Conspiracy theories behind Gongo la Mboto bombs

Conspiracy theories behind Gongo la Mboto bombs

Nashindwa kuelewa kama kweli haya mabomu yanalipuka yenyewe or there is a conspiracy behind? Hivi macomrade inawaingia akilini kweli kwamba haya mabomu yanalipuka yenyewe tuu? Then where next, is it Lugalo, Kunduchi or,.....?

Na nini justification yake.

We should ask ourselves twice about this.

Last time yale ya Mbagala tukajulishwa ni accident tuu hivyo hali hiyo haitojirudia tena, yako wapi waliyoahidi sasa? Nani awajibishwe?

Wanajamii, naomba kuwasilisha.:bump:


It is terrible! Horrible instances for the nation. Are you trying to say that there might be someone/people behind these acts? who are they? externals or internals? if they are internals, what are the motives behind? are they for line up? what exactly are you puzzled?
 
Kutokana na mataifa mengi kwa sasa kukumbwa na maandamano ya kuondoa watawala dhalimu na wala rushwa kama Kikwete, nina uhakika wameamua kulipua mabomu ili mawazo ya watanzania yaelekee kwenye hii current issue ya mabomu na kunyamazisha njama zote za maandamano dhidi ya serkali ya kikwete.

Serikali ya CCM hana uchungu watanzania lolote linawezekana na watatoa takwimu za uongo hata kama wamekufa wengi.

RIP wahanga wote wa mtego huu ambao umeenda mrama na kuua watanzania wasio na hatia.

umegusia ukweli sana....hawa jamaa watawala wamejaa woga kung'olewa madarakani, wanao mpango wa kuwaogopesha watanzania wajae woga wasizinduke kudai haki zao, waogope kufanya maandamano kudai haki mfano rushwa iliyotapakaa, utawala uliooza, ufisadi nk.

ila kifo cha waovu kipo njiani....hata utawala wa babeli na warumi uliangamia mbali nao kuwa na maguvu na hila za kupindukia...Elohim ndiye Mungu wetu, wa babu zetu aliyeziangamiza misri -ya -pharaoh, babeli na rumi ...atawasambaratisha tu hawa waovu...
 
inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea mbagala hadi gongo la mboto ni ususi wa chadema,ieleweke tu chama hiki kimeikalia vibaya sana tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa cdm waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa taifa hili la tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa cdm,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.

ubongo wenye usaha tupu
 
Nashindwa kuelewa kama kweli haya mabomu yanalipuka yenyewe or there is a conspiracy behind? Hivi macomrade inawaingia akilini kweli kwamba haya mabomu yanalipuka yenyewe tuu? Then where next, is it Lugalo, Kunduchi or,.....?

Na nini justification yake.

We should ask ourselves twice about this.

Last time yale ya Mbagala tukajulishwa ni accident tuu hivyo hali hiyo haitojirudia tena, yako wapi waliyoahidi sasa? Nani awajibishwe?

Wanajamii, naomba kuwasilisha.:bump:

Kuna mengi yanayowakera watanzania, si raia tu, ila idara zote za serikali. Kuna wenye nafasi wanaoweza kupata nafasi ya kulipizia kisasi cha machungu wanayopata na atakayeadhirika ziadi ni raia wa kawaida asiye jua hili wala lile.

1) Makambi ya jeshi la wananchi Gongolamboto hakuna aliyepoteza maisha sehemu ambayo imeadhirika zaidi na mabomu hayo.
2) Iweje wasiathirike na hali hiyo ni kwa vile wanaujuzi wa kukwepa mabomu kwa vile ndio wajuzi wa kuyatumai?
3) Watoto na wake zao je nao wanaujuzi wa kiaskari kukwepa makombora?
4) Au walijua nini kitatokea na hivyo kuchukua tahadhari kabla?
5) Au ugumu wa maisha umesababisha na watundu fulani jeshini?
6) Kuipindua serikali kutokana na ugumu wa maisha inashindikana kwa vile safu ya uongozi ni ya wenyewe basi bora kutia hasara?
Najiuliza mengi sipati jibu......
 
