Conspiracy theories behind Gongo la Mboto bombs

wanataka tusahau kuhusu haka kamkataba kapya na DOWANS cha miezi mitatu ijayo.
 
Inawezekana ccm wameagiza yalipuliwe ili kubadili ajenda kali zilizopo au wakubwa wanatafuta kura kwani baadaye wakiulizwa kuhusu siraha fulani ambazo wanasema ziliishanunuliwa watasema ziliishaungua siku ya milipuko....kwahiyo unaweza ukawa mradi wa wakubwa kwa gharama yoyote
 
Inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea Mbagala hadi Gongo la Mboto ni ususi wa Chadema,ieleweke tu Chama hiki kimeikalia vibaya sana Tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule Arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa Chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa CDM waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa Taifa hili la Tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa CDM,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.

Mkuu kumbuka kuna watu wamekufa,wameumia na wamefiwa, tumia akili kidogo, kuwaza kidogo, ili usionekane mpumbavu sana, chadema wamesema kama chama, hata mimi nataka waseme kupelekea tuandamane! ninapopost hapa watoto wengi sana wamepotea huko g/mboto, acha ubongo wako angalau uupe nafasi wakati huu uwaze kama binadamu wa kawaida

kwa mila zetu ni kuwa watu kama wewe ambao huwa wanatokea kusema vitu vya ajabu nyakati hizi huwa tunahisi aidha umefanya forbidden act kama kulala na mama yako mzazi, wanyama, au umezaliwa na wazee mataahira au kukulia kwenye vituo vya wagonjwa wa akili!

hata kama utalibisha hili utakuwa kwenye wakati mzuri wa ku-confirm my suspicion; however, it is not true that you are real man at this time! kama unaandika hii post ukiwa nje, then please usimalize fedha ya taifa kutibu vichaa nje ya nchi (maana unawezekana ni mtoto wa waziri fulani wa CCM na umeathirika wa madawa ya kulevya) kazi sana wakati tuna hospitali zetu nzuri tu za mirembe where you can get relief so quick na ukakubalika kwenye jamii ya kitanzania!

suio kila kitu utumbo tu,
 
There is no conspiracy in what has happened at Gongolamboto, what happened in Mbagala, the sinking of the ship in Lake Victoria, the train that derailed in Dodoma, cholera in Dar, etc. We are going to witness even more calamities. It is part of Tanzania's wider picture.

Tanzania today is a lawlessness place. We have developed a habit of negligence. We don't like to obey laws set by ourselves through members of parliament or follow rules and regulations on how certain things should be done. We do things the way we like. I can bet that what set off those bombs was negligence.

Until such time when Tanzanians learn to do things the way they are supposed to be done we will see more calamities, not in only in the form of bombs. We need to live by following laws, rules and regulations. No one should be above the law. Drive in Dar and you will see how chaotic it is. Motorists do not follow any of the known traffic laws - they overtake on the right and on the left. If you drive upcountry Traffic Police will only stop you and ask for a bribe or ask you to pay a fine if you are an ordinary citizen. Government vehicles, army vehicles, those owned by members of parliament, etc. are exempted!!!! That is the fallacy of our laws in Tanzania. Laws, rules and regulations are for the downtrodden only.

We must blame our leaders. Past and presnet for the problems we are experiencing. Their laissez-faire attitude is costing our country. slowly it is becoming a country most of us would not like to live in. We would like to go and live in other countries where people live in a civilized manner. Let us save this country and make it a nice place to live in.
sure nakuapia hata wengi wanaoondoka sasa hivi kwenda abroad hawatarudi tena...pana boa sana sasa hivi
 
Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............................kweli wewe mwiba butu!!!!!.......yaani wewe ni sawa na waislamu na makamba waliofurahia vifo vya kule arusha.......kweli mafisadi wapo kila pembe ya nchi
Hili CDM wanaliweza,hiki chama sio cha siasa tena ,halafu jambo hilo linawezekana kabisa ,nafikiri kutokana na maandamano wanayoyatarisha kuiondoa CCM madarakani itakuwa ndio wameanza vita vya chini chini ,kuharibu na kubomoa pamoja na kuyaangamiza maghala ya silaha ,ili watakapohakikisha kuwa wamelipua silaha zote waanze kuingia mabarabarani ,na kuiondoa CCM kirahisi,huwezi kujua.
 
Inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea Mbagala hadi Gongo la Mboto ni ususi wa Chadema,ieleweke tu Chama hiki kimeikalia vibaya sana Tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule Arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa Chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa CDM waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa Taifa hili la Tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa CDM,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.

Nilijua utakuja kihivyo.........
 
Nashindwa kuelewa kama kweli haya mabomu yanalipuka yenyewe or there is a conspiracy behind? Hivi macomrade inawaingia akilini kweli kwamba haya mabomu yanalipuka yenyewe tuu? Then where next, is it Lugalo, Kunduchi or,.....?

Na nini justification yake.

We should ask ourselves twice about this.

Last time yale ya Mbagala tukajulishwa ni accident tuu hivyo hali hiyo haitojirudia tena, yako wapi waliyoahidi sasa? Nani awajibishwe?

Wanajamii, naomba kuwasilisha.:bump:

... as I do not have evidence, I can seriously declare SUSPICIONS and this is why:
ONE: Kama kuna njama za kuvuruga mambo ili mradi nchi isitawalike then CONSPIRACY MAKES SENSE
TWO: Kama conclusions zinazoweza kafanywa kuhusu uteuzi wa viongozi wa kamati za Bunge where inavyosemakana kwamba akina Makamba, Angela Kairuki (katokea Vodacom), ..., ...., na wale wengine ni kweli kwamba wao ni pandikizi wa mkulu RA na kundi lake
.
.
Basi zoezi la subvesrion is definitely on. Hata mjusi atafananishwa na nyoka!
 
Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............................kweli wewe mwiba butu!!!!!.......yaani wewe ni sawa na waislamu na makamba waliofurahia vifo vya kule arusha.......kweli mafisadi wapo kila pembe ya nchi

Jile79,
Kuwa makini unapotoa matamshi...Kuna waislamu wangapi TZ?
Sitaki kuonekana nawatetea hapa waliofurahia uovu uliofanyika, lakini hii yako ni over/overgeneralisation.

Lakini walioua Arusha walikuwa pia hao uliowataja kuwa walifurahi?
Tuepuke kuchochea aina hii ya stereo type, chuki ..itatufikisha pabaya kama taifa...mifano iko wazi kwa mwenye macho kuona na kwa mwenye akili kutafakari.

Ulivyoiandika hiyo Waislamu bila ya kui-qualify inaacha utata na hivyo hiyo stereotyping!
 
MIMI ninajamaa yangu mwanajeshi cheo chake si kikubwa ni captain, baada ya kumuhoji kuhusiana na suala hili, alichonieleza ni kuwa mizinga na mabomu yanagharama ktk kuyaifadhi, maana mara nyingi mabomu na mizinga maghala yake uwa chini ya ardhi hivyo ili ku control joto la huko chini lisiathiri mabomu na kupelekea kulipuka kuna mifumo ya hewa utengenezwa kupooza hewa iwe ktk hali ambayo haitoathiri mabomu hayo. Sasa akabainisha kuwa UFISADI mkubwa sana JESHINI na kwa kuwa si AG wala PCCB wanaoruhusiwa kuwafanyia uchunguzi au Audit basi wakubwa jeshini wametengeneza mtandao wa kuchakachua, pia Wateule wa Rais Gen. Mwamunyange na Shimbo wamepewa hizo nafasi kwa uswahiba na Mkuu wa nchi na si kwa ueledi wao jeshini kumepelekea jamaa hao kuwa na mtandao wao wa kuchaachua hivyo. Sasa uchakachuaji huo hauangalii kuwa fedha hizi ni za kitu gani wao wanalamba tu. Sasa imefikia hadi fedha za uangalizi wa silaha mzito nazo zinachakachuliwa ndio matokeo yake ni milipuko kama tunayoiona leo na mwakajuzi kule mbagala. habari ndio hiyo
 
