Conspiracy theories behind Gongo la Mboto bombs

WanaJF salamu!

Wakati mwingine tunalazimika kusema ama kuchangia pale tunapoona wengine wanamtizamo sawa na maono sawa nasisi! Bila kuzunguka, ukweli uliopo katika ulimengu wa kiroho (kwa waombaji), mabomu ya gongo la mboto na mbagala ni vita tu vya kiroho! Kuna ndugu mmoja amesema aliona kimondo kikishuka kutoka juu then after mabomu ndo yalianza kulipuka! Imekaa hivi:-

1. Sasa hivi tuko katika ulimwengu ambao hauendani kabisa na matakwa ya Mungu zaidi ya kutafuta masilahi ya mtu binafisi na kuwa busy na maisha ya dunia! Wakati mwingine Mungu anatukumbusha lakini hatuwi wepesi kuelewa! Mimi nimejifunza kitu kimoja ktika hili tukio kila wakati tunapaswa kuwa watakatifu na tayari kwa lolote! Ungefikiria kwa undani mama aliyefariki amelala kwake ndani alijua hayo? think this, what could be if you could be you!!!!

2. shetani anataka kuliingiza taifa katika vita (uchochezi) wengine wanajaribu kulinganisha na nchi ya Misri, sivyo kabisa Mungu anataka kuiokoa misri kutoka mikono ya misimao mikali ya kiislamu na kuiingiza katika ulimwengu wa wokovu! Sasa sisi kila kukicha jaziba zinazidi! Shetani anatumia sana wenye madaraka the same time akichochoea na huku chini ili moto uwake na ukiwaka hakuna atakaye uzima! Kama ulikuwa na nyumba na magari au uko university utaenda kupumzikia mpkani mwa Rwanda na TZ na mali zako zote ndo zitakuwa zimekwisha kupotea! Think the Gold is GOD you cant lost it even if you will run away from your home!

3. Dhambi ya zinaa imezidi sana Tanzania na ufisadi! hakuna hofu ya mungu! Mungu anachukizwa sana na watu wanaonyanyasa watu wengine pamoja uasherati zinaa mbaya, ngono mbaya imeuharibu mji wetu!

MAMBOMU

shetani sasa anatumia mianya ya mafisadi na uongozi mbaya kuiharibu nchi! Na nikupe siri hayo yakitokea hata Mungu hatawaacha watu wake wafe! Hakiki mwenyewe, wengine wamekufa vifo vya kusikisha sana lakini wakati huohuo wengine wameangukiwa na mabomu ndani ya nyumba zao na hayakulipuka? (why?? what is the motive behind??) Mungu hawezi kuwaacha watakatifu wake wafe ovyoovyo hata pale anapokuwa amemruhusu shetani kumjaribu Yesu! yeye atatetea na kusimamia!

ANGALIZO

Kwa waombaji naomba sana tuendelee kuibeba nchi katika maombi na kwamba yapo mengine zaidi yanakuja yakiwemo majanga ya asili! Tunachotakiwa kufanya ni kuwa tayari kwa lolote! BE THE TRUTH, BE DEVINE ALL THE TIME AND WAIT THE DAY THAT GOD HAS MADE FOR YOU TO BE IN THE HEAVEN. GOD BLESS

MBARIKIWE

hivi hatuwezi kufanya kama amerika usa serikali itoe siku moja ya kuombea taifa wakristo waende kanisani waislam waende msikitini jambo hili lifanyike kila mwaka mara moja

Kuna shuhuda kadhaa nimezisikia za watu kuepushwa na mabomu Kwa kusali na wengine kupiga ishara ya msalaba .
Nakubaliana na hoja yako na ingekuwa vema tukafanya Kama wale watu Wa Ninawi kumuomba Mungu msamaha Kwa dhambi na maasi mengi yanayofanyika nchini.
Ila sasa tatizo la kitaifa ni kuchanganya Mungu na shetani(waganga Wa ramli na kuangalia nyota).
Ila Kwa Neema ya Mungu inawezekana muhimu ni kuipeleka hoja hii mbele

Wakati unaandika haya uliomba au uliota? Siamini uliyoyaandika mtoa hoja.

Mimi napendekeza yafuatayo:
(1) watu KUJIUZURU TU. Watakaofuata waige hivyohivyo,
(2) Usanii kwenye maisha ya watu uachwe maramoja, Tuzingatie USHAURI a wataaluma wetu....
(3) Hata wasipojiuzuru sasa hivi, lakini hata wakiishi miaka mingi ijayo, lazima watashtakiwa tu. Kama watakufa, MAKABURI yao yatashtakiwa, na kama wataonekana na hatia, kufuli litawekwa kwenye makaburi yao. Hawawezi kuchezea maisha ya watu; Mungu alitoa maisha, iweje mwanadamu asiyaheshimu?
(4) Wa Tanzania wawe wamoja ktk hili.....