Nakubaliana na wote wanaotaka tuondoe VYAMA VYA SIASA katika tukio hili.
Hili tukio limetokea ndani la Jeshi letu, JWTZ, Jeshi la watoto wa wakulima na wakwezi.
Kulipulika kwa mabomu hayo KULITEGEMEWA.
Kulitegemewa kwa kuwa muda fulani ukipita, ni lazima yatalipuka yenyewe kama vile bidhaa au dawa zinavyo-"EXPIRE" na kugeuka sumu!
Wataalamu wa Uhandisi Kivita (Field Engineers), ambao ni mahiri sana, walilijua hili na wakatoa ushauri hayo mabomu yaharibiwe kitaalamu, katika muda muafaka, AMBAO UMEISHA PITILIZA, ili yasilete madhara kwa maisha ya watu na uharibifu wa mali. Makadirio ya gharama husika yanaendelea kunywa vumbi katika ofisi ya Mkuu wa Majeshi kwa maelezo kuwa hakuna fedha.
Sasa mabomu yamelipuka yenyewe!
Kwa hakika, ni muhimu umma wa WaTZ uone uwajibikaji ukitendeka. "Heads must roll!:
Mkuu wa Majeshi,the Chief of Defence Forces, Gen. Davis Mwamunyange, pamoja na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi, Chief of Staff, Lt. Gen. Abdulrahman Shimbo MUST GO.
 
There is no conspiracy in what has happened at Gongolamboto, what happened in Mbagala, the sinking of the ship in Lake Victoria, the train that derailed in Dodoma, cholera in Dar, etc. We are going to witness even more calamities. It is part of Tanzania's wider picture.

Tanzania today is a lawlessness place. We have developed a habit of negligence. We don't like to obey laws set by ourselves through members of parliament or follow rules and regulations on how certain things should be done. We do things the way we like. I can bet that what set off those bombs was negligence.

Until such time when Tanzanians learn to do things the way they are supposed to be done we will see more calamities, not in only in the form of bombs. We need to live by following laws, rules and regulations. No one should be above the law. Drive in Dar and you will see how chaotic it is. Motorists do not follow any of the known traffic laws - they overtake on the right and on the left. If you drive upcountry Traffic Police will only stop you and ask for a bribe or ask you to pay a fine if you are an ordinary citizen. Government vehicles, army vehicles, those owned by members of parliament, etc. are exempted!!!! That is the fallacy of our laws in Tanzania. Laws, rules and regulations are for the downtrodden only.

We must blame our leaders. Past and presnet for the problems we are experiencing. Their laissez-faire attitude is costing our country. slowly it is becoming a country most of us would not like to live in. We would like to go and live in other countries where people live in a civilized manner. Let us save this country and make it a nice place to live in.

u didn't touch the subject of big embezzlement,why?for me u've said so many things without saying anything,..all of the bad stuff u said stem from ufisadi wa wakubwa,u seem to blame the common people,they do what the tone at the top does,so next time gusia sana ufisadi papa halafu ndo uje kutulaumu wananchi wa kawaida...
 
Maana rais kasema hilo ndilo ghala kuu la silaha, vifaa na zana nyingi za kijeshi; na vyote vimeteketea. Swali langu ni hili, ukiachilia mabomu yaliyoua raia...........hivyo vifaa na zana na mabilioni vilikuwepo?

Ni mtazamo wangu maana hawa jamaa hawaaminiki tena.
 
Inawezekana jamaa wameuza baadhi ya vifaa vya bei kali Congo, Baghdad, somali,, ... then unaacha mengine yalipuke kuondoa ushahidi.viongozi wameshindwa kujiaminisha kwa wananchi kwa hiyo tutashuku kila kitu....
 
Baada ya maandamano na migomo ya vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini makada wa CCM na wabunge wake waliongea maneno mengi wakihusisha chama fulani cha siasa(ambacho mgombea wake alikuwa mwiba mkali kwa Jk wakati wa uchaguzi wa Urais oktoba 2010) kuwa kinahusika kuchochea migomo vyuoni.

Makada wa chama huwa hawaoni makosa ya uongozi uliopo madarakani bali wao kila baya kwa nchi basi ni Dr fulani.Sasa naomba kujua na hii milipuko iliyotokea Goms aliyechochea ni Dr fulani?.Serikali iliyopo madarakani imeshindwa kazi na huyu Jk kama amechoka na anajiona hawezi tena kuongoza nchi basi ajiuzulu asingoje Mungu amlazimishe.

