Coordinator wa SCOAN Tanzania

Coordinator wa SCOAN Tanzania

Unaangaika sana kwani wewe huna mchungaji wako wa kukuombea uponyaji hadi huyu TB, kumbuka kuna manabii wengi hapa tanzania sema tu umewadharau. Mungu sio uganga wa jadi anatumia yeyote hata mtoto. mbona hao wanageria hawaji bongo kuombewa. funguka

Siku za mwisho watu watajitenga na Imani. Amelaaniwa mtu amtumainiaye mwa
 
Logic yako dhaifu sana na inaonesha kuwa hata huo ukatolic unaousema hauujui kwani ukiwa mkatolic husomi biblia? Kutokusoma biblia ni matatizo ya mtu binafsi. Misale imeextract vifungu vya kwenye biblia kwa lengo la somo husika kwa misa.

Mi ni mkatolic sina misale nyumbani natumia biblia tu. Pia kuna kitu unatakiwa kuelewa si kila mtu ana uwezo wa kusoma biblia na kuielewa na hata wewe pia umeonesha kuwa hujui chochote ndani ya biblia maana umejaribu kunukuu vifungu ambavyo nikikwambia uvifafanue huwezi kufafanua.

NB: Katika watu wenye uwezo mkubwa wa kutafsiri biblia Mapadre pia wana uwezo mkubwa sana mimi huwa nasikiliza mahubiri ya wachungaji mbalimbali wengi tu dunia nzima na hata huyo TB huwa naangalia na kusikiliza nataka nikwambie ni wachache sana wenye uwezo wa kutafsiri biblia kuliko mapadre


Mkuu, hamia jukwaa la DINI na Imani
 
*-Siku za mwisho watu watajitenga na imani.
*- Amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu kuwa kinga yake na moyoni mwake amemwacha Mungu.
*- ujapokuwa na imani ndogo kama punje ya haradanil utaweza kuhamisha milima, kuponya magonjwa n.k
*- Siku za mwisho kutatokea manabii wa Uongo watakaotenda Miujiza mikubwa wakitumia jina la Yesu 2korintho 11:12-15

SWALI LANGU: Wahubiri wa nje ndo wana Mungu na imani kuliko unakoabudu.Kwa maana hiyo mahali unapo amini na kuabudu huna imani napo?
Mungu wa Mbinguni yupo mahali pote na anasikiliza maombi yako ukiomba kwa uaminifu.Yeye hachelewi wala hawahi.


Mkuu tumekusikia, Ila hamimshia mada hii jukwaa la Dini na Imani
 
Mkuu,kumbe hii thread bado ipo?
Achana na hao wasioamini,kwanza waamini wasiamini hakuna wanachotusaidia wala kupunguza imani yetu!

..kwanza nisaidie jins ya kupata access jukwaa la dini

Yesu hakuja kwa waliohaki bali kwa waliopotea na pia alikuja kutafuta kile kilichopotea na pia tambua ata wewe hapo mwanzo ulikuwa mdhambi so acha kuwashutumu bali warekebishe kwa lile sahihi unalolijua!!
 
Siku za hizi karibuni tumeshuhudia watanzania wengi wakijitahidi kwenda kwa Mchungaji T.B. Joshua, wa SCOAN Nigeria kwa maombezi. Hiki kinachotokea kwa sasa ni kielelezo tosha kwamba watu wengi wana mahangaiko makubwa sana na wangependa kumrudia Mungu wao kwa Uponyaji.

Naomba nizungumzie tabia za kukera za Coordinator wa SCOAN hapa Tanzania, Martha. Huyu dada ni kiburi sana, anamajidai, hajali watu, anajibu jeuri, na ku treat watu wazima kama vile wanafunzi wa sekondari. Huyu dada amejisahau, anaona kama vile anafanya kazi White House, amekosa kabisa maadili ya watu wanaosaidia watu wa Mungu. anajipangia tu muda wa watu na siku za kwenda ofisini kwake bila kujali kwamba hao watu wanatoka mikoani, au dar! Hata Dar yenewewe ina foleni, unapowaambia watu wafike Benjamini Mkapa saa moja kamili anafikiria nini? Na hata ukimwambia kwamba unatoka mbali hajali, atakupa jibu la karaha.

Last week wisemen from SCOAN- Nigeria walikuja Diamond Jubilee. Huyo dada aliadhirika sana kwa kiburi chake, kwa maana matendo yake na tabia zake ni tofauti sana na watu wa SCOAN kutoka Nigeria. hakuwapaa watz taarifa za kutosha madhumuni ya safari yao. Hili lilileta usumbufu mkubwa sana. Waliokuwepo Diamon Jubilee ni mashahidi zangu.

nasikia amesusa kuuza maji baada ya kuona kwamba watu wamemsemea,
Typical of Tanzanians behavior, sasa kazi ni yako unasusa nini?
Unamsusia nani?
Kwa nini uliikubali? Kama hutaki si uache?

Kwa kweli huyo dada, ni janga la taifa.
siku ukifika SCOAN mwambie wise man CHRISTOPHER au TB JOSHUA akuombee maana una pepo wa ulalamishi ndio linalokutesa mpaka unalalamika hapa mtandaoni,si kanuni ya mkristo mtu akikukwazwa mtafute myamalize kabla ya jua alijazama sasa wewe ndugu umekosewa na huyo martha unakuja lalamika hapa jf!
by the way mimi siamini kama nilazima uende uko kwa tb joshua ninacho kuponya ni imani yako si binadamu mwenzako!kitukingine kinacho nishangaza hivi yesu wakati yupo hapa duniani alikuwa akiwaombea watu wanaanguka ana kugakagala kama ninivyoonaga SCOAN
SHTUKAAA NDUGU!
 
Je wewe umeona video ya jinsi watu walivyokuwa wakionekana wakati wakiombewa na Yesu???
siku ukifika SCOAN mwambie wise man CHRISTOPHER au TB JOSHUA akuombee maana una pepo wa ulalamishi ndio linalokutesa mpaka unalalamika hapa mtandaoni,si kanuni ya mkristo mtu akikukwazwa mtafute myamalize kabla ya jua alijazama sasa wewe ndugu umekosewa na huyo martha unakuja lalamika hapa jf!
by the way mimi siamini kama nilazima uende uko kwa tb joshua ninacho kuponya ni imani yako si binadamu mwenzako!kitukingine kinacho nishangaza hivi yesu wakati yupo hapa duniani alikuwa akiwaombea watu wanaanguka ana kugakagala kama ninivyoonaga SCOAN
SHTUKAAA NDUGU!
 
Simuamini tb joshua na ninashangaa watu wanaacha wapakwa mafuta hapa wanakimbilia jina alafu tangu lini uponyaji ukauzwa eti anauza maji pia izo stika zake zinamsifia tu yeye na sio Mungu nakumbuka kuna kipindi alikuwa anakusanya wagonjwa wa kuombea hapa tz sharti no.1 ni kwamba uwe na cheti kutoka hospitali ya serikali kudhibitisha ugonjwa wako bila hivyo uombewi ivi kwa ikristo wa kawaida tu kunakujiorodhesha kwenda kupokea uponyaji kwa details ni Mungu gani huyo anehitaji details za ugonjwa na mgonjwa? kuna mambo mengi sana huyu baba anashangaza kama utafutilia kwa makini tv yake pia iweje ukimsaidi mtu umbandikie kiasi ha fedha kwenye baasha wakati neno linasema utoapo ata mkono wako wa kushoto usijue kilichotolewa na mkono wa kulia!!

Tutajie na Mtumishi. mmoja tu hapa tz anayetoa msaada. kwa wahitaji japo. kwa kutaja jina.
 
nadhani tuishie hapa!. Nenda kwenye dini yako watakuambia njia nzuri ya kumpata mungu na huduma zake kwa taratibu na masharti unayopenda. Ninakuelewa. Na wala hulazimishwi kufuata mafundisho ya imani yoyote. Kama unamjuma mungu mbadala wa wa kizazi kipya unaweza kuabudu na kufanya vile mnavyokubaliana naye. Hulazimishwi.mimi nimeshasema ya kwangu. Unaweza kusema lolot lile utakalo. All in all this is the least of what i expected from the beginning. Kwa hiyo, sumbawanga unaweza kuendelea na malumbano yako ya imani-utamaduni sijui, kwa vyoyote vile upendavyo. Ila mimi sasa sitakuwepo tena, nina business zingine. Usku mwema. Ila fahamu kwamba mkono wa mungu hauzuiliwi wala kuvutwa na customer care. Ila kama hauhitaji huduma za scoan, ama unaona kwamba martha anapunguza thamani na nguvu ya mungu kupitia huduma hiyo, unaweza kwenda kupitia mlango mwingine ambako watakuheshimu na kwa heshima hiyo ya karne hii mungu akujibu mahitaji yako.utakapokuwaa tayari kufuata misingi ya kiroho kwa mambo ya kirohto, utaenenda kiroho. Lakini kama unaona ni afadhali ufe na shida zako kwa kuwa scoan hawakunyenyekei, huo ni uamuzi wako. Call me any name you want! Katika masuala ya rohoni wala usidhani utaniumiza zaid ya kujisumbua na kujichelewesha wewe mwenyewe!.gud night na kwa heri!

hiki ulichoandika hapa kinaakisi kilichomo ndani yako nacho ni "kiburi cha uzima" ni ombi langu kuwa hekima ya mungu itusaidie katika kujibu kila hoja au jambo lolote kuliko kuandika bila kujali hicho ulichoandika kinasomwa na watu wangapi. Maana yake nn kumwabia mtu nanukuu ''afadhali ufe na shida zako" nn mantiki ya ndani ya sentensi hii, jamani mungu atusaidie ni hayo wakuu wangu mi nlikuwa napita tu.
 
Alikataa kuuza maji gani hayo? Kwani anafanya biashara gani?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hiki ulichoandika hapa kinaakisi kilichomo ndani yako nacho ni "kiburi cha uzima" ni ombi langu kuwa hekima ya mungu itusaidie katika kujibu kila hoja au jambo lolote kuliko kuandika bila kujali hicho ulichoandika kinasomwa na watu wangapi. Maana yake nn kumwabia mtu nanukuu ''afadhali ufe na shida zako" nn mantiki ya ndani ya sentensi hii, jamani mungu atusaidie ni hayo wakuu wangu mi nlikuwa napita tu.


Maskini pole sana na Mungu akusaidie akuzidishie ufahamu. Ninajua hata kiburi cha uzima hukijui ila umekariri. Ombi langu unatakiwa usome kwanza kwa kina na ufuatilie mjadala mzima badala ua kukurupuka kujibu bila kuelewa halafu unaonekana mropokaji mdandiaji asiye na ufahamu wakutosha.

Chukua muda usome na uelewe na ikiwezekana ufuatilie mazungumzo tangu mwanzo ndipo utanielewa. Kwa heri hakimu.
 
Maskini pole sana na Mungu akusaidie akuzidishie ufahamu. Ninajua hata kiburi cha uzima hukijui ila umekariri. Ombi langu unatakiwa usome kwanza kwa kina na ufuatilie mjadala mzima badala ua kukurupuka kujibu bila kuelewa halafu unaonekana mropokaji mdandiaji asiye na ufahamu wakutosha.

Chukua muda usome na uelewe na ikiwezekana ufuatilie mazungumzo tangu mwanzo ndipo utanielewa. Kwa heri hakimu.
Unaheri wenye mwenye ufaham wa juu.
Asante kwa elimu uliyonipatia
 
By Sumba-Wanga
Umeongea ukweli wako na ndio mwisho wa akili zako kufikiria (etc).No wonder you are a great thinker!This explains why Tourist Hotels in Tanzania are employing managers from Kenya, while we have thousand of the so called "managers".Wanaepuka kuchujua watu wenye mentality kama yako.Shame on us Tanzanians

You are talking nonsense coz you dont know God and you think you can use your foolishness to define Spiritual things. Poor guy, do you think God is gonna rely on your stupid politics? Do you think He needs your votes to decide on peoples destinies? You need to know God first before thinking of your spiritual levels! If you have ever heard anything about God, you dont have to be reminded that in heavenly realms there is neither racism nor professionalism!. Now keep on displaying your ignorance here! shame on you alone!

Tabby and Sumba-Wanga, Peace be upon you! I would like to advice you to kiss and make up your differences for the Bible tells us Christians to love our neighbours and enemies as we love ourselves! And why the said annointing water has become a business nowdays rather than being provided freely?

Money oriented Pastors say Jesus was annointed and so Christians also have to be annointed by buying annointing waters or oils! But Jesus compensated nothing to be annointed and why should we pay for the annointing waters or oils? There are annoiting stickers also launched sometimes ago by TB Joshua! My neighbours,from what you squabble,others are benefiting!
 
Mimi nadhani mtu kusafiri kutoka Tanzania mpaka Nigeria inaonyesha UKOSEFU WA IMANI na sio IMANI DHABITI! Sasa kwanini hayo maji mnachoamini ni ya upako yanauzwa au yanatolewa kwa masharti ya kununua kitu kingine? Kwani Yesu alikuwa anawachaji fedha watu aliowaponya?

We unadhani hayo mafuta mpaka yanakufikia wewe yamesafirishwa na upepo?
 
Back
Top Bottom