Umetumwa na mwingira au gwajima?

maana hawa na wengine ndo wanaokula hela zenu bila risiti.

unamtumia Mungu na neno lake kutisha watu na propaganda zisizoeleweka.

wadau kuna kila haja ya kujua nani ni supplier wa silaha tanzania hususani jeshini, nani hupewa tenda hizo, kwanini nasema hivyo? kuna kila ushahidi duniani kote kama watengenezaji wa silaha na wafanya biashara wa silaha ambao hutegemea kipato kwa utengenezaji wa na uuzaji wa silaha kama hawatapata soko hawa watu hudiriki kuanzisha vita au skendo ya namna yoyote ile itakayo leta hofu kwa wahusika ili mradi itahusianisha ununuzi au matumizi ya silaha. sera ya hawa watu ni kutumia silaha si kutunza! haijalishi watakufa wangapi na wapi, lengo lao ni kuona wameuza zaidi wawezavyo.

makapuni na mawakala hawa wa silaha hukaa chini na kuplan, (markerting strategy) hutumia fursa ya insecurity aliyo nayo mteja, (refer mlipuko wa kwanza mbagala unaweza kutumika kama cover) ama nchi kama ina rebels unawarahisishia kazi, watawafanya wote kuwa wateja, yaani serikali na rebels, hapa issue si kumaliza tatizo bali kulichochea.
swali ni namna gani wanaweza husika kwa tukio la gongo la mboto? hisia yangu ama mashaka yangu, ni kwamba kuna uwezekano kuwa hapa imechezwa dili, kwa kuwa hawa watu hutumia rushwa kubwa kupata watu wa kufanya nao kazi mfano wa kijua mtu aliye kitengo cha uhifadhi wa silaha, i mean ghala, wanampa offer ambayo hawezi ikataa isitoshe kama ana njaa si mwaminifu na ni mla rushwa, huyo mtu akaweza kutega ama kuset bomu linalolipuka baada ya masaa ambayo yeye atakuwa hayupo kazini, kazi hiyo ni simple sana haimchukui hata dakika tano, yeye ataondoka eneo la tukio shift nyingine itakuja, bomu litalipuka na mission complete. anachukuwa mamilioni ya fedha kazi yake imekwisha. then anakuja master planner na package yake ambayo serikali haiwezi kuitosa, ana toa offer ya kuuza vifaa vya ku-dectect aina yoyote ya dalili ya mlipuko na ant milipuko kwa maghala ya silaha, mind you, na ku-replace silaha zilizo lipuka, ikibidi anatoa offer ya kusomesha wanajeshi wenu kozi fupi ya hayo maswala. swala linakuja kwamba kwa kuwa mteja yuko katika hofu hawezi kukataa kumbukeni insecurity ikishakutawala kila kitu, yes sir.

wadau haya ni mawazo yangu tu, najaribu kutoa mchango ambao tunaweza kujadili kuhusu chanzo ama sababu za tukio lililotugharimu kama nchi tumepoteza maisha ya watu, viungo vya mwili, nyumba, mali silaha, na kujiamini. (self confidence).

In Tanzania EVERYTHING is possible. Bongo kila mmoja anatumia bongo yake kumpiku mwengine bila ya kujali kama kuna maisha yatapotea.

mimi nadhani bado kuna uwezekano wa hayo kutokea hapo tanzania kwa kuwa rushwa imekithiri tamaa ya maisha bora, na watu kuwa grid, fedha inapendwa kuliko maisha ya watu tafakari vizuri.

Wale waliotuletea Radar ndio wenye hizi tenda...mkuu!

Isue ya mabom Gongo la mboto na sikia ilikuwa planed mazee sababu kubwa ni uongoz wa JWTZ wa me uza silaa niyngi sana nchi za jirani so wame lipua ilikusingizia silaa zime haribika huku wame chaka chua vip wana JM ninyi hamja zipata hizoooooo????

things are more complicated than i thouht, conspiracy indeed hata tukibisha!

hata mimi nimeongea na jamaa yangu mjeshi kaniamabia kuna hali ya kinyongo miongoni wa wajeshi. hawamtaki shimbo na mwamnyange kwa sababu uteuzi wao ulizingatia uswaiba badala ya weledi. tena kasema kimsingi hao jamaa niliowataja hapo juu hawana sifa kwenye nafasi hizo ila mkuu kawapa kishikaji .

kuna ukweli hapo nimehabarishwa japo bado nafatilia

Ukila na kipofu usimguse mkono....Huyu SHIMBO na MWAMUNYANGE hawakujua hilo mtandao wao wa ufisadi ndo reason behind the explosions....why DAR only? inamaana kuna jambo la kudhulumiana dili walizocheza na surbodinates wao....by the way mzee wa VIJISENTI hakukosea tulihamaki tu kuna WATANZANIA wana MAJISENTI ktk mabenk ya......... time will tell.....mungu atawaumbua wote wenye kuijua haki wakatenda dhulma...maisha yao yatakua ni yamashaka mashaka ata km wana TRILION hazitawasaidia zaidi ya kupoteza duniani na mbinguni...wapi Ghadafi?

Back
Top Bottom