chloe.obrain
JF-Expert Member
- Feb 25, 2010
- 391
- 20
We Mwiba wewe!!! inamaana uwezo wako wa kufikiria ndo umeishia hapo tu. Kweli we ni Bogasi!!:angry:Inawezekana kabisa kuwa hii milipuko ya mambomu tokea Mbagala hadi Gongo la Mboto ni ususi wa Chadema,ieleweke tu Chama hiki kimeikalia vibaya sana Tanzania ,wapo tayari kwa lolote ,tumeona kule Arusha.
Nina wasiwasi mkubwa na watu wa Chama hiki maana baada ya mlipuko tu wamerukia eti baadhi ya viongozi wajiuzulu,nashauri hawa wakuu wa CDM waitwe na kuhojiwa kuhusiana na habari walizozitoa. Lazima watakuwa wana jambo wanalijua.
Usalama wa Taifa hili la Tanzania ni lazima wawadhibiti na kuratibu mienendo ya wakuu wa CDM,isije kuwa wanasabotage ili kuidhalilisha serikali na kutoa picha mbaya.