Corona... Corona... Corona kumbe wala....

Corona... Corona... Corona kumbe wala....

Majirani zetu huwa wanatunyanyasia mno raia wetu. Wakt raia wao wakija hapa tz, wanaishi kwa raha bila usumbufu..! Tumekuwa mno wapole kiasi wanatupanda kichwani.

Ni muda sasaa serikali nayo ijibu huu undava ili kujibu huu ujinga, na kufanya iwe fundisho raia wetu wasinyanyaswe hovyo
Kwasas wanaona maendeleo wanaleta wivu tusiwajari tushikamane watakuja wenyewe
 
Inaonekana kuna hujuma Fulani tunafanyiwa na majirani zetu, maana hao madereva wanarudi na wanaendelea na Maisha yao bila kupata tabu ya kiafya.
au vipimo wanavyo tumia nivile vya kupimia mbuzi na mapai😊😊
 
mkuu kuna watu wapuuzi sijapata kuona.
wao ni wa tanzania lakini bado wanaomba mabaya kwa tanzania ilhali na wao ni watanzania.
hapo unapata majibu ya haraka kwamba ni wapuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu pamoja na wingi wote wa korona iliyopo tanzania hawa wapiga debe wa karona waliopo jf wao hawafi isipokuwa kazi yao kudai watu wengi wanakufa.
Kwa ukubwa huo wa tatizo mnaoutaka tuuamini nyinyi mnaponaje? au korona ya TZ ni kwa ajili ya madereva tu? Ingependeza tukasikia angalau mmoja wenu kafa ili tujue ukubwa wa tatizo sio kutangaza vifo hewa kila siku wakati mitaani kwetu mambo ni shwali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom