safi sana Mkuu.. Binafsi sibishani ila najifunza mambo mazuri na yenye kusisimua.Hizo ni zenye oxide ore na sio sulfide ore
safi sana Mkuu.. Binafsi sibishani ila najifunza mambo mazuri na yenye kusisimua.Hizo ni zenye oxide ore na sio sulfide ore
Mkuu upo sahihi, hapo ndio linapokuja jambo la mtaji mkubwa ili kujenga kiwanda. Ukiichoma sulfur unapata gesi ya sulfurdioxide gas ambayo ni hatari balaa. Pyrometallurgy ni metallurgy kutumia moto. Kuhusu met nipo deep zaidi na sipendi tu kujiexpose.Kuwa na sulfur is not a problem. Sijui kama una idea yoyote ya pyrometallurgy. A sulfide concentrate can be easily converted to oxide form by Roasting.
shida wabongo sisi ni wajuaji wa kila kitu.mkuu ka wewe hujui mambo ya miamba, ukae kimya tu.
Ni kweli, tena wameanza kutengeneza mazingira ya kuwa wanapoteza dollar 1m kwa siku.shida wabongo sisi ni wajuaji wa kila kitu.
Ila msikate tamaa, tunaomba mtusaidie kuelewa haya mambo, maana nina uhakika 75% tunaenda kuwalipa ACACIA fidia kutokana na ujuaji wetu.
Mkuu, sio kujiexpose, unatusaidia tu. Huu uzi mpaka sasa utamvuta JPM kuja kuusoma na sote kwa pamoja tutajua namna ya kusolve issue hii.Mkuu upo sahihi, hapo ndio linapokuja jambo la mtaji mkubwa ili kujenga kiwanda. Ukiichoma sulfur unapata gesi ya sulfurdioxide gas ambayo ni hatari balaa. Pyrometallurgy ni metallurgy kutumia moto. Kuhusu met nipo deep zaidi na sipendi tu kujiexpose.
Tufafanulie zaidi mkuu hizo ni cooper smelters zina uwez huo unaotakiwa kuchenjua dhahabu,fedha na shaba au shaba peke yake. Maana naona kwenye hiyo orodha hakuna hizo za Japan ulizozitzaja.
Hizo ni zenye oxide ore na sio sulfide ore
Wallah tena yanakuja yale yale ya ESCROW..Ni kweli, tena wameanza kutengeneza mazingira ya kuwa wanapoteza dollar 1m kwa siku.
Mwangalieni mwingine huyu!! Sasa hao Zambia wanazalisha dhahabu ambayo ipo embedded na shaba?!zambia wanzalisha makinia 15,000 wanachengua wenyewe tena malori ya hans pope ndio yanayoisomba kuileta dar sisi tunazalisha 25,000 tena tuko bandarini tunasema hatuwezi, hapa lazima tuna upungufu fulani vichwani mwetu.
Hii nchi inahitaji maombi.Mwangalieni mwingine huyu!! Sasa hao Zambia wanazalisha dhahabu ambayo ipo embedded na shaba?!
Kwani hata Tanzania si kuna migodi mingi tu dhahabu ambayo kwavile dhahabu yake haipo embedded na madini mengine; huwa wanasafisha hapa hapa!!!
Mambo mengine kama hamjui muwe mnakaa kimya kuliko kuongea viroja!!!
tizo ndiyo hilo ............. watu wanachanganya!!Mimi ile ripoti ya TMAA huwa naipinga, haina weledi.
Lakini pia ikubukwe ule mchanga wa kwenye makontena sio kwa ajili ya ku-extract copper pekee.
mkuu nimesoma zambia nimefanyakazi ndola mine kitwe mine na nimeoa zambia.
Aisee hizo chemical equation zilinifanya nikimbie science nikaenda kusoma B'ness.. Please wewe taja tu Sulpher, Zinc, Copper, Sodium.. Usiwe hizo equation plxSmelter
Nimesema one of the first stage of pyrometallurgical operation is ROASTING used to convert sulfide minerals into oxide
eg. CuFeS2 + O2 ==> CuO/Cu2O + Fe2O3 + SO2 + (energy as its exothermic rxn): Do the balancing if you can.
