Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,375
Kwa uelewa wa kawaida
Kamwe huwezi kupata mchanga wenye 90% Gold
NEVER!
Hakuna composition hiyo
Kwa lugha nyingine ingemaanisha hakuna hata haja ya ku-SMELT (kuyeyusha)
Labda ingebidi ku-refine tu kuondoa impurities ili kupata at least 99.9%
Kwa uongo wausemao ingemaanisha Tanzania tungekuwa tajiri kuliko utajiri wote wa dunia!
Yaani container moja lingekuwa na tani karibu 30 za dhahabu
Wakivhimba uyeyushaji wa dhahabu hufanyika mgodini na hayo mabaki bado huwa yana madini mengine kama Copper,Silver, Nickel na Cadmium na Gold tena kwa uchaaache sana pia ambazo kuziextract hutaka teknolojia ya juu na umeme mkubwa na stable(Kule wanatumia umeme wa NUCLEAR)
Pia Plant hizo ni aghali na ziko chache duniani na sio kazi ya investors
Pia huo mvhanga kusafirishwa ni jambo lipo ndani ya maagano (CONTRACT) walizopitisha hao hao akina Magu kwa kishindo
Kungekuwa na dhahabu 90% mule container zingesindikizwa na ukinzi mkali
Kwanza wangebeba na Cargo Plane tu
Tuache kuargue kama hatuna uwezo wa kujiongeza na ku-connect dots za ukweli
Mwisho nikuulize kama umenikodisha shamba nikivuna utataka nikuachie Mabua ? Ama nikikoboa nikuachie Mapumba?
Vyote ni vyangu na ndivyo hata huo mnaoita mchanga ni wao pia!
Labda msubiri magwangwala ambayo ni waste na mpewe kwa hiari sio lazima!!