Corona... Corona... Corona kumbe wala....

Corona... Corona... Corona kumbe wala....

Kwa ulivyo wewe, kifo cha kwanza tu ungesharipoti na mazingira yake, hapa umetuingiza chaka mzee chutama tu ni uungwana.
Ugonjwa upo ila hizo hadithi unazikuza sana na sio ajabu kwako coz zina maslahi kisiasa.

Hao watu wote hawana familia wala ndugu isipokuwa wewe mtoa taarifa wao?

Kifo hakifichiki, uwezekano wa ugonjwa kusambaa sana ni mkubwa pia japo madhara ya moja kwa moja kama vile uwepo wa wanaougua na kufa sana zikawa ni prediction's kutokana na trend
Mimi kudanganya kwangu mwiko kwa source zangu vijana niliowafunza kazi miaka ya nyuma karibia nane wametangulia na hao ninawafahamu kuna wengine tunajuana kwa jujuu tu nimeshaabiwa ni watano sasa nizushe ili nifaidike na nini kuwasingizia vijana wangu ambao walikuwa wakinijali hata kwa mikaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacheni Watanzania watiririke kama ilivyikuwa Awamu ya Nne

Mimi nilikuwa mwanaccm ngangari wakati wa Awamu ya nne na jata ukinitafuta humu utaona michango yangu dhidi ya upinzani ilivyokuwa ya moto

Ila baada ya kuona CCM inazidi kupoteza muelekeo na kutumia nguvu kubwa sana ili kutawala nikaona ile misingi imeachwa na ubabe ndio umetalamaki nikaona kuwa hawa wanaofanyiwa unyama ni watanzania wenzangu hawa

Nimeamua kukihama Chama cha mapinduzi mwaka na ushee sasa niko Chadema
Itakuwa awamu ya tano iligusa maslahi yako ukaona isiwe tabu nitafute mahali pa kujifariji.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa aina ya upinzani wa kipumbavu uliopo Tanzania kwanza serikali inawalea sana.
MTU mzushi na mtukani aina yako kumvumilia yataka roho wa Bwana.
Chama Cha Mapinduzi kinatakiwa kuelekeza sera zake kwenye Dialogue na Wapinzani kutumia ubabe ndio kinazidi kujichimbia kaburi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ulivyo wewe, kifo cha kwanza tu ungesharipoti na mazingira yake, hapa umetuingiza chaka mzee chutama tu ni uungwana.
Ugonjwa upo ila hizo hadithi unazikuza sana na sio ajabu kwako coz zina maslahi kisiasa.

Hao watu wote hawana familia wala ndugu isipokuwa wewe mtoa taarifa wao?

Kifo hakifichiki, uwezekano wa ugonjwa kusambaa sana ni mkubwa pia japo madhara ya moja kwa moja kama vile uwepo wa wanaougua na kufa sana zikawa ni prediction's kutokana na trend

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta nyuzi yangu inayoongelea mtu kupatwa na colona
 
Basi tupeni uwanja sawa wa kufanya siasa acheni kutukandamiza
Sasa hamuoni nchi zingine zinavyoingia kwenye armed conflict kama mzaha msituharibie nchi
Uwanja UPI?
Maridhiano hewa?.
Kila siku mnazofanya sio siasa?
Hivi nyie si mnapost video za umati mkiwa kwenye mikutano?
Hamjawahi jielewa mnataka nini tatizo mmekamatwa akili na viongozi wenu.
Wanasiasa wapuuzi sana nyie wote ccm na chadema wapiga debe mlioko huku mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taja jina la dereva mmoja tu aliyekufa na CORONA na kampuni aliyokuwa akifanyia twende ofisi ya viongozi wa umoja wa madereva wa malori yanayoenda nje ya nchi tukahakiki taja dereva mmoja tu na kampuni anayofanyia na gari namba alilokuwa akiendesha na route aliyokuwa akienda

twende kurasini tu ka confirm


halafu wewe una tabia ya uongo na uzushi sana wewe na kujifanya ohh mimi mdau sekta ya usafiri wakati liongo likubwa tapeli tu la mjini
Nipo Tunduma, unaweza nilipia nauli mpaka Dsm twende?
Sitataja hapa ila kama upo tayari kulipa nauli na sio mmoja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi wakati mnampa yule mzee sumu sisi hatukuingilia ninyi demokrasia yetu inawahusu nini acheni kutukandamiza kufunga mikutano ya siasa ni uoga wa kuiogopa Chadema

Wabunge hata mkiwanunua wahamie Nccr shauri yao Bunge lwnyewe linaenda kuvunjwa kwahiyo watakuja wabunge wapya zaodi ya hao tena vijana wa kike na kiume msije kuingiza majeshi mitaani tu
Imagine mnajidhalilisha kuwa mnahongwa kuhamia ccm, hivi mwenye akili timamu anaweza waamini nyie kweli? Kama ccm inawahonga je maadui wa taifa kutoka nje si mtauza nchi nyie?
Halafu kwa upumbavu mnajisifu kabisa kuhongwa na misukule yenu inawaunga mkono, aliewaroga aliwaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwanja UPI?
Maridhiano hewa?.
Kila siku mnazofanya sio siasa?
Hivi nyie si mnapost video za umati mkiwa kwenye mikutano?
Hamjawahi jielewa mnataka nini tatizo mmekamatwa akili na viongozi wenu.
Wanasiasa wapuuzi sana nyie wote ccm na chadema wapiga debe mlioko huku mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ruhusuni mikutano ya hadhara ya siasa tunachotaka ni hicho tu.
 
Chanzo basi kidogo ili watu tusibaki kuamini kuwa hizi ni taarifa za mitandaoni,mnapoona jambo kama hili wahabarisheni watanzania wenzunu,viko vyombo vya habari penyezeni hizi habari,wapo waandishi wa habari wapenyezeeni hizi,wataenda kuchimbua huko,siyo wote watakaa kimya,kisha baada ya kutoa hizo habari ndo mje huku.
Kama kweli mnalipenda taifa lenu hamtoficha kitu,lakini kuja na kuishia kuandika tu huku kuwa wata wanakufa bado hamtoaminika kwa sababu kuna watu hata kushuhudia hawajawahi kushuhudia hata kusikia tu watu wanakufa hawajawahi kusikia.
UOGA,HUFUTA UKWELI.
Uongo mtupu ingekuwa kweli ungeona hata maturubai maeneo ya misiba kwenye hizo familia.
Wazushi hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imagine mnajidhalilisha kuwa mnahongwa kuhamia ccm,
Mimi nimehamia Chadema kutoka ccm sasa na hii mikakati ya kuhonga halafu mnagawa vyeo huku wanaccm asilia mbawaacha solemba ni msumari wa mwisho kwenye jeneza la safari ya kuzimu
 
Mkuu Kati ya watu 100 wanaopata corona,85 wanauwezekana wa kupona wenyewe bila kwenda hospitalini Wala kulala kitandani,15 lazima walale kitandani na kupata matibabu.5 Kati ya hao 15 wana asilimia kibwa sana ya kupoteza maisha.Kwa hiyo Kama ulidhani au uliambiwa na CCM kwamba kila anayepata corona lazima alazwe hospital au afe ulidanganywa sana.Kwa hatua zinazochukuliwa na serikali yetu nakuhakishia kuwa wale watanzania wote wenye kinga dhaifu watazikwa na hata wewe kinga yako ya mwili ikiteteleka hata kidogo umezikwa.Magu kujichimbia usidhani ni mjinga bali anaijua afya yake
Mpaka sasa wameshazikwa wangapi?
Chukua tahadhari acha kutisha watu wewe sio jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom