imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,405
Mimi sio muongo ndugu ila ninyi mnaokanusha hadi familia ya Marehemu Mzee wetu Mussa Kwikima inawaumbua hadharani ndio waongomwongo mkubwa uliyekubuhu wewe
Mimi sio muongo ndugu ila ninyi mnaokanusha hadi familia ya Marehemu Mzee wetu Mussa Kwikima inawaumbua hadharani ndio waongomwongo mkubwa uliyekubuhu wewe
Kila nchi inatoa maazimu ya kupima na kufungia madreva wa Tanzania kwa kutumia miongozo yake bila kushirikiana na Tanzania.Madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Uganda, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Kenya, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Malawi, mara Zambia yani ukiwasikiliza majirani zetu kama uko nje ya Tanzania basi unaweza kuhisi Watanzania wote watakufa kumbe wapi!!! Watanzania tuko tunaendelea na shughuli zetu na hatuna hofu na taarifa hizo tunaziona za uongo msiwe mnatuletea.
uongo ukimwi haukuletwa na madereva Tanzania uliletwa na wanajeshi wa Tanzania walioenda kupigana vita ugandaKumbukumbu UKIMWI uliingizwa Tanzania na Madereva .Kumbuka Watanzania wengi walikuwa hawasafiri sana zama hizo na watu pekee waliokuwa wanasafiri kwenda nje ni Madereva,Kumbuka Madereva wenyewe walikuwa na nyumba ndogo kila kona na wakaleta ukimwi kwa wake zao na wake wa madereva mara nyingi walikuwa wanachepuki waume wakisafiri
kujua marehemu kunahitaji kachero? anyway mtu mzima kijijini akitaka kwenda kujisaidia haja kubwa porini hakosi kisingizio husingizia anaenda kuokota kuni.Umeeleweka kisingizio chako ila ukome kuleta uzushi .Sio vizuriWashikaji zangu wengi wako kwenye kampuni binafsi na nikikupa details zote kesho tu watafuatwa na makachero na kuanza kusumbuliwa
mkuu kuna watu wapuuzi sijapata kuona.Madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Uganda, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Kenya, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Malawi, mara Zambia yani ukiwasikiliza majirani zetu kama uko nje ya Tanzania basi unaweza kuhisi Watanzania wote watakufa kumbe wapi!!! Watanzania tuko tunaendelea na shughuli zetu na hatuna hofu na taarifa hizo tunaziona za uongo msiwe mnatuletea.
kumbe hata wewe umemjua.huyu jamaa muongo sana.sijui aoni aibutaja jina la dereva mmoja tu aliyekufa na kampuni aliyokuwa akifanyia twende ofisi ya viongozi wa umoja wa madereva wa malori yanayoenda nje ya nchi tukahakiki taja dereva mmoja tu na kampuni anayofanyia na gari namba alilokuwa akiendesha na route aliyokuwa akienda
twende kurasini tu ka confirm
halafu wewe una tabia ya uongo na uzushi sana wewe na kujifanya ohh mimi mdau sekta ya usafiri wakati liongo likubwa tapeli tu la mjini
Mimi sio muongo ndugu ila ninyi mnaokanusha hadi familia ya Marehemu Mzee wetu Mussa Kwikima inawaumbua hadharani ndio waongo
Uandishi na matarajio ya saccosMadereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Uganda, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Kenya, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Malawi, mara Zambia yani ukiwasikiliza majirani zetu kama uko nje ya Tanzania basi unaweza kuhisi Watanzania wote watakufa kumbe wapi!!! Watanzania tuko tunaendelea na shughuli zetu na hatuna hofu na taarifa hizo tunaziona za uongo msiwe mnatuletea.
Nikiwapa details za gereji mutakuja kubambika unga 23gram kama mlivyomfanyia Mdude Chademakujua marehemu kunahitaji kachero? anyway mtu mzima kijijini akitaka kwenda kujisaidia haja kubwa porini hakosi kisingizio husingizia anaenda kuokota kuni.Umeeleweka kisingizio chako ila ukome kuleta uzushi .Sio vizuri
tumeshakuchoka na uongo wako na uzushi humu jamii forums tunakusihi tu kujijeengea heshima jamii forums acha uzushi ukija na hoja uje umekamilika usigeuze jamii forums kijiwe cha uzushi huo wa mdude pia uzushi kweli wewe umekubuhu uzushiNikiwapa details za gereji mutakuja kubambika unga 23gram kama mlivyomfanyia Mdude Chadema
Kuhusu vifo vya madereva vilivyotokana na COVID-19 unapotosha, ila maambukizi ya huo ugonjwa kweli kabisa ugonjwa upo sana humu nchini, huku mitaani watu hawataki kwenda hospital wanaponea majumbani.Washikaji zangu wengi wako kwenye kampuni binafsi na nikikupa details zote kesho tu watafuatwa na makachero na kuanza kusumbuliwa
Jamaa wamegeuza twitter na JF uwanja wa kupambana na serikali au na CCM au kupambana na Mh. Magufuli huku wakificha utambulisho wao.tumeshakuchoka na uongo wako na uzushi humu jamii forums tunakusihi tu kujijeengea heshima jamii forums acha uzushi ukija na hoja uje umekamilika usigeuze jamii forums kijiwe cha uzushi huo wa mdude pia uzushi kweli wewe umekubuhu uzushi
ushakuwa mahakama umeshathibitisha tayari kuwa tumembambika
Watanzania wanaotuhumiwa wana Corona
Kwakweli kama hiyo video ni ya kweli basi kuna tatizo kwenye system ya upimaji Zambia
Unaongea na dereva wa transit goods mstaafu bado nina contacts nyingi na wenzangu na wale niliowafunza kazi na ninaongea nao daily kila siku napata taarifa za vifo vya madereva tena wengine wamezikiwa njianiKuhusu vifo vya madereva vilivyotokana na COVID-19 unapotosha, ila maambukizi ya huo ugonjwa kweli kabisa ugonjwa upo sana humu nchini, huku mitaani watu hawataki kwenda hospital wanaponea majumbani.
Stori za huko hospitalini nyingi hazi hamasishi mtu kujipeleka mwenyewe.
Jamaa wamegeuza twitter na JF uwanja wa kupambana na serikali au na CCM au kupambana na Mh. Magufuli huku wakificha utambulisho wao.
Habari nyingi ni za upotoshaji na za kimkakati wa kisiasa.
Watu wanaumwa wengi akini vifo siyo vingi kama inavyo kuzwa.
Jamaa wamegeuza twitter na JF uwanja wa kupambana na serikali au na CCM au kupambana na Mh. Magufuli huku wakificha utambulisho wao.
Habari nyingi ni za upotoshaji na za kimkakati wa kisiasa.
Watu wanaumwa wengi akini vifo siyo vingi kama inavyo kuzwa.
Unaongea na mdau nawaonea huruma hao madereva najiona ni kama mimi hapo walipo mtu anaetukana ni mtu ambae hajapitia tasnia hiyoYaani hata hiyo video huamini mkuu? Mimi nifanye mipango ya kwenda kupanga njama ya video then niwashurutishe Zambia wafungue mpaka kwa haraka haraka. Dah! hiyo itakuwa noma kubwa sana. Hongera lakini wengine wenye msimamo kama wako wangeanza kutoa matusi.