Copper Smelters around the World - Capacity less or equal to 100,000 tons per year

Copper Smelters around the World - Capacity less or equal to 100,000 tons per year

Mkuu hivi huu ujinga wa wataalam wetu wa kusema hapa kwetu haiwezekani,umeme hautoshi,kiwanda kipo Japani! dhahabu ipo kidogo na copper chache,silver kiduchu,zinc kwa mbali na mengi mengine sisi hatutaki kuyasikia hebu njoni na wazo la jinsi ya kuweza kuchenjua mchanga Tanzania period.

"Economics on different types of extracting gold."

Nnakusihi soma somo hilo, hata kwenye mtandao tu ili uwe na uelewa wa kinachoendelea na yanayozungumzwa na wataalam mbali mbali.

Unaweza ku extract (chenjua) dhahabu popote pale, hata hapa kwetu. Swali, jee, kwa gharama ipi? Kifedha na Kiamzingira.

Usije ukajikuta una "extract" dhahabu lakini kwa gharama kubwa kuliko kuinunua hiyo dhahabu. Hilo ndilo la muhimu kutazamwa.

Mfano mzuri ni ule wa mafuta. Wataalam wanasema hakuna nchi isiyokuwa na mafuta duniani kinachotofautiana ni gharama tu za kuyachimba hayo mafuta. Ikiwa leo kuyanunua mafuta ni dollar 100 kwa pipa na ukiyachimba kwako itakugharimu dola 200 kwa pipa, utayachimba?
 
Mleta mada umeleta "graph" ya "smelters" za kuchenjua shaba, sasa tuletee "graph" ya gharama za ku "extract" dhahabu kwenye hizo smelters. Hapo sasa!
Sawa kabisa, na hapo ndipo tunapotaka ma engineers wetu, wanasayansi n.k. waliobobea waonyeshe makali yao, twaamini watu tunao, swala wao na wenzao watafute the affordable means of extracting that Gold and other precious metals, dada FaizaFoxy wengine kwenye taaluma zetu huwa twapata challenges kama hizi, twahangaika nazo mpaka kieleweke, na sio kukimbilia kupeleka malighafi nje, iliojazwa kwenye containers, bila kuwa na uhakika na reports zake baadaye baada ya uchambuzi, unapeleka containers mia, ukiambiwa Gold iliyopatikana ni hii kwenye kikapu utafanyeje zaidi ya kukubali?! Haya mambo tulifanyiwa zamani, sasa naamini WaTz umefika muda kusema TWAWEZA..
 
Uyasemayo ni sawa lakini hakuna dhahabu inayotoka bila kupimwa, ukisoa ule uzi wa COO wa ACACIA ameelezea mlolomgo wote na samples hubakishwa ikiwa kutakuwa na mgogoro.

Wataalam wetu wapo migodini wakiyafanya hayo, au wao ndiyo wanashirikiana na wawekezaji kuiba? Fikiri.
 
Sawa kabisa, na hapo ndipo tunapotaka ma engineers wetu, wanasayansi n.k. waliobobea waonyeshe makali yao, twaamini watu tunao, swala wao na wenzao watafute the affordable means of extracting that Gold and other precious metals, dada FaizaFoxy wengine kwenye taaluma zetu huwa twapata challenges kama hizi, twahangaika nazo mpaka kieleweke, na sio kukimbilia kupeleka malighafi nje, iliojazwa kwenye containers, bila kuwa na uhakika na reports zake baadaye baada ya uchambuzi, unapeleka containers mia, ukiambiwa Gold iliyopatikana ni hii kwenye kikapu utafanyeje zaidi ya kukubali?! Haya mambo tulifanyiwa zamani, sasa naamini WaTz umefika muda kusema TWAWEZA..
Mkuu jebs2002
Unachokiongea nakuunga mkono more then [emoji817]%,kila siku wataalam wetu maelezo yao kuchenjua hapa Tanzania haiwezekani haiwezekani haiwezekani[emoji779] [emoji780]
 
"Economics on different types of extracting gold."

Nnakusihi soma somo hilo, hata kwenye mtandao tu ili uwe na uelewa wa kinachoendelea na yanayozungumzwa na wataalam mbali mbali.

