Kaputupu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,486
- 1,179
Hapo kwenye Protection Mkuu....
Wamedai its Gorilla Glass 4...
Wakuu na kioo cha lg g2 kinaweza kuwa shilingi ngapi?
kioo cha ndani kinawaka? kama kinawaka hio front glass(gorilla glass) ni bei rahisi sana around dola 5 au chini ya hapo.
hio ni front glass tu usiogope, kibongo bongo wanaita touch, ukienda kwa fundi mwambie kioo kizima nataka kubadili tachi pamoja na ufundi isizidi 20,000Chief simu inawaka fresh kabisa inawaka na haina sheedah.. Na kioo cha ndai kinawaka vzr tuu. Sema ndo imeharibika juu hapo kama ulivyoona kwa picha...
E7 nyepesi sanaa... Simu ilichomoka dirishani while gari inatembea ( gari ilikuwa kasi)
Hiyo ni Gorilla glass 3 sio 4. Nenda Samsung pale samora au Sapna au Wireless concept mafundi wa zuri sana watarekebisha.
hio ni front glass tu usiogope, kibongo bongo wanaita touch, ukienda kwa fundi mwambie kioo kizima nataka kubadili tachi pamoja na ufundi isizidi 20,000
Sasa Mkwawa umeongea kitu hapa nadhan nitapata msaada pia hapa, natumia nokia xl front glass ilipata damage ikaweka michilizi mingi tu but its still working na tach yake inapiga mzigo kama kawa, sasa nikatafuta fundi basi ile kuiona tu bana si akasema eti kuweka ingine tu ni 250000 is it possible bro wakati hii ni front glass na bado inapiga kazi....msaada hapo
kioo cha ndani kinawaka? kama kinawaka hio front glass(gorilla glass) ni bei rahisi sana around dola 5 au chini ya hapo.