Corona... Corona... Corona kumbe wala....

Corona... Corona... Corona kumbe wala....

Mimi ninapoishi tumetenganishwa mita 3 tu na madereva wa HDV wanasafiri na kurudi hapa home kipindi hiki chote hakuna hayo unayo sema.
Mitaani kwetu hao watu wa HDV ni wengi sana na hatuoni hiyo misiba, kama ipo taja majina ya wahanga watatu tu na kampuni zao tufuatilie ukweli.

Hizi siasa tu, ugonjwa upo kwa wingi tu, vifo vipo lakini siyo kiwango mnachotisha watu humu mitandaoni.
Unaongea na dereva wa transit goods mstaafu bado nina contacts nyingi na wenzangu na wale niliowafunza kazi na ninaongea nao daily kila siku napata taarifa za vifo vya madereva tena wengine wamezikiwa njiani
 
Nimeshtushwa sana pale nimekuta baadhi ya watanzania mitandaoni haswa Twitter, wakiwashamvulia watanzania wenzao ambao ni madereva baada ya kulalamika juu ya bad treatment wanazopewa border ya Kenya.
Wataua JF kifo cha mende maana kila watu wakiingia wanataka ushahidi, ambao hatukuwa na tabia hiyo huko nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataua JF kifo cha mende maana kila watu wakiingia wanataka ushahidi, ambao hatukuwa na tabia hiyo huko nyuma.
JF haitokufa kifo mnachoiombea mimi naiona ccm ndio imeanza utawala wa kidikteta na kuwafanya Chadema kama second class citizens

Kwamuktadha huo watu hawana sehemu nyingine ya kutolea hasira zao bali platform pekee ni JF

Vyombo vya ulinzi vimeacha kazi zao vimekuwa kutwa kuchwa ni kungia kwenye magrupu ya Watsaap na kuwawinda wananchi wanaharakati kama digidigi

Tatizo sio Chadema wala JF tatizo ni Ccm imepoteza muelekeo kabisa
 
Taja jina la dereva mmoja tu aliyekufa na CORONA na kampuni aliyokuwa akifanyia twende ofisi ya viongozi wa umoja wa madereva wa malori yanayoenda nje ya nchi tukahakiki taja dereva mmoja tu na kampuni anayofanyia na gari namba alilokuwa akiendesha na route aliyokuwa akienda

twende kurasini tu ka confirm

halafu wewe una tabia ya uongo na uzushi sana wewe na kujifanya ohh mimi mdau sekta ya usafiri wakati liongo likubwa tapeli tu la mjini
Nyie jamaa mna vichwa vigumu sana, vijana na watu wenye nguvu hawasumbuliwi sana na corona ila wao ni carrier wanaichukua hio corona na kusambaza kwengine, mwisho wa siku wanaokufa ni wazee na watu wenye magonjwa mengine kama kisukari.

Sababu madereva hawafi haimaanishi ugonjwa hakuna.

Angalia bungeni waliokufa age zao utaelewa
 
Hizi siasa tu, ugonjwa upo kwa wingi tu, vifo vipo lakini siyo kiwango mnachotisha watu humu mitandaoni
Mimi kudanganya kwangu mwiko kwa source zangu vijana niliowafunza kazi miaka ya nyuma karibia nane wametangulia na hao ninawafahamu kuna wengine tunajuana kwa jujuu tu nimeshaabiwa ni watano sasa nizushe ili nifaidike na nini kuwasingizia vijana wangu ambao walikuwa wakinijali hata kwa mikaa tu
 
JF haitokufa kifo mnachoiombea mimi naiona ccm ndio imeanza utawala wa kidikteta na kuwafanya Chadema kama second class citizens

Kwamuktadha huo watu hawana sehemu nyingine ya kutolea hasira zao bali platform pekee ni JF

Vyombo vya ulinzi vimeacha kazi zao vimekuwa kutwa kuchwa ni kungia kwenye magrupu ya Watsaap na kuwawinda wananchi wanaharakati kama digidigi

Tatizo sio Chadema wala JF tatizo ni Ccm imepoteza muelekeo kabisa

Kama haitakufa kwa tabia za majungu na propaganda itabaki kuwa na misukule zaidi ya wale wanaoona mafanikio katika kukosoa. Mkuu mimi nipo muda mrefu tangu alifu lakini kwa njia hii ya kununua mtandao na kuweka shinikizo la kuendesha mijadala na kuondoa what matters for the nation, I bet my last nickel 2/3 years down the line it will be dead.
 
Nyie jamaa mna vichwa vigumu sana, vijana na watu wenye nguvu hawasumbuliwi sana na corona ila wao ni carrier wanaichukua hio corona na kusambaza kwengine, mwisho wa siku wanaokufa ni wazee na watu wenye magonjwa mengine kama kisukari.

Sababu madereva hawafi haimaanishi ugonjwa hakuna.