Hakika kama unakula peke yako kwenye anga za serikali matokeo yakoe ndo haya unafikiri nani kalipua? na nani expert wa hayo mabomu? na nani mmiliki? toka lini mtoto anampiga baba yake? sasa huu ni wakati wake wa serikali kudundwa na jeshi maaana nao wana hali mbaya sasa wafanyeje? kama si kufyatua mambo kieleweke tu napenda hata vita ianze walipue yote mbagala tegeta-lugalo kote kisarawe wapige kwa mpigo tena mengine walete hahahah kwa wakuu hahahah!!
 
Yawezekana haya mabomu yamepitwa na wakati (expire), nadhani yaliwekwa toka kipindi kileeee cha mwalimu. They should expose them.
 
Kutokana na mataifa mengi kwa sasa kukumbwa na maandamano ya kuondoa watawala dhalimu na wala rushwa kama Kikwete, nina uhakika wameamua kulipua mabomu ili mawazo ya watanzania yaelekee kwenye hii current issue ya mabomu na kunyamazisha njama zote za maandamano dhidi ya serkali ya kikwete.

Serikali ya CCM hana uchungu watanzania lolote linawezekana na watatoa takwimu za uongo hata kama wamekufa wengi.

RIP wahanga wote wa mtego huu ambao umeenda mrama na kuua watanzania wasio na hatia.

Ukweli mtupu hapo... Pia tujiulize hayo mabomu yanahifadhiwa vibaya katika kambi za Dar tu wakati makambi yako kila kona hapa nchini hatusikii milipuko mikubwa kihivyo. Au yanalipuka hawatuambii?
 
si sahihi sana kuwaza hivyo kwa sasa,nadhani ni mapema mno kufikiri hivyo kwa kua serikali ni watu siamini km wanaweza kutumia mfumo wa aina hii kupindisha mambo! Nadhani we 'great thinkers' tuoneshe ukomavu wetu katika hili!

Thanks mkuu! watanzania hatujafikia hali ya unyama to that much! may be ni ajali au uzembe tu.
 
Nashindwa kuelewa kama kweli haya mabomu yanalipuka yenyewe or there is a conspiracy behind? Hivi macomrade inawaingia akilini kweli kwamba haya mabomu yanalipuka yenyewe tuu? Then where next, is it Lugalo, Kunduchi or,.....?

Na nini justification yake.

We should ask ourselves twice about this.

Last time yale ya Mbagala tukajulishwa ni accident tuu hivyo hali hiyo haitojirudia tena, yako wapi waliyoahidi sasa? Nani awajibishwe?

Wanajamii, naomba kuwasilisha.:bump:
...watanzania tusiendelee kuwa wapumbavu,hapa tulipofikia aje mtu hapa na uthibitisho wa jambo lolote lenye maslahi kwa taifa ambalo sisi tumeonesha UMAKINI iwe ni kwa mtu mmoja mmoja au sisi kama watanzania!!!

Taifa hili liko jalalani!! hatuna umakini kwenye mambo muhimu yanayotuhusu sisi wote, kama usalama, elimu, uchumi nk ubinafsi umetufikisha hapa!!wote wala si wanasiasa tu!

Ni gharama kubwa kutoka hapa tulipo,...mambo haya ya mabomu ni matokeo tu ya sisi tulivyo sasa kama watanzania, wala kuwajibika kwa waziri,m/majeshi au yeyote kutaondoa tatizo tulilo nalo!

Tatizo ni sisi WATANZANIA! tumepoteza sifa tulizokuwa nazo kipindi tunapata uhuru na baada ya uhuru km UPENDO,NIDHAMU,UMAKINI.. nk

Tutafakari upya! shortcuts na fikra tepe tepe za kusisimka na matangazo ya simu za mikononi hazitatupeleka POPOTE!!!! kwa dunia ya leo.NIDHAMU KWANZA!!!!!
 