Unaweza ku extract (chenjua) dhahabu popote pale, hata hapa kwetu. Swali, jee, kwa gharama ipi? Kifedha na Kiamzingira.

Usije ukajikuta una "extract" dhahabu lakini kwa gharama kubwa kuliko kuinunua hiyo dhahabu. Hilo ndilo la muhimu kutazamwa.

Mfano mzuri ni ule wa mafuta. Wataalam wanasema hakuna nchi isiyokuwa na mafuta duniani kinachotofautiana ni gharama tu za kuyachimba hayo mafuta. Ikiwa leo kuyanunua mafuta ni dollar 100 kwa pipa na ukiyachimba kwako itakugharimu dola 200 kwa pipa, utayachimba?
Dada Faiza pamoja na ushauri wako mzuri mi hoja yangu wataalam wetu wanapotoa maelezo yao wanaegemea kwenye tafiti za wenzao! Kakujibu jebs 2002 kwenye post yake no.104.
Haya mambo ya kusoma maandiko yao ya mlolongo mzima wa uchimbaji definitely wataandika kila ukisoma unaburudika, haiwezekani wakaandika wanavyo chakachua never.
 
Ndiyo ukweli wenyewe. Fungua kitabu chako cha inorganic chemistry cha O- level kama ulisoma mchepuko wa sayansi. Na kujua kiwango cha kila element kwenye huo mchanga wala hatuhitaji kupeleka sampuli nje ya nchi kama tulivyofanya ku analyse DNA za kifaru John. Hata pale UDSM wanaweza kuu analyse huo mchanga. Haya Waziri mkuu akapeleka sampuli kwa mkemia mkuu. Majibu yatatoka very soon na method anayotumia ni hiyo hiyo ya separation by melting ambayo ndiyo the simplest. Wewe unaona ni mambo serious sana. Ni serious kwa maana ndani ya huo mchanga kuna matofali ya pure gold ambayo hayahitaji hata chemical analysis kuyaona. Ndiyo maana tumeambiwa tujiandae kulia siku container hizo zitakapofunguliwa.
Unaanza kuharibu sasa mjadala wetu kutoka wa kitaalam na kuletea siasa zako za chemistry sijui ya darasa form 4 na mambo ya LAB Udsm. Subiria kina OXNR, EmaJohn, Chige, Tzara Club na Eddy watoe shule kwa fikra pevu. Wewe subiria Rais kasema nini usapoti..kaa kando kwanza. Au tafuta UZi wa kina LIZABONI, Wakudavua sijui, Barabarosa na wengineo ukachangie. Wataalam tuendelee tunawafuatilia kwa ukaribu nia ni kuijenga Tanzania na si kuifanya shamba la bibi tu..
 
Mkuu jebs2002
Unachokiongea nakuunga mkono more then [emoji817]%,kila siku wataalam wetu maelezo yao kuchenjua hapa Tanzania haiwezekani haiwezekani haiwezekani[emoji779] [emoji780]
Mpaka lini kaka??!! Wako tunaamini wako wasomi na vijana wenye uwezo wa kufanya haya mambo, tutumie vipaji vyetu, after all they claim life started in East Africa mkuu...Now its the time, zikija kuisha tuwe mbali na sio vizazi kuja kutuponda na kutulaani tulivyo mandorobo..
 
Mleta mada umeleta "graph" ya "smelters" za kuchenjua shaba, sasa tuletee "graph" ya gharama za ku "extract" dhahabu kwenye hizo smelters.

Hapo sasa!