Angalia bungeni waliokufa age zao utaelewa
hao wa bungeni nani alikwambia walikufa kwa corona? mbona wamezikwa wote na umati wa watu acha uzushi
 
Madereva waache umalaya,wawe serious na kazi,watakwisha,,huu sio ukimwi eti utakupa mda wa kuishi miaka 30,,kwani hawawezi kusafiri bila kugonga Malaya kila kituo wanacholala?
 
Kama haitakufa kwa tabia za majungu na propaganda itabaki kuwa na misukule zaidi ya wale wanaoona mafanikio katika kukosoa. Mkuu mimi nipo muda mrefu tangu alifu lakini kwa njia hii ya kununua mtandao na kuweka shinikizo la kuendesha mijadala na kuondoa what matters for the nation, I bet my last nickel 2/3 years down the line it will be dead.
Wacheni Watanzania watiririke kama ilivyikuwa Awamu ya Nne

Mimi nilikuwa mwanaccm ngangari wakati wa Awamu ya nne na jata ukinitafuta humu utaona michango yangu dhidi ya upinzani ilivyokuwa ya moto

Ila baada ya kuona CCM inazidi kupoteza muelekeo na kutumia nguvu kubwa sana ili kutawala nikaona ile misingi imeachwa na ubabe ndio umetalamaki nikaona kuwa hawa wanaofanyiwa unyama ni watanzania wenzangu hawa

Nimeamua kukihama Chama cha mapinduzi mwaka na ushee sasa niko Chadema
 
hao wa bungeni nani alikwambia walikufa kwa corona? mbona wamezikwa wote na umati wa watu acha uzushi
Bonge la umati naliona.
2377234_R2.jpg
 
Kwakweli kama hiyo video ni ya kweli basi kuna tatizo kwenye system ya upimaji Zambia
We jamaa huwa huna akili hata robo, umeangalia hiyo video?, Kwa mtu anayetumia common sense kwenye scenario Kama hiyo waweza kulaumu vipimo sio watu??, Kwa siku tatu mfululizo wameambiwa hawana Corona,siku ya nne hawajapimwa tena ghafla wanaambiwa wana Corona bado unalaumu vipimo?,hujaelewa au unafanya kusudi?, Hapo tatizo ni kama kuna watu wanaojaribu kuonyesha kuwa madereva wa Tanzania wana Corona, wanatumia hela kulagai wapimaji kwenye mipaka ya nchi zilizozunguka. Ila tumeshawashtukia mpaka list yao wahusika ipo, usicheze na intelijensia ya Tanzania. Stay tuned..
 
Chama Cha Mapinduzi kinatakiwa kuelekeza sera zake kwenye Dialogue na Wapinzani kutumia ubabe ndio kinazidi kujichimbia kaburi
 
Kwa siku tatu mfululizo wameambiwa hawana Corona,siku ya nne hawajapimwa tena bado unalaumu vipimo?,hujaelewa au unafanya kusudi?
Sasa ulikuwa unashauri nini tuivamie Jamhuri ya Zambia kijeshi kwa sababu ya Madereva wanafanyiwa zengwe?!
 
Washikaji zangu wengi wako kwenye kampuni binafsi na nikikupa details zote kesho tu watafuatwa na makachero na kuanza kusumbuliwa
Yaani hizo kampuni binafsi za rafiki zako wanawatuma madereva wenye maambukizo safari za nje nchi wakifie huko, ili wapate nini? Kwa maana hiyo hizo kampuni hazijawekewa karantini.

Taarifa za kuungaunga hizo hushabikiwa na watu kama wewe.

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE WAPENDWA WAKO
 
Sasa ulikuwa unashauri nini tuivamie Jamhuri ya Zambia kijeshi kwa sababu ya Madereva wanafanyiwa zengwe?!
Unavyo comment ongea kitu kinacholeta maana, kwa yeyote aliyeangalia video akaelewa huwezi kusema vipimo vya Zambia vichunguzwe, hata hukujiuliza inawezekanaje madereva wote 12 wakawa na Corona?. Tatizo lenu mnatanguliza UCDM na UCCM kwenye kila kitu.
 
Chama Cha Mapinduzi kinatakiwa kuelekeza sera zake kwenye Dialogue na Wapinzani kutumia ubabe ndio kinazidi kujichimbia kaburi
Kazi ya chama chochote cha siasa duniani sio.kuwa na Sera ya dialogue na chama kingine cha siasa!!!

Kazi ya chama chochote cha siasa ni kusimamia ilani na Sera zake tu na kuzifanyia kazi kiwe tawala au upinzani

Hakuna chama huanzishwa kwa lengo la dialogue na chama kingine hakuna kitu kama hicho
 
Basi tupeni uwanja sawa wa kufanya siasa acheni kutukandamiza
Sasa hamuoni nchi zingine zinavyoingia kwenye armed conflict kama mzaha msituharibie nchi
 
Back
Top Bottom