Coordinator wa SCOAN Tanzania

Coordinator wa SCOAN Tanzania

ebu acheni malumbano wapo wengi wanahitaji hayo maji kama huyo matha mnadai ana majibu mabaya kwa wateja,lakini mmesema wapo macoordinators wengine hapa tz basi tupe namba za hao wengine ili watu wakapate huduma kwa hao wengine kama wapo

Mkuu.nakushauri ufuatilie uzi huu kwa makini. Utapata majibu yote
 
Namba ya coordinator eng mgimbwa ni 0787 305156 kwa wanaotaka kwenda scoan na blandina nyon anapatikana baraka plaza flow ya pili
 
Martha amehama? Alikuwa Benjamin Mkapa karibu na duka la mariedo upande wa Business machines
 
Ukistaajabu ya bunge la katiba utayaona ya scoan.
Kweli shida zinapoteza uwezo wa ku reason.
 
mh hivi hayo maji yana madini gani mpaka watu wayafuate huko? imani usipoijenga kwenye mwamba imara lazima utatapatapa tu
 
Ukistaajabu ya bunge la katiba utayaona ya scoan.
Kweli shida zinapoteza uwezo wa ku reason.

Kaka imani ni kitu kipana zaidi. There is a limit of reasoning, hasa zinaookuja imani za dini.

Kama wewe ni muumini wa dini yoyote utakubaliana na mimi kwamba sio kila kitu una reason.


Waache wanaoshindwa ku reason kwa imani zao za kidini.

Be blessed always
 
mh hivi hayo maji yana madini gani mpaka watu wayafuate huko? imani usipoijenga kwenye mwamba imara lazima utatapatapa tu

Kama imani yako unaona hivyo wache wenye imani mayo waendelee watajenga imani Yao kwenye huo mwamba eventually
 
Kuna jamaa walikusanyana 15 Dalai.ba visa wakapeewa na kuomba tkt bei nzuri Rwandair to Lagos nakwambia hata awakuamini bei za tkt za Martha Darlagosdar

Mkipata uhakika wa kusafiri awa jamaa wanatoa bei nzuri mkiwa group WaPo maktaba square karibu na bank of india
 
kuna jamaa walikusanyana 15 waliomba visa wakapeewa na kuomba tkt bei nzuri Rwandair to Lagos nakwambia hata awakuamini bei za tkt za Martha Darlagosdar

Mkipata uhakika wa kusafiri awa jamaa wanatoa bei nzuri mkiwa group WaPo maktaba square karibu na bank of india

Fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu
 
Namba ya coordinator eng mgimbwa ni 0787 305156 kwa wanaotaka kwenda scoan na blandina nyon anapatikana baraka plaza flow ya pili

Blandina nyoni yupi Yule aliekuwa akijibu ma dk chefuchefu
Hope Mungu ame.mbadilisha
 
NIMEJIBIWA KAMA IFUATAVYO NA SCOAN...... AS IF ANANIFAHAMU KAMA MIMI NI MDADA....!

user-offline.png
SCOAN

Yesterday 14:00

Member Array


Join Date : 22nd March 2014
Posts : 39
Rep Power : 308
Likes Received7
Likes Given23



[h=2]
icon1.png
Mxiiiii[/h]
We mwanamke ni mbeaaa..afu mdomo wako kama unakichungi!!!

Sikupendi kama nini yani...Mxiiiiii

Lione bichwa kuuuuuubwaaaa!!

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app​

Usishangae wako kibiashara zaidi

Na si kwa ajili ya utukufu wa Mungu
 
kwnn huyo mungu wenu mpaka umfuate lagos?ina mana ambao hawana pesa yakwenda huko watafanyaje?
 
Alipigwa stop na prophet zaidi ya mwaka sasa!
Ndo karudishwa! Kuendelea,!
Btw sshv coordinators wapo 5
Siku za hizi karibuni tumeshuhudia watanzania wengi wakijitahidi kwenda kwa Mchungaji T.B. Joshua, wa SCOAN Nigeria kwa maombezi. Hiki kinachotokea kwa sasa ni kielelezo tosha kwamba watu wengi wana mahangaiko makubwa sana na wangependa kumrudia Mungu wao kwa Uponyaji.

Naomba nizungumzie tabia za kukera za Coordinator wa SCOAN hapa Tanzania, Martha. Huyu dada ni kiburi sana, anamajidai, hajali watu, anajibu jeuri, na ku treat watu wazima kama vile wanafunzi wa sekondari. Huyu dada amejisahau, anaona kama vile anafanya kazi White House, amekosa kabisa maadili ya watu wanaosaidia watu wa Mungu. anajipangia tu muda wa watu na siku za kwenda ofisini kwake bila kujali kwamba hao watu wanatoka mikoani, au dar! Hata Dar yenewewe ina foleni, unapowaambia watu wafike Benjamini Mkapa saa moja kamili anafikiria nini? Na hata ukimwambia kwamba unatoka mbali hajali, atakupa jibu la karaha.

Last week wisemen from SCOAN- Nigeria walikuja Diamond Jubilee. Huyo dada aliadhirika sana kwa kiburi chake, kwa maana matendo yake na tabia zake ni tofauti sana na watu wa SCOAN kutoka Nigeria. hakuwapaa watz taarifa za kutosha madhumuni ya safari yao. Hili lilileta usumbufu mkubwa sana. Waliokuwepo Diamon Jubilee ni mashahidi zangu.

nasikia amesusa kuuza maji baada ya kuona kwamba watu wamemsemea,
Typical of Tanzanians behavior, sasa kazi ni yako unasusa nini?
Unamsusia nani?
Kwa nini uliikubali? Kama hutaki si uache?

Kwa kweli huyo dada, ni janga la taifa.

sent using...tecno wereva
 
Back
Top Bottom