu wa kizushiMimi sio Selemani Nchambi Mb CCM Kishapu ambae ujangili wangu umeguswa
Basi msikilize Mwenyekiti wako
Tizama usivojielewaMliachia kupima "Upepo"mkaona pamoja na jitihada zenu zote na Mabilioni ya fedha za walipa kodi masikini kuzichezea pamoja na kutumia nguvu kubwa za jeshi la polisi na magereza na mauaji pia lakini "Nyomi" mlioiona hadi mliona aibu
Sina mwenyekiti Mimi naishi kwa fikra huru kabisa, natumia upeo wangu kuchanganua mambo sio kupelekwa kwa fikra za mwenyekiti kila jambo.Basi msikilize Mwenyekiti wako
Aisee wacha kupotosha madereva wamefia njiani ni wengi waliokufa kwa kubanwa na pumzi
Selemani Nchambi kakutwa na nyara za serikaliAkikamatwa wa ccm haki, akikamatwa teja na mtukanaji wa chadema ameonewa,