Coordinator wa SCOAN Tanzania

Coordinator wa SCOAN Tanzania

Bora yeye hajawahamasisha waumini wake kwenda kuchoma nyumba za ibada za dini nyingine, kumwagia watu tundikali, kuua watu wasio kuwa na hatia kama ndugu zako wa Boko Haram.

Kama anafanya utapeli kwa waumini wake na wao wanaridhika, hawajakulalamikia, why is this your business?
How does it concerns you?

Tumia muda wako kwenda kutetea Sheikh Ponda

Hahahahahaaaaaaa! Kweli mkuu
 
Final, July 4th. 2013 tuliondoka Dar Es Salaam na Ethiopian Airways to Lagos.
Tumekwenda kwa TB Joshua na SCOAN kwa ujumla.
Safari ilikuwa nzuri na tumebalikiwa sana.
Tunaweza kutoa ushuhuda wa safari yetu.
Tulikuwa watu 400 ambao wote hao, safari ilifanikishwa na Dada Martha (God Bless her).

Matatizo madogo madogo yaliyonifanya nianzishe hii thread kwa kiasi kikubwa yamepungua sana, na Marta alifanya kazi kubwa sana.

Ndugu zangu, msiogope vikwazo, nendeni...

Praise the Lord
queeny, Tabby, Mtambuzi, nndondo, XXLIZ, MTK, Suzie, uniq, christine ibrahim
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Sumbawanga, sijakuelewa, kwa hiyo baada ya kwenda na kurudi na matatizo yako kwisha ndio unataka kusema matatizo ya coordination yanayotokana na coordinator yameisha? Nadhani jinsi ya ku faidi baraka ulizokuja nazo nikuendelea kufanya yale ya kimungu, nilifikiri utaniambia tufanye mkutano wa kumuombea Martha lakini sio kumpongeza kwa kutekeleza majukumu yake kwa mateke na mangumi. Nadhani pongezi zitolewe na waombaji wapya kama watatuambia kuwa yale yote yaliyolalamikiwa wakati wa mchakato wenu, wao hawakuyapitia. Kumbuka swala la kwenda scoan halitakiwi kuwa marginalized to shida zako kwisha, Huku nikuangalia haya mambo kidunia zaidi, ninakushuari usiache kumshukuru mungu for his mercy and favor toa zaka, lakini zaidi ya yote ask for your spiritual enhancement na utende mema,
 
CC.. Prophet TB Joshua

CC.. Emmanueli Tv

Najiuliza tu .. Huyo Martha anashughulikia hayo masuala as an individual au ni taasisi??

Hakuna watu wengine ndani ya hyo ofisi ya Martha. .. Wanaotoa huduma? Mleta mada maoni yako ungeyafikisha pia katika ofisi hyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kumbe na wewe ulikwenda? naku PM tafadhali naomba annointing water mpya
 
nimetafuta sana connection ya kwenda scoan nigeria.kwani ofisi za huyu dada zipo wapi au namba yake ya simu msaada.
 
Hapo kwenye bold and Italic.

Praise the Lord
 
nimetafuta sana connection ya kwenda scoan nigeria.kwani ofisi za huyu dada zipo wapi au namba yake ya simu msaada.

Zipo Dar Es salaam, Benjamin Mkapa Building, Maktaba Street.
Kupkea simu ni mgogoro kidogo, nenda ukakutane nao wenyewe.:A S angry:
 
CC.. Prophet TB Joshua

CC.. Emmanueli Tv

Najiuliza tu .. Huyo Martha anashughulikia hayo masuala as an individual au ni taasisi??

Hakuna watu wengine ndani ya hyo ofisi ya Martha. .. Wanaotoa huduma? Mleta mada maoni yako ungeyafikisha pia katika ofisi hyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Asante sana kwa ujumbe.
Ila nakushauri utelemke wa huu uzi toka mwanzo hadi hapa, utapata majibu ya maswali yako
 
Final, July 4th. 2013 tuliondoka Dar Es Salaam na Ethiopian Airways to Lagos.
Tumekwenda kwa TB Joshua na SCOAN kwa ujumla.
Safari ilikuwa nzuri na tumebalikiwa sana.
Tunaweza kutoa ushuhuda wa safari yetu.
Tulikuwa watu 400 ambao wote hao, safari ilifanikishwa na Dada Martha (God Bless her).

