makpridash
Member
- Sep 18, 2026
- 49
- 85
Nitumie pm Mkuu😂😂😂 sasa si uombe kistaarabu tu? Kwanini uanzie mbaliii?
Woiiiih
Nitumie pm Mkuu😂😂😂 sasa si uombe kistaarabu tu? Kwanini uanzie mbaliii?
Woiiiih
Anafanyaje kwenye tape mkuuMixtape ya konde,
Unajua bei ya jino la tembo kwenye soko letu la blackmarket...mambo ni mazuri sana.Unatumia Samsung Galaxy sio?
Hebu fanya nione nipate cha kusemaKm wewe huna shauri yako, au omba upewe. Huna watu wa kukupaa??
Watakucheka wenzio hapaa, shauri yakoo.
😂😂😂😂
😂😂😂Nitumie pm Mkuu
😂😂😂Hebu fanya nione nipate cha kusema
Anahondomola, 😂😂😂Anafanyaje kwenye tape mkuu
Hahaha tena!Anahondomola, 😂😂😂
We mzee🤣🤣🤣🤣 baki tu anonymous.Ukipata masta msaada.
Hamia BURUNDI. HUKU MALAWI KILA KITU LAANA.Jamiiforum ya sasa hivi ni kama inalaana.
Hii nchi imeoza, enjoy maisha. Garika la el ninyo likija litasafisha haya masalia ya shetani.Narudia tena ; millennials na gen-X ndio watu wanaongoza kwa tabia zote mbovu kwenye hii nchi
Lissu Magwai aiombe mahakama msamaha arudi zake ubelgiji huku bongo watu fuse zimekata, no connection!!😄😄😄😄 they have nothing to loose, kila kitu kwao poapoa tuu vitu vya kuwaponya wao ni connection za kiturist.Pole lissu unateseka bure...
We ni Me au Ke???Yule sio konde boy kwa ile na mtetea konde ana tatoo tumbon na mikononi ila yule jamaa mkono mmoja hauna tatoo
😂😂😂 wakati yule Christine, kakubali ni wao na yule mwanaume ni konde boi.We ni Me au Ke???
Fanya namna sasa napata wapi cha kukoment😂😂😂
Kuna ile ya dak 4:27 , kama hujaiona sema tukupe
Nenda twiraaa kule, ukafaidi kutazama.Fanya namna sasa napata wapi cha kukoment