Zambia na Congo Kinshasa ni nchi mbili zenye shaba na cobalt kwa wingi. Zambia hakuna mgodi wa dhahabu migodi yote ni shaba inayoambatana na madini mengine kama cobalt na zinc....
sisi migodi yetu miwili yaani Buzwagi na Bulyanhulu ina tengeneza makinikia ya shaba,silver, na dhahabu
Hivi nani asiyetaka kupunguza gharama ya uzalishaji mali ili kutengeneza faida kubwa? na katika hili ni wawekezaji ni wazuri ,,,kama kungekuwa kuna uwezo wa kupunguza gharama kwa kujenga mitambo hapa nchini wangeshafanya siku nyingi sana