Matatizo madogo madogo yaliyonifanya nianzishe hii thread kwa kiasi kikubwa yamepungua sana, na Marta alifanya kazi kubwa sana.

Ndugu zangu, msiogope vikwazo, nendeni...

Praise the Lord
queeny, Tabby, Mtambuzi, nndondo, XXLIZ, MTK, Suzie, uniq, christine ibrahim

Mkuu matatizo yapo pale pale.Wale dada waliopo pale ni kama hawafanyi kazi ya Mungu.Kwa sifa na hali halisi tunayoiona SCOAN kupitia Emanuel TV inatia hasira sana unapokuta watu wa ovyo kama wale wakiwa ndio wawakilishi.

Kuna mtu kanipigia simu baada ya kumuelekeza hiyo ofisi lakini kaondoka akiwa amejibiwa ovyo ovyo huwezi amini kama wale wanafanya kazi ya Mungu.

Nyinyi mliopata hizo fursa mlipaswa kumpa ukweli kisawasawa ili wabadilike hasa wajue namna ya kuzungumza na watu na si lugha za ovyo na body language inayokufukuza!
 
Kwa kweli hili ni janga kubwa sana.

Lakini, sisi watanzania, tunakumbatia vitendo vya mna hii

MUNGU IBARIKI TANZANIA:A S 39:

Mkuu matatizo yapo pale pale.Wale dada waliopo pale ni kama hawafanyi kazi ya Mungu.Kwa sifa na hali halisi tunayoiona SCOAN kupitia Emanuel TV inatia hasira sana unapokuta watu wa ovyo kama wale wakiwa ndio wawakilishi.

Kuna mtu kanipigia simu baada ya kumuelekeza hiyo ofisi lakini kaondoka akiwa amejibiwa ovyo ovyo huwezi amini kama wale wanafanya kazi ya Mungu.

Nyinyi mliopata hizo fursa mlipaswa kumpa ukweli kisawasawa ili wabadilike hasa wajue namna ya kuzungumza na watu na si lugha za ovyo na body language inayokufukuza!
 
Naamini sana Neno la Mungu ila siwaamini makanjanja wa kufanya ishara, tatizo kizazi cha sasa kinahangaika kutafuta Ishara badala ya kuamini neno.

Hivi ni Mungu gani huyo anayetenda Miujiza Nigeria tu? Mbona Nigeria yenyewe haipo Shwari?

Amaa kweli neno la Mungu li hai..NABII HAKUBALIKI KWAO..Je ni Mungu gani huyo unae mwamini asotenda miujizaa?Ila sikushangai sababu hata Yesu aliambiwa anatoa pepo kwa Nguvu za Belzebul..
Na kama huamini miujiza mbona unaamin vitabu vya dini?sababu vyote vinamiujiza..na hata huyo Mungu pia anamiujiza ..SASA MWENZETU MUNGU WAKO NI YUPI?
 
Habari njema ni kwamba mama consolata ngimbwa ameombwa na prophet kumsaidia martha baada ya malamamiko yasioyisha kuendelea kumfikia. December watu walioenda wamefurahia na wamepokea baraka maana wameenda kwa amani, martha rip
 
jamani mnabishana au mnaongea mambo ya Mungu hapa maana naona
kuna ugomvi usijielezea hapa
Hamkumbuki yakuwa hata mwana wa Mungu Yesu
alinyenyekea hadi mauti sasa wewe mdada uliyewekwa hapo
SCOAN kwa huduma ya Mungu mbona wewe umekuwa tofauti na neno la
Mungu lilivyo au matendo ya Yesu yalivyo?
 
Out of topic,nimefika hapo Benjamin mara tatu lkn sijawahi kukuta ofisi zipo wazi,kama waliemuweka Ana kazi sehemu nyingine basi watafute mtu permanent wa kuhudumia watu kuanzia asubuhi mpaka muda wa jioni.....japo sina uwezo wa Kwenda Lagos....
 
Habari njema ni kwamba mama consolata ngimbwa ameombwa na prophet kumsaidia martha baada ya malamamiko yasioyisha kuendelea kumfikia. December watu walioenda wamefurahia na wamepokea baraka maana wameenda kwa amani, martha rip

ngoja niende kesho ofcn
huyu mama niliwahi kwenda nae safari 1
lets see
 
Back
Top Bottom