Nawasilisha
 
Baada ya maandamano na migomo ya vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini makada wa CCM na wabunge wake waliongea maneno mengi wakihusisha chama fulani cha siasa(ambacho mgombea wake alikuwa mwiba mkali kwa Jk wakati wa uchaguzi wa Urais oktoba 2010) kuwa kinahusika kuchochea migomo vyuoni.

Makada wa chama huwa hawaoni makosa ya uongozi uliopo madarakani bali wao kila baya kwa nchi basi ni Dr fulani.Sasa naomba kujua na hii milipuko iliyotokea Goms aliyechochea ni Dr fulani?.Serikali iliyopo madarakani imeshindwa kazi na huyu Jk kama amechoka na anajiona hawezi tena kuongoza nchi basi ajiuzulu asingoje Mungu amlazimishe.

Nawasilisha
 
Tena cha kushangaza ya Gongolamboto hata askari mmoja hakupoteza maisha!
 
Nashindwa kuelewa kama kweli haya mabomu yanalipuka yenyewe or there is a conspiracy behind? Hivi macomrade inawaingia akilini kweli kwamba haya mabomu yanalipuka yenyewe tuu? Then where next, is it Lugalo, Kunduchi or,.....?

Na nini justification yake.

We should ask ourselves twice about this.

Last time yale ya Mbagala tukajulishwa ni accident tuu hivyo hali hiyo haitojirudia tena, yako wapi waliyoahidi sasa? Nani awajibishwe?

Wanajamii, naomba kuwasilisha.:bump:

My instinct tells me that CCM knows that by 2015 they wont have enough influence to Govern the Nation. For that reason they will have to use the Kibaki technique to stay in power however, they don't want to cause casualties! [if there is casualties then it has to be at a very minimal level] Wanajaribu kuwafanya waTanzania wazoee vishindo kama vya Gongola mboto. ULISHAWAHI ONA WAPI DUNIANI MAAFA KAMA YALE YANATOKEA HALAFU MKUU WA NCHI ANATOA TAMKO AKITABASAMU KANA KWAMBA ANATOA HOTUBA YA SEND OFF?!!! WATU WANAKUFA YEYE ACHEKA. MTANIAMBIA KUWA NI TABIA YAKE:- KAMA NI TABIA YAKE MBANO YAKATI ANAZUIYA MAANDAMANO YA TUCTA ULE MWAKA ALIPOSEMA HATA KURA ZAO HAZITAKI ALINUNA?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
i love the quote of light travels faster than sound........... it explains how mwiba appears when he comments.................. (very narrow minded fellow)
 
inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea mbagala hadi gongo la mboto ni ususi wa chadema,ieleweke tu chama hiki kimeikalia vibaya sana tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa cdm waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa taifa hili la tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa cdm,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.

nadhani wewe akili zako zimepungua kidogo! Hao chadema wana akili zao hawawewzi kufanya huu utumbo!
Hili jambo lazima tukubali kabisa limetokana na uzembe wa viongozi wa ccm. Hii hata mtoto mdogo anaweza kulijua kwani halihitaji degree!
 
Mwiba ndio wale wenye akili ya Makamba ambao wao kwa kuwa Rais ni wa dini yake hata kama ni kichaa basi atamsifia kuwa ana akili nyingi.

Tafadhali sana Mwiba jua kwamba huu ndio uongozi mbovu kabisa wa nchi ya TZ uliopata kutokea.Rais wake hajitambui kuwa ni Rais wa nchi.Haiwezekani Rais atangaze maafa huku akitabasamu sijui inabidi wampime akili.

Kwa hali iliyopo sasa Rais wa nchi ameshindwa kazi na inambidi kujiuzulu.CDM hawahusiki na maandamano ya wanavyuo na milipuko ya mabomu
 
Inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea Mbagala hadi Gongo la Mboto ni ususi wa Chadema,ieleweke tu Chama hiki kimeikalia vibaya sana Tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule Arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa Chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa CDM waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa Taifa hili la Tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa CDM,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.

Duh! Ina maana Chadema walifanikiwa kuingia kwenye kambi ya jeshi na kudonotate hayo mabomu? If that is the case then, hatuna jeshi. I am off to Somalia.
 
Redio mbao huku uswazi wanasema mzigo ulihamishwa kisha wakatia moto kiasi kidogo kilichobaki, habari hii imeenea sana mtaani na wanzushia chama fulani kwamba wanajiandaa kwenda msituni!
 
