Haujafa, haujaumbika! wewe unaye sema vibaya kuhusu watu kutafuta huduma ya uponyaji, haujafikwa na jambo. Wako watu wamezunguka sana bila mafanikio au wanapata mafanikio ya muda mfupi na mambo yanarudi kuwa mabaya zaidi.
Kwa mtu wa Imani, sikulazimishi, ila chukua hili leo litakusaidia NGUVU ZA MUNGU ZINAZOFANYA KAZI KWA WATU (WATUMISHI/MAPADRE/WATAWA......) ZIKO KWA MADARAJA TOFAUTI KWA KUTEGEMEANA NA MUHUSIKA ALIVYOSIMAMA NA MUNGU NA KUTIMIZA MAPENZI YA MUNGU hivyo fahamu mtumishi anaweza akawa anatoa mapepo au kuponya LAKINI kuna ambayo yanamgomea............ na hilohilo lililogoma kwake akienda kwa mtumishi mwingine likatoka kirahisi tuu.
Hili linatokea kwa watumishi wa MUNGU wote ila kwa KIBURI, KUTOPENDANA au KUTOFAHAMU wengi hawaukubali huu kuwa ukweli na pia waamini pia hatujui ndio maana comments nyingi ni za kukejeli wautafutao uso wa MUNGU. Kitendo cha mtu kutoka TZ mpaka Nigeria peke yake ni Imani inayopelekea uponyaji (Au labda Arusha-Dar-Mbeya-Mwanza au popote mtu atakapokwenda Imani ndio msingi na pili nguvu ya yule mtumishi.
Mwisho tujue NGUVU ZA WATUMISHI ZINA LEVEL TOFAUTI TOFAUTI, kama kwenye mambo mengi kuna nafasi ya 1,2,3...... ndivyo ilivyo pia kwa watumishi. TB Joshua ni level nyingine, mfuatilie.