FaizaFoxy:
  • Kwanza, graph niliyoweka ililenga kuonyesha copper smelters mbali mbali duniani ambazo zina smelt copper concentrate kuanzia tani 2,000 mapka tani 100,000 kwa mwaka. Kwa sisi migodi yetu kwa sasa inazalisha copper concentrate kati ya tani 50,000 mpaka tani 60,000. Inaonyesha kuwa si lazima smelter iwe na capacity ya tani 150,000 kama TMAA walivyoshauri. Kwahiyo Tanzania tunaweza kuinstall smelter yenye capacity ya tani 50,000 kwa mwaka. Na mfano mzuri ni kama Outokumpu Flash Smelter nchini Botswana yenye capacity ya 26,000 tons per year, Reverberatory copper smelter nchini S. Afrika yenye capacity ya 50,000 tons/year.
  • Kuhusiana na gharama za ku-extract dhahabu naomba nijitahidi kukuelewesha kuwa:
  1. Ukismelt copper concentrate haupati 100% copper isipokuwa utapata kati ya 40 to 60% copper the rest is Fe, S plus gold, silver etc. Hii tunaita "Matte".
  2. Utahitaji unit nyingine "Converter unit" ili uweze kuconvert Matte copper from 40/60% to 95-97% copper (Blister). Gold na silver zitakuwa bado ziko contained kwenye copper (Product :Copper Anode). Hii ni issue inahusu thermodynamics and solubility of elements, nisingependa kwenda kwa undani zaidi.
  3. Utakuwa na unit nyingine "Electrorefining unit" ili uweze kupata 99.7% copper pamoja na pure gold, silver (which are byproduct credits) etc
  4. Finally, lazima utakuwa units zingine kama:
  • Gas cleaning unit -
  • Sulphuric acid production plant
  • Industrial Oxygen plant etc
Kama research ikifanyika based on a smelter with capacity of say 50,000 tons per year, one can easily establish the:
  • Capitals costs,
  • Operating costs and
  • Interests and capital recovery
Kuhusiana na report ya TMAA nimeisoma, tatizo haina justifications:
  • No evidence to support the minimum smelter capacity of 150,000 tons per year!!!
  • No evidence to support the high energy demand ==> No Mass and industrial heat balance to support the high energy consumption
  • what about other plenty sources of energy we have (coal for example)
Sorry, this is more professional and you should not be asking for it.
 
Graph hapo chini inaonyesha copper smelters mbali mbali katika nchi tofauti duniani zenye uwezo wa kuchenjua kuanzia 2,000 tons kwa mwaka mpaka zenye uwezo wa 100,000 tons kwa mwaka ambazo zinaoperate mpaka sasa.
Kwahiyo hizi data zinapingana kabisa na conclusion waliyotoa TMAA kuwa smelter lazima iwe na capacity ya 150,000 tons per year to be economically viable. Hii inaonyesha hawakuresearch vya kutosha kuona kama kuna smelters zenye capacity ndogo huenda ilikuwa influenced na migodi yenyewe pamoja na smelters walizotembelea kule japani ( Toyo smelter yenye uwezo wa 300,000 tons per year pamoja na Saganoseki yenye uwezo wa 470,000 tons per year).

Nashauri team ya watalaam wa uchakataji na uchenjuaji makinikia iundwe kuangalia uwezekano wa ku install smelter yenye uwezo kati ya 40, 000 na 60,000 tons per year. Hii ni kutokana na kuwa migodi yetu inazalisha kati ya 50,000 na 60,000 tons per year na huenda production ikashuka zaidi.

Umezungumzia copper smelter, TMAA wamezungumzia smelters za gold, au nimeelewa vibaya? Au wewe unataka kuchanganya watu? Tutafutie hizo smelters za dhahabu halafu tuletee data zake tuone ndiyo tunaweza kuchanganua. Halafu elewa kuwa wao wamesema ule mchanga una mchanganyiko wa madini matatu, yaani, gold,silver and copper. Kwa hiyo ninavyodhani mimi hiyo smelter unayozungumzia wewe ni ya copper tu,vipi kuhusu hayo madini mengine?
 
FaizaFoxy
Hapo sasa tena, inamaanisha TWAWEZA..Au??? emajohn Na kama yawezekana kwanini twang'ang'ania report za hawa wazungu wenye maslahi binafsi??!!! Tena na tena MPAKA LINI??!!
Mkuu jebs2002
Hivi toka huu mchanga uanze kusafirishwa kwenda kuchenjuliwa huko ughaibuni kuna taarifa yoyote ya kiasi gani kilicho chenjuliwa, kilichopatikana kwenye mauzo na Tanzania tumegawiwa kiasi gani?
 