Kwa kufahamisha tena, ili kutunza mazingira kutokana na hiyo sumu, lazima hapo hapo kujengwe kiwanda cha kuzalisha sulfuric acid, hapo hapo ilikuzuia vumbi lazima kijengwe kiwanda cha kuzalisha gypsum. Inahitajika mtaji mkubwa sanaMkuu, sio kujiexpose, unatusaidia tu. Huu uzi mpaka sasa utamvuta JPM kuja kuusoma na sote kwa pamoja tutajua namna ya kusolve issue hii.
Am very sure sote kwa pamoja ktk uzi huu tunania ya kujenga na kuikoa nchi yetu dhidi ya unyonyaji, so plz wewe funguka tu kwa Maslahi mapana ya nchi yetu.
Huenda baada ya kusoma hapa JPM ataghairi kununua zile ndege mbili za bei mbaya akatununulia kinu kimoja kikajengwa Kakola hapo.
Kabisa!! Kila mmoja angependa tuwe tunachenjua hapa hapa na kwahiyo badala ya pesa kuwekeza kwenye less productive industries; basi wawe wanawekeza huku!!!Huenda baada ya kusoma hapa JPM ataghairi kununua zile ndege mbili za bei mbaya akatununulia kinu kimoja kikajengwa Kakola hapo.
Kweli mkuu, ni kama vile watu wanataka kusema Geita gold hawaiibii serikali kwani hawasafirishi mchanga.Ta
tizo ndiyo hilo ............. watu wanachanganya!!
Nilivyoelewa mimi migodi ipo hapa kwa ajili ya dhahabu. Baada ya kuzalisha hiyo dhahabu mchanga unaobaki huwa unakuwa na dhahabu kidogo na madini mengine kama shaba n.k. Sasa kwa technology iliyopo hawawezi kuextract hayo madini hapa ............ ndipo hapo suala la machanga kupelekwa nje linapokuja.
Lakini ukisikiliza sana watu humu kunaupotoshaji mkubwa!!
Mkuu Ndola Mine wanakiwanda cha kutengeneza sulfuric acid na inawaingizia pesa nyingi kuliko hata hiyo dhahabu tena wana export huko huko china nimefanyakazi pale miaka nane kabla ya kustaafu.Mwangalieni mwingine huyu!! Sasa hao Zambia wanazalisha dhahabu ambayo ipo embedded na shaba?!
Kwani hata Tanzania si kuna migodi mingi tu dhahabu ambayo kwavile dhahabu yake haipo embedded na madini mengine; huwa wanasafisha hapa hapa!!!
Mambo mengine kama hamjui muwe mnakaa kimya kuliko kuongea viroja!!!
uko sahihi wewe mkuu. tujenge smelters zenye capacity ya uzalishaji wa madini yetu. smelter hujengwa kulikana na mahitaji yako, wanaosema hatuwezi kujenga wanatumiwa na wawekezaji ambao wana mapesa mengi ili kupindisha ukweli. Naungana na Rais JPM; Ni afadhali madini hayo yakae ardhini kuliko kuendelea kuibiwa. TumechokaGraph hapo chini inaonyesha copper smelters mbali mbali katika nchi tofauti duniani zenye uwezo wa kuchenjua kuanzia 2,000 tons kwa mwaka mpaka zenye uwezo wa 100,000 tons kwa mwaka ambazo zinaoperate mpaka sasa.
Kwahiyo hizi data zinapingana kabisa na conclusion waliyotoa TMAA kuwa smelter lazima iwe na capacity ya 150,000 tons per year to be economically viable. Hii inaonyesha hawakuresearch vya kutosha kuona kama kuna smelters zenye capacity ndogo huenda ilikuwa influenced na migodi yenyewe pamoja na smelters walizotembelea kule japani ( Toyo smelter yenye uwezo wa 300,000 tons per year pamoja na Saganoseki yenye uwezo wa 470,000 tons per year).
Nashauri team ya watalaam wa uchakataji na uchenjuaji makinikia iundwe kuangalia uwezekano wa ku install smelter yenye uwezo kati ya 40, 000 na 60,000 tons per year. Hii ni kutokana na kuwa migodi yetu inazalisha kati ya 50,000 na 60,000 tons per year na huenda production ikashuka zaidi.
Mkuu upo sahihi, hapo ndio linapokuja jambo la mtaji mkubwa ili kujenga kiwanda. Ukiichoma sulfur unapata gesi ya sulfurdioxide gas ambayo ni hatari balaa. Pyrometallurgy ni metallurgy kutumia moto. Kuhusu met nipo deep zaidi na sipendi tu kujiexpose.