Conspiracy theories behind Gongo la Mboto bombs

Conspiracy theories behind Gongo la Mboto bombs

hata mimi nimeongea na jamaa yangu mjeshi kaniamabia kuna hali ya kinyongo miongoni wa wajeshi. hawamtaki shimbo na mwamnyange kwa sababu uteuzi wao ulizingatia uswaiba badala ya weledi. tena kasema kimsingi hao jamaa niliowataja hapo juu hawana sifa kwenye nafasi hizo ila mkuu kawapa kishikaji .

kweli kabisa, tatizo Kikwete naye lazima alinde nchi yake

wanajeshi wengine potentials kuwa kwenye ile position walikuwa threat kwa kikwete, leo hii pengine wangeisha mpindua

hata mimi ningekuwa JK ningefanya hivyo!! thats normal
 
Mimi kinachonisikitisha ni kutolipwa kwa WAATHIRIKA wa MILIPUKO hiyo.Watu wamepoteza Viungo wamekuwa Vilema ,hawana mahali pa kuishi.Ina maana pesa zilichangwa na taasisi,watu binafsi,nchi marafiki serikali IMEKULA?
 
Back
Top Bottom