cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
ya kawaida na yasiyo ya kawaidaMawasiliano gani? Khaaaah
![]()
Na wewe umezidisha!. Ni 3k. Siyo 3000k. Kubabake, awe na watu Million 3?Contacts 3000k zote za nn? Khaaaah
Hajajibu tuu😂Hatariiii,![]()
Pesa ni pesa tu wewe tuma na ya kutoleaunapokea dirham?
Ushukuriwe mkuu na mimi imenisaidia nilikua naona majina 2 tu baada ya ku backup nimepata 154.Download BACKUP & RESTORE ALL au RECOVER & BACK UP nenda setting ingia Samsung account nenda Samsung cloud back up data ingia contacts select nenda done hatimaye zitarudi number zako halafu ukifanikiwa nitumie shs. 100,000/= 😃😃😃😃😃😃
Usijali mkuu ni muhimu sote kusaidiana pale msaada unapohitajika 😃😃😃😃Ushukuriwe mkuu na mimi imenisaidia nilikua naona majina 2 tu baada ya ku backup nimepata 154.