Umenifurahisha maana mimi nilitaka kuuliza hivi TB Joshua ni Mungu?Nikuulize: hivi TB Joshua Mungu ni jirani yake ?
Umenifurahisha maana mimi nilitaka kuuliza hivi TB Joshua ni Mungu?Nikuulize: hivi TB Joshua Mungu ni jirani yake ?
Umenifurahisha maana mimi nilitaka kuuliza hivi TB Joshua ni Mungu?
Una maanisha nini?
hakuna mwanadamu aliye jirani na mungu.
pls, leave our prophet! Acha wanaomini waamini,wasioamini mkae kimya!
Umenifurahisha maana mimi nilitaka kuuliza hivi TB Joshua ni Mungu?
.........umejibu vyema !
sasa hicho kinachowashughulisha kusafiri, kununua maji ya uzima, sijui kuponywa, ni nini haswa !?:noidea:
pls, leave our prophet! Acha wanaomini waamini,wasioamini mkae kimya!
.......una ambiwa na Mchungaji uishike redio halafu yeye anatembeza neno ili mtu apone !
sasa redio na kuumwa na maombi wapi na wapi !?????
Naitaka sana hiyo nafasi yake
Siku za mwisho watu watajitenga na Imani. Amelaaniwa mtu amtumainiaye mwa
Dini ni biashara inayo lipa sana nchi za kimaskini.
Kwa taarifa yako mi ni Mkatoliki, kanisa lina wauumini na upako wa kutosha halina haja ya koukoteza waumini vichochoroni kwa kufanya viini macho na ulaghai
..........hata Florah naye ni Prophet pia !
Mat 24: 3- 5, 10- 11 ( NIV) . . . " Tell us, " they said, " when will this happen , and what will be the sign of your coming and of the end of the age? " Jesus answered, " Watch out that no one deceives you, for many will come in my name , . . At that time many will turn away from the faith. . . and many false prophets will appear and deceive many people. "
Bora yeye hajawahamasisha waumini wake kwenda kuchoma nyumba za ibada za dini nyingine, kumwagia watu tundikali, kuua watu wasio kuwa na hatia kama ndugu zako wa Boko Haram.
Kama anafanya utapeli kwa waumini wake na wao wanaridhika, hawajakulalamikia, why is this your business?
How does it concerns you?
Tumia muda wako kwenda kutetea Sheikh Ponda