Corning Gorilla Glass 4

Corning Gorilla Glass 4

Vioo vinavyofika 200,000 kupanda juu ni vile full hd au QHD. Vioo vya HD ndio vinakuwa around laki 1 mwisho laki 2 na vioo kama chako cha 480p hicho ni around laki 1 au chini ya hapo kikiwa complete.

Hata kama huyo mtu angekuwa anakubadilishia full still kwa 250,000 anakudhulumu, kwa bei hio unapata nokia x2 ambayo ni nzuri zaidi ya xl na hela inabaki

Pitia maduka ya display waambie unataka touch/digitizer tupu kwa ajili ya nokia xl then ukishanunua nenda kwa fundi aibadili

Yaap shukran mkuu kwa maelezo powa sana, nilijaribu kupitia Amazon kule nimeona hiyo touch/digitizer ya xl iko around $12/14yaan ni very cheap ila powa ngoja nifate ushauri wako kaka
 
Back
Top Bottom