YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,033
Anzeni kwa kuimarisha demokrasia ndani ya vyama vyenu kwanza kuhakikisha kuna uwanja sawa ili.msiwe na armed conflict within na kusababisha madiwani na wabunge kutimka !!!Basi tupeni uwanja sawa wa kufanya siasa acheni kutukandamiza
Sasa hamuoni nchi zingine zinavyoingia kwenye armed conflict kama mzaha msijione ninyi msituharibie nchi
Ndan ya Siku 14 tu tayari MNA conflict na wabunge wanne!!!! Na KUB mbowe kaondolewa Mngejilock down mwezi?