Umezungumzia copper smelter, TMAA wamezungumzia smelters za gold, au nimeelewa vibaya? Au wewe unataka kuchanganya watu? Tutafutie hizo smelters za dhahabu halafu tuletee data zake tuone ndiyo tunaweza kuchanganua. Halafu elewa kuwa wao wamesema ule mchanga una mchanganyiko wa madini matatu, yaani, gold,silver and copper. Kwa hiyo ninavyodhani mimi hiyo smelter unayozungumzia wewe ni ya copper tu,vipi kuhusu hayo madini mengine?
Umezungumzia copper smelter, TMAA wamezungumzia smelters za gold, au nimeelewa vibaya? Au wewe unataka kuchanganya watu? Tutafutie hizo smelters za dhahabu halafu tuletee data zake tuone ndiyo tunaweza kuchanganua. Halafu elewa kuwa wao wamesema ule mchanga una mchanganyiko wa madini matatu, yaani, gold,silver and copper. Kwa hiyo ninavyodhani mimi hiyo smelter unayozungumzia wewe ni ya copper tu,vipi kuhusu hayo madini mengine?

Kwanza elewa hiyo siyo gold concentrate, its a copper concentrate with about 18-22% copper and only about 200 grams of gold per 1000kg of concentrate.

Ku-extract gold read the sequence 1 to 4 utaelewa.
 
Mkuu jebs2002
Hivi toka huu mchanga uanze kusafirishwa kwenda kuchenjuliwa huko ughaibuni kuna taarifa yoyote ya kiasi gani kilicho chenjuliwa, kilichopatikana kwenye mauzo na Tanzania tumegawiwa kiasi gani?
In public hawajaweka wazi kwa kisingizio mikataba ni siri kati ya serikali na mwekezaji, hapo sasa ndiyo twarudi kule kule walipokataa kuweka wazi kila kitu, twavuna tulichopanda kwa ubinafsi na uroho wa wanaotuwakilisha...
 
Kumbe utafiti wa mwaka 2009?

Utafiti wa mwaka 2009 wala sio tija, shida inakuja makubaliano ya awali yaliyotokana na utafiti yalikuwaje?
Kuna vitu watu wanapaswa kuelewa
1: kazi ya kutafuta mgodi ni kazi ya risk na ni Kamali kubwa sana, unaweza kutumia Mamilioni ya Dollar na mwisho wa siku ukashindwa kupata madini ya kuweza kuyavuna kwa faida so hiyo inakuwa hasara kubwa tu

2: issue ya kutafuta madini kabla ya kuweka mgodi inakuwa na hatua kadhaa lakini za muhimu sana ni Quantity ya Madini kwamba madini yapo kiasi gani na yamejigawake kiasi chake kwenye mawe so hapo ndio zinapatikana zone kiwa hapa kuna High, Low grade na waste materials,
na pili ni Quality ya hayo madini, yaani kama unatafuta dhahabu je dhahabu inapatikana pekee au imechanganyka na madini mengine (Copper, Silver nk) pia inaangaliwa huo mchanganyiko uko kwenye ratio ipi?, yaani kila madini na %ge zake

3: kunafanyika Metallurgical test, yaani kama Ore ikiingizwa kwenye kuchakata ni kiasi gani cha Dhahabu kitapatikana hii inaweza kusemwa kama recovery test, yaani ni %ngapi ya dhahabu inapatikana say unapoweka ton moja ya mawe,

4: aina gani ya mining procedures zitatumika kutoa madini ardhini, Underground au open-pit na kuna factors za kitalaamu za kuchagua njia gani zitumike

So hizo ndio baadhi ya factors ambazo wawekezaji wanazitumia kuweka misimamo yao ya mkataba na lengo lao kuu ni kumaxmize faida

So Seriakli ya Tanzania iliambiwa na wawekezaji kuwa dhahabu imechanganyika na Madini mengine so wao wañaweza kutoa sehemu kadhaa ya hiyo dhahabu, lakini sehemu iliyobaki pamoja na madini mengine hayawezi kutenganishwa hapa Tanzania, na Serikali ilijiridhisha kuwa ni kweli jamaa walichikiwa wanakisema na gharama ya kutengeneza mitambo ya kuchakata hayo madini kulinganisha na kilichomo na quantity ya mzigo haitaleta faida kabisa, na ukumbuke by that time hilo eneo lote la Kahama lilikuwa halina umeme wa grid zaidi ya Magenerator tu