From the north to Tz. why not make some kind of distraction from aping what is happening in the Arab world and bring passion and grief over the nation? How many members of the army died or lost relatives? I consider the whole situation a predetermined plot.
 
Hili CDM wanaliweza,hiki chama sio cha siasa tena ,halafu jambo hilo linawezekana kabisa ,nafikiri kutokana na maandamano wanayoyatarisha kuiondoa CCM madarakani itakuwa ndio wameanza vita vya chini chini ,kuharibu na kubomoa pamoja na kuyaangamiza maghala ya silaha ,ili watakapohakikisha kuwa wamelipua silaha zote waanze kuingia mabarabarani ,na kuiondoa CCM kirahisi,huwezi kujua.

Please tumia akili japo kidogo. Kwa mtu anayependa maendeleo ya Tanzania atakama akiamua kulipua, hawezi lipua Gongolamboto most likely ni Magogoni au Masaki/Oysterbay etc wanakokaa vigogo. So please usifanye mchezo na uhai wa watu. Watu kama wewe ndio wanaosababisha tunakua na viongozi wasiowajibika ata wanapokua wazembe maana wanapata sapoti kama zako. Argh!
 
WanaJF salamu!
Wakati mwingine tunalazimika kusema ama kuchangia pale tunapoona wengine wanamtizamo sawa na maono sawa nasisi! Bila kuzunguka, ukweli uliopo katika ulimengu wa kiroho (kwa waombaji), mabomu ya gongo la mboto na mbagala ni vita tu vya kiroho! Kuna ndugu mmoja amesema aliona kimondo kikishuka kutoka juu then after mabomu ndo yalianza kulipuka! Imekaa hivi:-
1. Sasa hivi tuko katika ulimwengu ambao hauendani kabisa na matakwa ya Mungu zaidi ya kutafuta masilahi ya mtu binafisi na kuwa busy na maisha ya dunia! Wakati mwingine Mungu anatukumbusha lakini hatuwi wepesi kuelewa! Mimi nimejifunza kitu kimoja ktika hili tukio kila wakati tunapaswa kuwa watakatifu na tayari kwa lolote! Ungefikiria kwa undani mama aliyefariki amelala kwake ndani alijua hayo? think this, what could be if you could be you!!!!
2. shetani anataka kuliingiza taifa katika vita (uchochezi) wengine wanajaribu kulinganisha na nchi ya Misri, sivyo kabisa Mungu anataka kuiokoa misri kutoka mikono ya misimao mikali ya kiislamu na kuiingiza katika ulimwengu wa wokovu! Sasa sisi kila kukicha jaziba zinazidi! Shetani anatumia sana wenye madaraka the same time akichochoea na huku chini ili moto uwake na ukiwaka hakuna atakaye uzima! Kama ulikuwa na nyumba na magari au uko university utaenda kupumzikia mpkani mwa Rwanda na TZ na mali zako zote ndo zitakuwa zimekwisha kupotea! Think the Gold is GOD you cant lost it even if you will run away from your home!
3. Dhambi ya zinaa imezidi sana Tanzania na ufisadi! hakuna hofu ya mungu! Mungu anachukizwa sana na watu wanaonyanyasa watu wengine pamoja uasherati zinaa mbaya, ngono mbaya imeuharibu mji wetu!

MAMBOMU
shetani sasa anatumia mianya ya mafisadi na uongozi mbaya kuiharibu nchi! Na nikupe siri hayo yakitokea hata Mungu hatawaacha watu wake wafe! Hakiki mwenyewe, wengine wamekufa vifo vya kusikisha sana lakini wakati huohuo wengine wameangukiwa na mabomu ndani ya nyumba zao na hayakulipuka? (why?? what is the motive behind??) Mungu hawezi kuwaacha watakatifu wake wafe ovyoovyo hata pale anapokuwa amemruhusu shetani kumjaribu Yesu! yeye atatetea na kusimamia!

ANGALIZO
Kwa waombaji naomba sana tuendelee kuibeba nchi katika maombi na kwamba yapo mengine zaidi yanakuja yakiwemo majanga ya asili! Tunachotakiwa kufanya ni kuwa tayari kwa lolote! BE THE TRUTH, BE DEVINE ALL THE TIME AND WAIT THE DAY THAT GOD HAS MADE FOR YOU TO BE IN THE HEAVEN. GOD BLESS
MBARIKIWE
 
Back
Top Bottom