There is no conspiracy in what has happened at Gongolamboto, what happened in Mbagala, the sinking of the ship in Lake Victoria, the train that derailed in Dodoma, cholera in Dar, etc. We are going to witness even more calamities. It is part of Tanzania's wider picture.

Tanzania today is a lawlessness place. We have developed a habit of negligence. We don't like to obey laws set by ourselves through members of parliament or follow rules and regulations on how certain things should be done. We do things the way we like. I can bet that what set off those bombs was negligence.

Until such time when Tanzanians learn to do things the way they are supposed to be done we will see more calamities, not in only in the form of bombs. We need to live by following laws, rules and regulations. No one should be above the law. Drive in Dar and you will see how chaotic it is. Motorists do not follow any of the known traffic laws - they overtake on the right and on the left. If you drive upcountry Traffic Police will only stop you and ask for a bribe or ask you to pay a fine if you are an ordinary citizen. Government vehicles, army vehicles, those owned by members of parliament, etc. are exempted!!!! That is the fallacy of our laws in Tanzania. Laws, rules and regulations are for the downtrodden only.

We must blame our leaders. Past and presnet for the problems we are experiencing. Their laissez-faire attitude is costing our country. slowly it is becoming a country most of us would not like to live in. We would like to go and live in other countries where people live in a civilized manner. Let us save this country and make it a nice place to live in.
You have spoken my mind!! Thats the results of allowing politics of greedy and selfish politicians to override intellectual and expert opinions.
 
inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea mbagala hadi gongo la mboto ni ususi wa chadema,ieleweke tu chama hiki kimeikalia vibaya sana tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa cdm waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa taifa hili la tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa cdm,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.

wewe ni mchochezi mbaya sana tena unataka kusababisha mauji makubwa sana watu wamekufa wewe unatuletea mambo ya siasa za vyama
 
MIMI ninajamaa yangu mwanajeshi cheo chake si kikubwa ni captain, baada ya kumuhoji kuhusiana na suala hili, alichonieleza ni kuwa mizinga na mabomu yanagharama ktk kuyaifadhi, maana mara nyingi mabomu na mizinga maghala yake uwa chini ya ardhi hivyo ili ku control joto la huko chini lisiathiri mabomu na kupelekea kulipuka kuna mifumo ya hewa utengenezwa kupooza hewa iwe ktk hali ambayo haitoathiri mabomu hayo. Sasa akabainisha kuwa UFISADI mkubwa sana JESHINI na kwa kuwa si AG wala PCCB wanaoruhusiwa kuwafanyia uchunguzi au Audit basi wakubwa jeshini wametengeneza mtandao wa kuchakachua, pia Wateule wa Rais Gen. Mwamunyange na Shimbo wamepewa hizo nafasi kwa uswahiba na Mkuu wa nchi na si kwa ueledi wao jeshini kumepelekea jamaa hao kuwa na mtandao wao wa kuchaachua hivyo. Sasa uchakachuaji huo hauangalii kuwa fedha hizi ni za kitu gani wao wanalamba tu. Sasa imefikia hadi fedha za uangalizi wa silaha mzito nazo zinachakachuliwa ndio matokeo yake ni milipuko kama tunayoiona leo na mwakajuzi kule mbagala. habari ndio hiyo

... hapa ipo mambo ile ile. tangu zamani ile mambo ipo na inaenderea.
 
Inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea Mbagala hadi Gongo la Mboto ni ususi wa Chadema,ieleweke tu Chama hiki kimeikalia vibaya sana Tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule Arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa Chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa CDM waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa Taifa hili la Tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa CDM,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.

Hapa ndpo huwa naikumbukaga ile signecha ya invizibo:

Ficha Upumbavu wako, Usifiche hekima yako.......

:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
Inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea Mbagala hadi Gongo la Mboto ni ususi wa Chadema,ieleweke tu Chama hiki kimeikalia vibaya sana Tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule Arusha.

Nina wasiwasi mkubwa na watu wa Chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa CDM waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.

Usalama wa Taifa hili la Tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa CDM,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.
Ahahahahaaah!! Eti kazi ya chadema.
 
Back
Top Bottom