Cha muhimu sasa serikali ingeweka watu waaminifu hapa bango kupima mzigo unaotoka (hope TMAA-wanafanya hivyo), lakini pia mzigo unapokwenda napo kuwe na wataalam wa Kitanzania watakao hakikisha kuwa Mzigo uliofika ni sahihi na uchakataji unafanywa kwa uadilifu
 
FaizaFoxy:
  • Kwanza, graph niliyoweka ililenga kuonyesha copper smelters mbali mbali duniani ambazo zina smelt copper concentrate kuanzia tani 2,000 mapka tani 100,000 kwa mwaka. Kwa sisi migodi yetu kwa sasa inazalisha copper concentrate kati ya tani 50,000 mpaka tani 60,000. Inaonyesha kuwa si lazima smelter iwe na capacity ya tani 150,000 kama TMAA walivyoshauri. Kwahiyo Tanzania tunaweza kuinstall smelter yenye capacity ya tani 50,000 kwa mwaka. Na mfano mzuri ni kama Outokumpu Flash Smelter nchini Botswana yenye capacity ya 26,000 tons per year, Reverberatory copper smelter nchini S. Afrika yenye capacity ya 50,000 tons/year.
  • Kuhusiana na gharama za ku-extract dhahabu naomba nijitahidi kukuelewesha kuwa:
  1. Ukismelt copper concentrate haupati 100% copper isipokuwa utapata kati ya 40 to 60% copper the rest is Fe, S plus gold, silver etc. Hii tunaita "Matte".
  2. Utahitaji unit nyingine "Converter unit" ili uweze kuconvert Matte copper from 40/60% to 95-97% copper (Blister). Gold na silver zitakuwa bado ziko contained kwenye copper (Product :Copper Anode). Hii ni issue inahusu thermodynamics and solubility of elements, nisingependa kwenda kwa undani zaidi.
  3. Utakuwa na unit nyingine "Electrorefining unit" ili uweze kupata 99.7% copper pamoja na pure gold, silver (which are byproduct credits) etc
  4. Finally, lazima utakuwa units zingine kama:
  • Gas cleaning unit -
  • Sulphuric acid production plant
  • Industrial Oxygen plant etc
Kama research ikifanyika based on a smelter with capacity of say 50,000 tons per year, one can easily establish the:
  • Capitals costs,
  • Operating costs and
  • Interests and capital recovery
Kuhusiana na report ya TMAA nimeisoma, tatizo haina justifications:
  • No evidence to support the minimum smelter capacity of 150,000 tons per year!!!
  • No evidence to support the high energy demand ==> No Mass and industrial heat balance to support the high energy consumption
  • what about other plenty sources of energy we have (coal for example)
Sorry, this is more professional and you should not be asking for it.

Tulishaijadili hii report almost a year ago. Tatizo ni report ya kizembe sana na sijui kwanini ilikubaliwa. Nadhani itakuwa vizuri wataalam wangeonyesha economic viability ya small size smelter. Mpaka sasa hivi ISASMELT ndiyo energy efficient process na hakuna chini ya 200,000 tons per year.

  • All in all, Bulyanhulu imebakiza miaka mingapi? na kuna mgodi mwingine wowote unaoweza kutumia smelter itakayojengwa?
  • Kama hakuna, what is the justification? Kwa sababu naona tumeshachelewa!
  • Tungeanza 2001, ni halali kabisa kuwa na smelter yetu hapa nchini, lakini siyo sasa. Tumeshachelewa na tusifanye hasira. Nadhani hii ni move ya kupata "cut" ya maana kabla Acacia hawajaanza. That's all.
2001 scenario:

  • 2001, mgodi wa Bulyanhulu ulikuwa na lifespan ya 25yrs. Kwa tani 40,000 kwa mwaka, wangezalisha copper concentrate 1m tonnes in its lifetime.
  • Kwenye tani milioni moja za concentrate kuna tani 200 mpaka 250 za dhahab. Tani moja ya dhahabu ni usd 40.27mil. kwa hiyo kuna 800mil - 1bn USD in a lifetime of 25 yrs.
  • Kwenye tani milioni moja kuna tani 150,000 mpaka 160,000 za copper. Tani moja ya copper ni 5,600 USD, kwa hiyo in its lifetime mgodi ungetengeneza USD 840m mpaka USD 1bn.
  • Kwenye tani milioni moja za mchanga huo kuna tani 180 za silver. Tani moja ya silver ni 1m USD total itakuwa 180m USD.
  • Jumla kutokana na madini hayo matatu tu (ukiacha by products zingine kama sulphuric acid na Industrial oxygen) utapata 2bn USD.
  • Gharama ya kusafirisha mchanga ni 300$/wet tonne. Kwa hiyo kwenye lifespan watatumia almost 300million dollars kwenye kusafirisha mchanga huo mpaka Japan.
  • Gharama ya smelting ni 3% ya madini yote yatayopatikana. Kwa hiyo in a lifetime ni 3% ya 2bn$ which is 60 million. Ukijumlisha na mchanga wa Buzwagi (tuwape one fifth of bulyanhulu) utapata kama 100 million$ kama gharama za usafiri na uchenjuaji.
  • Total kwa migodi hiyo miwili, wametumia almost 500m kwenye usafiri na uchenjuaji. Which is the same kama wangejenga smelter ya 500m$ hapa Tanzania. But I guess it's too late now!
 
Mbona watu wagumu kuelewa. Tofautisha copper na copper concentrate. Mbona hizo hata bongo zipo na nishawahi kuelezea hapa. Kuna kampuni maeneo ya posta/mmnazi mmoja inaitwa danformation inafanya hiyo kazi. Hizo nchi ore yake ni copper oxide na ya Tanzania nyingi ni copper zenye sulfur.
Hili ndio tatizo la watu kutaka kulazimisha tu ionekane kwamba mtu fulani yuko sahihi katika maamuzi yake! Waache waokoteze taarifa wanazopenda kuziona!
 
Na karibu wanafunga hiyo migodi maana wameshamaliza dhahabu yote iliyokuwamo. Tangia waje wamekuwa wakichimba usiku na mchana, hakuna cha wikiendi wala siku kuu. Huko Nzega wameshaondoka na kutuachia mashimo na umasikini zaidi. Kisa ni hiyo mikataba waliyofunga na wapiga deal wa nchi yetu enzi zile za chukua chako mapema. Jee ni kweli hatuwezi fanya cho chote? Yaani hiyo mahakama ya kimataifa ya biashara ndicho inachotaka?

Umegusia kitu muhimu hapo, MIKATABA. Na sio mikataba tu bali na SHERIA pia hapo ndipo uliko mzizi wa tatizo ambalo kwa sababu wanazozijua watawala toka awamu ya tatu mpaka hii ya tano wanakopata kigugumizi.

Kwenda kukamata makontena, sijui kuzuru machimbo, ziara za kushtukiza huku na kule, matamko, vitisho huko kote ni kuuzunguka mbuyu. Hivi unajua mpaka sasa kuna Ripoti ngapi za Tume (za ki-Bunge na ki-Serikali) kuhusu Madini na Nishati? Kwa nini zimekuwa siri? Miaka michache sasa tumepiga kelele mno kuhusu gesi kule Mtwara, mpaka wana Mtwara (Big Show upo?) wakasema "gesi haitoki..." lakini mpaka sasa kimya. Wanataka kwenda njia ile ile ya madini halafu kwa usanii baada ya miaka kadhaa wajifanye eti wameshtuka.....NO WAY. Kwa nini Serikali imekuwa korofi mikataba isifikishwe Bungeni kupitiwa kabla ya kusainiwa? Na hata kama ilisainiwa (kwa dharura au vyoyote) pia ifike Bungeni kwa vetting/approval. Je hawatambui au ndio zile zile sanaa za maigizo na ngonjera?

Sambamba na uchunguzi wa samples zilizozuiwa sasa hivi pia tunataka Ripoti za Madini toka 1996 ziwekwe kwenye public domain. Sheria zetu ni dhaifu (kwa sababu ya wabunge wa NDIYOOO), ni budi sasa tuzirejee lakini lazima tuwe smart kwenye hilo ili tusiingizwe kwenye migogoro ya ki-Mkataba na wawekezaji tukaanza kuilipa IPTL nyingine. Tukikosea basi Escrow na IPTL kadhaa za viwango vya kutisha zitazuka. Tukienda kichwa-kichwa tutapigwa kuliko EPA na kashfa zilizowahi kutupata.
 
Nikili kuwa ni maswali yanayohitaji information nyingi sana na mengine mpaka ufanye research kuweza kuyajibu. Nitajibu baadhi ya maswali ambayo nina uelewa nayo kwa sasa na mengine naweza kuyajibu kadri muda utakavyoruhusu.

  • Economic viability - ukiangalia graph niliyotoa kwenye post no.1, kuna smelters nyingi tu worldwide ambazo zina capacity kati ya 2,000 na 100,000 tons kwa mwaka. Nataraji hizi zote (most of them) zinaoperate economically). Migodi yetu kwa sasa inazalisha 50,000 to 60,000 tons kwa mwaka na huenda ndani ya miaka miwili ikashuka mpaka 40,000 tons kwa mwaka. Kushuka kwa kiwango kutatokana na kufungwa kwa shughuli za uchimbaji na uzalishaji wa concentrate katika mgodi wa Buzwagi, kama inavyotarajiwa. In the same line, I am very optimistic that using the concentrate we have (40,000 to 60,000 per year), a smelter with this capacity can be installed and operate economically. Hapa watalaam we economics wanaweza kutusaidia ku determine break even time.
  • Facilities - here we are not enventing something new. The technology is available, its just your capital to invest. Na naamini watalaam (Metallurgists not geologists) pia wapo.
  • Time frame - I cannot tell for the moment
  • to be continued !!!!!!!!!!!!!!!!!

Narudia tena kuwa mimi sina shaka kabisa na uelewa wako kwenye madini na pia ni jambo jema sana kama tungekuwa na smelter yetu hapa nchini. Pia ingekuwa bora zaidi ungekuja na supporting details za kuonyesha kuwa economically is vaible kuwa na smelter yetu inayotosha kiwango cha uzalishaji wa migodi yetu kwa mfano inahitaji vitu hivi na hivi.

Kuwashutumu TMAA kwa utafiti wao wa kusema kuwa ili smelter kuwa commercially viable kwa nchini kwetu "Tanzania" lazima iwe na capacity ya 150,000 tons per year bila keleta utafiti wako uliotimia si sawa. Tukumbuka unapofanya visiability study inahusu eneo husika na si kufananisha na Sichuan or Inyati kama graph inavyoonyesha. Ili kufanya idea kuwa business enterprise unatakiwa kuangalia kwa umakini mazingira ya ndani na nje ya eneo husika.

Hili jambo linahitaji umakini mkubwa sababu si project ndogo sababu pia tayari tuna project nyingi tu hapa nchini zimebadilika na kuwa "white elephant" sababu ya kukosa in depth investigation of the idea and whether its viable to be converted into a profitable business enterprise.

Inafika wakati lazima tutambue tofauti ya wants na needs, na hivyo kwenye approach zetu lazima tuwe impartial tusifanye mambo kwa mizuka na kukurupuka. Naheshimu sana munkali wa Raisi wetu kuwa na Tanzania yenye smelter yake lakini pia tuwe wawazi ya kuwa 'do we real need it now' tena kwa gharama za serikali? Mimi naamini kama tungetengeneza mazingira rafiki nchini nahakika Acacia Mining au wadau wao wangeweza kununua na kujenga smelter yao hapa hapa nchini bila hata sisi kutumia gharama zetu.

Lakini haya mazingira rafiki imekuwa wimbo kwa miaka 56 sasa na hata vile vizuri vichache tulivyoachiwa na mkoloni tumeshaviharibu. "We wants what we do not need" na mfano rahisi tazama scholars wetu wengi sasa wamekimbilia siasa na kuacha vyuo vyetu na elimu inaanguka mbadala na kuviendeleza kwa kutumia weledi wao na kuvifanya kuwa research institutions. Hiyo yote ni sababu wamesoma wasichokiitaji na sasa wanahitaji wasicho kisomea (siasa) ndiyo matokeo yake inchi iko shaghala baghala.
 
Back
Top Bottom