Corona... Corona... Corona kumbe wala....

Corona... Corona... Corona kumbe wala....

Ni kweli mitandaoni watu hukuza sana mambo kutokana na maslahi wanayoyajua wao.

Lakini hii haikanushi uhalisia maana ugonjwa upo.
Tatizo ni kwamba serikali yetu tukufu haitoi taarifa za mara kwa mara kuhusu hali ya janga hili. Kwa sababu hii, tusiwalaumu raia kubishana kwa kuwepo au kutokuwepo Corona. Hakuna mwenye uhakika. Wale wanaoamini kuwa ugonwa upo waendelee kuchukua tahadhari. Wale wasioamini waendelee kujirusha bila ya tahadhari wala PPE. Hatimaye na kwa mazingira haya, anaye faidika ni yule anayeamini gonjwa lipo kwa sababu kama lipo amejikinga, na kama halipo basi hapotezi kitu. Kwa hiyo anayepoteza (mjinga) ni yule anayeamini kuwa gonjwa halipo.
 
Umesema kweli.

Na hii ya kutokutoa taarifa hii ni mbaya sana, watu wanajibeteka sana.
 
Kumbukumbu UKIMWI uliingizwa Tanzania na Madereva .Kumbuka Watanzania wengi walikuwa hawasafiri sana zama hizo na watu pekee waliokuwa wanasafiri kwenda nje ni Madereva,Kumbuka Madereva wenyewe walikuwa na nyumba ndogo kila kona na wakaleta ukimwi kwa wake zao na wake wa madereva mara nyingi walikuwa wanachepuki waume wakisafiri
Hii taarifa na hizo takwimu umezitoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupotosha umma, mpaka uugue wewe ndio utajua kuwa corona ipo. Kwasababu unapotosha basi naamuru uipate corona kwa ajili ya kujifunza. Jali maisha ya wenzako sio siasa tumbo.
Katumia tafsida na fasihi kufikisha ujumbe, akionesha hali ilivyo na serikali yetu inavyochukulia swala hili kimasihara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Uganda, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Kenya, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Malawi, mara Zambia yani ukiwasikiliza majirani zetu kama uko nje ya Tanzania basi unaweza kuhisi Watanzania wote watakufa kumbe wapi! Watanzania tuko tunaendelea na shughuli zetu na hatuna hofu na taarifa hizo tunaziona za uongo msiwe mnatuletea.
Wenzenu wanawapima nyie hamuwapimi,mumekalia kutoa misifa tu,dawa ni kuwapima badala ya kutuletea ngonjera hapa.Hujuma gani,mumewapima hao madereva au mnasubiri wenzenu wawapime,kama nyie hamchukui tahadhari wenzenu wanachukua,acheni kuendeleza ujinga wa misifa isiyo na maana,weka vituo vya kuwapima hapo muone ndio wanasingiziwa, mwishowe mtasema hata mama Mgwira RC wa Kilimanjaro nae alisingiziwa
 
Madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Uganda, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Kenya, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Malawi, mara Zambia yani ukiwasikiliza majirani zetu kama uko nje ya Tanzania basi unaweza kuhisi Watanzania wote watakufa kumbe wapi! Watanzania tuko tunaendelea na shughuli zetu na hatuna hofu na taarifa hizo tunaziona za uongo msiwe mnatuletea.
Hizi thread zinaboa sana na kukera mno watu wamefiwa mtu analeta utani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom